Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
tatizo kubwa linalo wa kumba wa tz ni lack of self confidence, na mojawapo wa matendo yanayo onyesha mambo hayo ni ziara zake bongo na kuanza kutembelea viongozi ofisini, yote ya nini? mara zanzibar, kwa shein, mara bungeni, mara ikulu. mtu umekuja likizo ka zako nyumbani mkitembeleana ufanye ni ziara yako binafsi.
Sasa tutegemee nini kama si kutemwa kuendelea kutumikia nafasi hiy adimu kabisa ya kukirimiwa na urafiki wa muda mrefu tulio nao na Wakora? Wametupa nafasi, tumeshindwa kuitumia ipasavyo, na wamejaribu kutuvumilia lakini hali inaendelea kama kawa, hatimaye uvumilivu umefikia kikomo.Na pia alionekana kama ni mwakilishi wa Tanzania umoja wa Mataifa badala ya kuwa naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa.
Kwa kawaida nafasi ya Deputy ni administrative zaidi ya political. Wakati Secretary General anazurura deputy wake anapaswa kuwa nyumbani aki " take care of admin issue". Migiro atakuwa Deputy wa kwanza kusikika kwa uzururaji badala ya performance yake.kwenye nafasi za juu huko un hilo suala la "performance" sio kigezo kikubwa.
huko ni siasa na "mzunguko wa kikanda".
Huyo akitia timu tu bongo mchakato wa kumpa ubunge wa kuetuliwa ili aukwae uwaziri au nafasi yeyote ya juu kisiasa utaanza...au umeshaanza...!?
Niliweka post moja hapa kwamba Migiro hatulii ofisini lakini wakanirushia maji ya kuwasha. Haya ni matokeo yake kwani watanzania tumezoea kulindana kwa kutazamani nyusoni tofauti na wazungu na mataifa mengine yanatazama utendaji na uwajibikaji wa mtu. Huyu mama kwa kweli hakutulia ofisini, maana alijifanya kama na yeye yuko Kaibu Mkuu vile. Na pia alionekana kama ni mwakilishi wa Tanzania umoja wa Mataifa badala ya kuwa naibu katibu mkuu wa umoja wa matifa.
Watanzania wamezoea kulindana na kujuana na matokeo ya nafasi adimu za kukirimiwa kama hizi sasa zinatuumbua na kutoka vichwa chini? Kama tulichoongelea hapa tungekuwa makini na kuchukulia ushauri na kufanyia marekebisho huenda mambo yangekuwa kinyume cha haya yanayotokea leo.
Hivi kwa mtanzania wa kawaida kama mimi, nimenufaika vipi na Dr. Migiro kuwa UN? Kubaki au kuondoka kwake UN hakuna impact yoyote. Vyeo vya kupewa hivi........?
Hii culture itatutoa kwenye mambo yote muhimu ya ulimwengu huu isipokuwa kwenye hizi siasa zetu za ngonjera tunazoziendeleza. I feel sad it has taken too long to realize we need to revamp the whole system and the way we approach our affairs internally and externally.
Tumekuwa wababaishaji mno, watu wakupenda sherehe kwa sababu ya nafasi tulizonazo, na kufikiria jinsi tutakavyokuwa mamilioner kwa kutumia nafasi hizo. Hata wasomi nao wameanguka kwenye huo mtego.
Saturday, 21 January 2012 08:38
??By Mkinga Mkinga
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Dr Asha-Rose Migiro is leaving her high profile posting as deputy secretary-general of the United Nations.* Having served the UN for five years as the second in command following a surprise appointment in 2007, she is expected home in the next few weeks.* *
*
UN Secretary General Ban Ki Moon appointed her upon his election to succeed Dr Kofi Annan, possibly as a reward to Tanzania, which was said to have played a key role in helping the former South Korean foreign minister win the job. Dr Migiro was the first woman to land the post.
A former foreign minister herself, she is leaving at a time when Mr Ki Moon is lining up a new team to carry forward his agenda after he was re-elected last year for a second and final five-year term.
The permanent secretary in the ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Mr John Haule, confirmed the news yesterday.* The PS said Dr Migiros tour of duty at the New York based UN headquarters was over. We have not received an official document from the UN, but Im aware that her tenure is almost ending, Mr Haule said on the phone. She also confirmed this development on Thursday.
*
The PS noted that the UN was undergoing major reforms that were bound to affect its offices worldwide under the Delivering as One programme. But we at the foreign affairs are not the spokespersons on Dr Migiro, Mr Haule added.
Separately, a source in Washington told The Citizen yesterday that news of her imminent departure from UN was circulating among close friends and Tanzanians living in the city.
We have heard that she applied for an extension of her contract, said one of the sources in an email communication.* But that is likely not going to happen as sources close to her say she is planning to return home.
*
Dr Migiro is said to be in the process or organising how one of her children, who is enrolled in school in New York, can complete her studies without interruption.
She was the third deputy secretary-general and the first African woman to hold the prestigious post that was established by the General Assembly at the end of 1997 as part of reforms in the United Nations to help manage secretariat operations and ensure coherence of activities and programmes. The position was also meant to elevate the organisation's profile and leadership in the economic and social spheres.
In his New Year address, Mr Ban said he intended to build a new team that was strong on substance and diverse in compositionwhat he called a team that works as one.
He added: Leading by example, I have placed priority on mobility, combining fresh perspectives and institutional continuity and synergy.
With these criteria in mind, he said, he was undertaking a thorough review of the entire team and its management structure.
Kwa kawaida nafasi ya Deputy ni administrative zaidi ya political. Wakati Secretary General anazurura deputy wake anapaswa kuwa nyumbani aki " take care of admin issue". Migiro atakuwa Deputy wa kwanza kusikika kwa uzururaji badala ya performance yake.
Hata umpambe vipi she has proved failure, kama unasema Moon kashinda kwa kishindo kwa sababu yake mbona Moon huyo huyo kamtema? hebu soma hapa wakati anahutubia baraza la UNShe has done on her part!Ni busara tukampongeza na si kumkejeri kwani nafasi aliyokuwa nayo si lelemama. Siamini kwamba kashindwa kuperform kwani ingekuwa hivyo
Ban ki Moon asingepitishwa kwa kishindo kwa term ya pili.Mind u she was second from top and interchangeable duties with her boss.
Tutambue kuwa nafasi yake na ya Ban katika UN upatikana kwa njia ya lobbying na kwa sehemu kubwa maamuzi ya wakubwa kwa maana ya Security Council Members pamoja na some members in General Assemby ni muhimu kuzingatiwa (ndio wenye kura). Haikuwa rahisi kumreplace Ban lakini kupita kwake kwa kishindo lazima atakuwa na back up ya kutoa fadhira kwa Nchi fulani fulani hasa za Amerika ya Kusini ili ku build universal combination baada ya Africa.
Haizuii kuwa na mawazo tofauti hapa kwani kila mmoja ata perceive tofauti. Kwa kuwa wengi tumetawaliwa na siasa za Urais, lazima maoni mengi yataangukia huko. Asha amekuwa akitajwa sana kwenye mambo ya Urais, sasa tuliwezaje kumtaja huku tukijua she will be out from UN after election?.
Watanzania tuwe na Uzalendo na tuache kubezana hata kwa yale yaliyo wazi. Ni dhahiri katika kipindi chake Nchi yetu imesikika saana na nafasi nyingi za uongozi wa kitaifa tumepata (wenyeviti wa commission mbali mbali duniani).
Good Job Asha welcome home as a HERO.
Why did Asha-Rose Migiro bid for second term fail despite strong lobby by african group of nations? What will Ban Ki-moon preferred candidate Susana Malcorra bring on board? Majibu?
Wow, Asha Rose Migiro for President 2015. Itakuwa raha sana siku ntaona Asha Rose anakuwa mwanamke wa kwanza Rais wa JMT. Mbona ntafurahi.
Wachache sana watakubali ukweli huu mchungu..watanzania wengi wanashindwa kuwa objective I really dont know why nadhani culture yetu inatufunza kutokuwa honest...Kofi Annan anajulikana alifanya nini kwa Ghana alivyokuwa UN; Festus Moghae(Sp?) wa Botswana anajulikana ameifikisha wapi Botswana kwa vile tu alikuwa World Bank if am right lakini one of the finance department za UN sasa sisi Tanzania tutasema hii nafasi imetusaidia nini wakati inflation ndiyo hiyo hapo; urban poverty iko kwenye increase; watu wamekufa mabondeni issue ikiwa poor planning na poverty etc lakini utasikia watu wakisema amefanya kazi kubwa sana; well Mungu utusaidie tuwe objective kwakweli na tuache kusema tusiyoyaamini wala kuyajua atleast uthibitisho wa kuwa vimefanyika badala ya hadithi za subjectivity!
Mh umenikumbusha sakata linaloendelea la ma dokta pale MNH. Kuna wakina mama wawili Nyoni na Njelekela. He nimemsahau Dr. Lucy Nkya. Aisee wakiwezeshwa wanaweza. Vilaza watupu.
ASHA ROSE FOR 2015 PRESIDENCY?! Nafikiri hapa CCM watakuwa wanajipotezea muda mno. Tumekwisha ona jinsi wanawake wanavyo prove failure kwenye political posts. S. Simba, A. Makinda just to mention the few of them.
Tuna mchakato wa kuandika katiba mpya sasa; tunatoa mchango wa mawazo gani kuhusu kumpata rais ambaye ni chaguo la wananchi na si la chama kama sasa? Tume ya uchaguzi ya sasa inamilikiwa na CCM, je hii tunaruhusu iendelee?
Waangalie viongozi wote wa CCM, ni tofauti kwa mbali na viongozi wa vyama vingine. Wao wanajiona exclusive (kule India kuna 'caste' katika jamii. Kuna 'untouchables' kule. Viongozi wa CCm kwa sababu huwa wanawagawia ubwabwa, khanga, leso, kapelo na opener hawa wanachama wao ambao hawana nyazifa na kuwahadaa kwamba wameweza alimradi waabudiwe. Angalia hata wabunge wao jinsi wanavyosupport kishabiki maswala ambayo ni mstakabali wa taifa.
Tukifikiri kuwa a failed deputy UN Secretary Gen anaweza kuwa na uwezo wa kukabiliana na hili janga la mafisadi tunajidanganya, kwanza na hili tuliweke kwenye maoni ya mchakato wa kuandika katiba mpya - MTU AMBAYE AMEWAHI KUFANYA KAZI KWENYE NGAZI YA JUU UMOJA WA MATAIFA ASIRUHUSIWE KUGOMBEA URAIS, tu limit kwa mabalozi tu.