Duuh,hali tete ,,,,,,,,tatizo wanakuwaga na nyodo sana kuja kushtuka kumekucha tayari.Pale Muhimbili kuna mama mmoja ni daktari ameolewa na mtunza bustani za hospitali, tena wanaishi vizuri sana. Inasemekana aliolewa na daktari mwenzake kabla lakini waliachana.
Duuh,hali tete ,,,,,,,,tatizo wanakuwaga na nyodo sana kuja kushtuka kumekucha tayari.
Ndoa nyingi za wasomi zinavunjika na zingine zipo taabani dhoofu, leo nizungumzie kidogo chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika na kuwa na migogoro isiyo isha,
Nianze na wanawake
Mara nyingi mabinti wengi hushindwa kutofautisha maisha ya ndoa na uchumba wanawake wengi wasomi hupitia mahusiano mbalimbali wakiwa vyuoni wengi huishi pamoja na wenzi wao hupika na kufanya shughuli zote kwa zamu, hivyo mabinti wengi huchukulia kitendo kile kama hali halisi ya maisha na hata wakiolewa hushindwa kubadilika na kutaka kufanyiwa na waume zao kama walivyokuwa wanafanyiwa na wapenzi wao yaani kufanya kazi kwa zamu kitu ambacho wanaume wengi hukataa na kupelekea mwanamke kujenga chui hapendwi na kuleta migogoro ndani ya ndoa.
Sababu ya pili wanawake wasomi huolewa na watu ambao sio chaguo lao wengi huolewa na watu ambao hawawapendi kutoka moyoni ila tu kutokana na msukumuno fulani kama vile kipato cha mwanaume, au kuhofia umri umesonga mara baada ndoa baada ya kile kitu kilicho msukuma kuolewa kuzoeleka migogoro huanza
Sababu ya tatu ni ulimbukeni wa kipato mara nyingi wanawake wa kipato huanza dharau kwa kujiona kuwa wanaweza kuishi bila mwanaume na maisha yakaenda.
Sababu ya 4
Usaliti katika ndoa mara nyingi wanawake wasomi hupenda kupasha viporo na wapenzi wao wa zamani na kusaliti ndoa zao kuliko wanawake ambao hawajasoma sababu inaweza kuwa mazoea amefanya hivyo akiwa chuoni hivyo amechukulia kama jambo la kawaida, lakini vilevile inawezekana mme hamridhishi anakumbuka makoloni yake.
Sababu ya 5
Kubadilika tabia kunakoletwa na makundi pamoja na kuangalia tamthilia wanawake wengi huchukulia maigizo yale kama ukweli na kuyaingiza katika maisha yao mwisho wa siku hubadilisha tabia zao na kuharibu mahusiano yao
Wanaume
Wanaume wengi wanaoa wanawake waliosoma sio kwa sababu wamewapenda ila kutokana na kuvutiwa na kitu fulani kama kipato cha mwanamke mara nyingi utasikia mwanaume anasema nataka kumuoa mwanamke mwenye mshahara tusaidiane maisha, huu ujinga wa hali juu ukimuoa mwanamke sababu ikiwa hiyo ndoa hiyo haitadumu, pesa ya mwanamke haipangiwi bajeti, mwisho wa siku nikuachana baada ya kugundua lengo halitatimia.
Uchepukaji nao ni tatizo kubwa linalopelekea ndoa nyingi kuvunjika utafiti unaonyesha kuwa wanaume wasomi wenye kipato wanachepuka sana kuliko wale wabangaizaji na wanawake wasomi na wenye kipato hushindwa kuvumilia na kuachika.
Suluhisho
1.usioe/olewe kwa sababu ya kipato elimu.
2.siku zote zungumza mwenzi wako.
3.Tumia njia sahihi kutatua migogoro yenu.
4.Tambua kwamba ndoa ni zaidi ya elim/kipato.
5.Mwanaume ni kichwa cha familia tekeleza majukumu yako kama mwanaume ikiwemo kuhudumia familia.
6.mpe uhuru mkeo kutumia pesa nyingi yake.
7.mwanamke tekeleza majukumu yako kama mama wa nyumbani.
8.Tambua uaminifu ni silaha katika ndoa.
9.siku zote mwanamke kuwa mnyenyekevu katika ndoa yako
Mkifanya hivyo ni ndoa yenu itakuwa yenye furaha tele na mtakuwa mfano wa kuigwa.
Alamsiki.
kwahiyo kinachomfanya mwanaume amsaidie akiwa mchumba halafu aache akiwa mke ni kitu gani???Ndoa nyingi za wasomi zinavunjika na zingine zipo taabani dhoofu, leo nizungumzie kidogo chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika na kuwa na migogoro isiyo isha,
Nianze na wanawake
Mara nyingi mabinti wengi hushindwa kutofautisha maisha ya ndoa na uchumba wanawake wengi wasomi hupitia mahusiano mbalimbali wakiwa vyuoni wengi huishi pamoja na wenzi wao hupika na kufanya shughuli zote kwa zamu, hivyo mabinti wengi huchukulia kitendo kile kama hali halisi ya maisha na hata wakiolewa hushindwa kubadilika na kutaka kufanyiwa na waume zao kama walivyokuwa wanafanyiwa na wapenzi wao yaani kufanya kazi kwa zamu kitu ambacho wanaume wengi hukataa na kupelekea mwanamke kujenga chui hapendwi na kuleta migogoro ndani ya ndoa.
.
unajua ndo watu wanashindwa kuelewa. sometimes watu watakuwa wapole kwasababu hawana jinsi. mtoto unataka. uwezo wa kumlipia school fees huna. inabidi uwe mpole.Sio kwamba wanawake waliosoma na kuelimika ni jasiri na wanajiamini katika maamuzi? Kwamba wanaweza kuishi bila kujali attitude za mfumo dume? Au ni wanaume wasiojiamini ndio wanaowasingizia tu? Kwani research ipi inadhibitisha hili? Dada zetu inatakiwa msome hasa. ...tena mjitahidi kuwa financially free coz hii dunia inatekwa na wenye nguvu tu na si vinginevyo. Chaguo ni lako.
Mara nyingi sana wanawake hawa waliosoma hawaolewi na hao wapenzi wao wa vyuoni, hivyo huolewa na watu wengine ambao hawajui utaratibu huo.kwahiyo kinachomfanya mwanaume amsaidie akiwa mchumba halafu aache akiwa mke ni kitu gani???
ni uvivu? kutafuta ukuu usiokuwa na kichwa wala miguu au ni nini!!
cha kufanya mkubaliane division of labor.
wanaume wengine kusaidiwa kutunza familia wanataka lakini wao kusaidia kutunza nyumba hawataki kusikia.
couple iamue yenyewe.
nafikiri kama ni "msomi" basi sio zezeta. anaelewa huyu ni mpenzi mpya. ataangalia tabia zake, atajua ni tofauti na ex. atajua huyu mpenzi mpya ni MTEMI.Mara nyingi sana wanawake hawa waliosoma hawaolewi na hao wapenzi wao wa vyuoni, hivyo huolewa na watu wengine ambao hawajui utaratibu huo.
Wewe unamakampuna mangapi mjini au umewekeza nini na umekuw financial independent?Sio kwamba wanawake waliosoma na kuelimika ni jasiri na wanajiamini katika maamuzi? Kwamba wanaweza kuishi bila kujali attitude za mfumo dume? Au ni wanaume wasiojiamini ndio wanaowasingizia tu? Kwani research ipi inadhibitisha hili? Dada zetu inatakiwa msome hasa. ...tena mjitahidi kuwa financially free coz hii dunia inatekwa na wenye nguvu tu na si vinginevyo. Chaguo ni lako.
Tabia hujengwa kwa mazoea mfano kama uliozoea kufanya jambo fulani siku usipolifanya utahisi wa tofauti. Na ukizoea kufanya jambo fulani you feel like it's the normal situation.nafikiri kama ni "msomi" basi sio zezeta. anaelewa huyu ni mpenzi mpya. ataangalia tabia zake, atajua ni tofauti na ex. atajua huyu mpenzi mpya ni MTEMI.
if she marries this man , basi ni kwasababu ya pressure or desperation. definitely doing it with risks.
if she marries out of love she shouldn't be complaining. although she'll surely be wondering if he loves me too why he doesn't help me?
Mkiwa mmependana kweli hakuna cha kuteresha ndoa yenu