ngome urasa
Senior Member
- May 27, 2016
- 105
- 35
Mimi nikiwa na Gf kikubwa ninachofanya namuacha kuwa uhuru hapo ndio najua madhaifu yake kama yanaweza kurekebishika au lah..nikiona haya ndio ambayo yapo kwake kubadilisha siwezi hapo byebye nalala mbele..Mzee keshaniambia Mwanangu kosea kote lakini ukikosea kwenye kuoa unaweza kufa hata miaka 50 hutafika na ndoa zetu hizi za kristo ni mkataba
Naona unajitahidi kutoa mchango wa mawazo ambayo tukikuhoji tuna gundua huna tofauti na wale wale walioshawishi watu kwenda kupata kikombe cha babu halafu mwisho wa siku hawajui madhara ya makubwa ya hiyo inshu.......Sio kwamba wanawake waliosoma na kuelimika ni jasiri na wanajiamini katika maamuzi? Kwamba wanaweza kuishi bila kujali attitude za mfumo dume? Au ni wanaume wasiojiamini ndio wanaowasingizia tu? Kwani research ipi inadhibitisha hili? Dada zetu inatakiwa msome hasa. ...tena mjitahidi kuwa financially free coz hii dunia inatekwa na wenye nguvu tu na si vinginevyo. Chaguo ni lako.
Hapana mkuu alicholeta mtoa mada ni fallacy tu. Kwani mimi nikikwambia nimefanya observation miaka 5 sasa nimegundua wanawake waliosoma na wenye kipato ndio bora katika mahusiano utakataa? Labda ndiyo utakataa lakini nitakuambia ninayo sababu. Unajua wanaume tuliishi kufikiri assuption kuwa dunia na vyote vilivyomo vinamilikiwa na mwanaume sasa mumbo yamebadilika. Wanawake waliosoma na wenye kipato ndio chaguo bora otherwise wewe ni insecure.