Fallback
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 11,400
- 20,572
Umemalizia nilipoishia na hapo ndio migomigoMigomigo ipo mtaa wa Kondoa Magomeni Mwembechai
Umemalizia nilipoishia na hapo ndio migomigoMigomigo ipo mtaa wa Kondoa Magomeni Mwembechai
Temeke kwa KindandeTandika ni mtaa kama ulivyo Temeke..lakini Temeke pia imebeba jina la Wilaya...kuna Mitaa ambayo pia kuitaja lazima ianze na jina Temeke mfano Temeke mwisho, Temeke Wailes nk