mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Ifikie hatua, wachungaji/Mashehe warudi kwenye basics zao.
Kanisani au msikitini ni kama hospitali, Wanasiasa,wafanyabiashara,masikini au tajiri watu wa serikali wanathamani sawa mbele ya madhabahu. Ifikie hatua kiongozi akija kanisani ikitokea kuna umuhimu wa yeye kuongea basi asalimu watu na na kuondoka kwenda kuketi vinginevyo yeye aendelee na ibada kama wengine akipewa heshima zote kama kiongozi wa wananchi.
Wachungaji: Vipawa Mungu alivyowapa ni kwa ajili ya kazi yake na sio kutumia jukaa la Mungu kujisafisha au kuzungumzia siasa.
Kuna mstari mpana sana unaotenganisha siasa na dini. Ndio maana hata Humu JF jukwaa la DINI ni PRIVATE na la SIASA ni la wote.
Ya kaisali apewe kaisali na Ya Mungu aachiwe Mungu