Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC

Nani kakwambia kuwa atagombea urahisi?hizo ni hisia zako na unalazimisha watu wafuate hisia zako.dont assume subili muda ukifika utamjua mgombe na utampigia kura.acha hisia zako zisizo na maana.
 
CCM si ya kuirudisha madarakani tena ni mwizi wa kodi za watanzania maskini,huyu mama hafai kabisa labda akamuongoze MKWEREE na familia yake.
 
Bado mnaiongelea ccm katika uongozi wa nchi hii!! Jamani tuache utani, ccm imeshindwa kuongoza nchi hii.
 
Yani tunaanzisha uongo na uzushi alafu tunaanza kuuchambua na kupata jukwaa la kumtukania mtu kana kwamba ametangaza kuwa anagombea hicho cheo chenu! wale wanaodharau uwezo wa Kikwete nao ni wapuuzi wajabu! ebu angalieni uwezo aliotumia katika uchaguzi wa 2005 kumtoa SAS, angalia uwezo wake sasa juu ya Lowasa na wenzake baada ya kumfanikishia Urais!
 
Wewe dume la mende nahisi huna kazi za kufanya, unatupotezea muda, sema source ya habari yako ni nini/nani??? umetumwa na nani? una mtu uliemuandaa, unamtumia bwana gani?? wewe binafsi una sifa zipi unazomzidi huyo Migiro
 
CCM haiwezi kuendelea kutawala mimi nikiwa hai. Mungu achague kati ya mimi kuishi au hao mashetani wa CCM. Bora nife kuliko CCM kutawala. Niko tayari kufanya chochote kile lakini siyo CCM kutawala nchi hii. Na siwezi kuondoka dunia hii bila kufanya jambo kubwa ambalo dunia nzima lazima itetemeke na kupasuka. CCM ni wauaji, maharamia, mashetani, na lazima niwaangamize. Huyo Migiro ni shetani tu, hana jipya.
 
Vipi wewe mbona umeumia sana?
Red: Kama miye sina kazi kwa kuingia humu, basi same applies to you, nawe huna kazi.
Green: Na wewe bwana gani unamtetea humu? au umemuandaa nani?
Blue: Toka lini ukahoji sifa za mtoa mada eti kwa sababu tu ameguswa yule kipenzi chako? Nani kakwambia au uliona wapi jina langu likitajwa kwenye Urais? Migiro anatajwa au unabisha? Kakojoe ulale
 
kweli upumbavu hauna ujazo!!!!! kweli akili na jina lako vinafanana. it seems you are very good in colors! Haya tuseme Migiro hafai, chagua gamba lingine tulichague ( nagu, mama sita, au Buriani)
 
Alipokuwa Waziri alifanya nini cha maana? Wizara ya watoto na baadae Foreign affairs - kote huko ni kitu gani hasa anaweza kujivunia? Tunajuwa cheo cha UN alikipata kama shukrani kwa kazi ya udadali aliyofanya Kikwete (wakati huo mwenyekiti wa AU) ya kushawishi nchi zingine za AU kumuunga mkono Ban Ki-moon. Kwa hiyo asijaribu kuja na hiyo ajenda unaibu wa UN secretary general. Atakwama! Pia tutataka kujuwa ni achievement gani amepata UN kama deputy secretary general mara atakapochukuwa form.

Kwa walio karibu na huyu mama wamshauri asikubali kabisa kuuziwa mbuzi kwenye gunia na madalali wa magogoni. Atapoteza mwelekeo. Hana ubavu hata chembe wa kupambana na matatizo (a) ya ndani ya CCM na mitandao yake na (b) ya nchi na political dynamics zake. Hana. Najuwa wakubwa watamuahidi atapata cheo kwa kutumia dola, lakini ajue akifanya hivyo tahriri itaibuka kabla judge-whoever hajatangaza jina la supu waliyopika! Na kama haamini, basi ajihabarishe kuwa Mizengo Pinda kamaliza mazungumzo na Mbowe kihusu u-mayor wa Arusha. That tells you kuhusu maamuzi ya watanzania wa leo.

Na kwa ccm- ombeni mwanga wa roho mtakatifu msije mkakumbwa na mkosi mwingine kama huu wa u-spika. Kwamba unampa mtu kazi kwa sababu tu ni mwanaume au mwanamke bila kujali mtu huyo ana uwezo au la. Hakuna ubishi -spika wa sasa ataweka historia nchi hii kwa kuwa spika wa viwango vya chini kabisa (bottom); kutojua na/ama kutozingatia sheria pamoja na kwamba tunaambiwa alikulia bungeni na kuongoza mijadala ya kibunge kwa jazba (hii ni sifaa muhimu kwa public figure). Kufanya kosa sio kosa, kurudia kosa ni kosa. With Migiro CCM itakamilisha safari yake ya kuelekea kibla. Please send us a post card!
 
CCM haiwezi kuendelea kutawala mimi nikiwa hai. Mungu achague kati ya mimi kuishi au hao mashetani wa CCM. Bora nife kuliko CCM kutawala. Niko tayari kufanya chochote kile lakini siyo CCM kutawala nchi hii. Na siwezi kuondoka dunia hii bila kufanya jambo kubwa ambalo dunia nzima lazima itetemeke na kupasuka. CCM ni wauaji, maharamia, mashetani, na lazima niwaangamize. Huyo Migiro ni shetani tu, hana jipya.
Safi sana, ww ni great thinker
 
migiro oyeeeeeeeeeeeeeee.,wanawake oyeeeeeeeeeeeeeeeee,ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.ukiona unakerwa sana nenda kafe mana hata ukifa huna unachopunguza wala unachoongeza.
 
kweli upumbavu hauna ujazo!!!!! kweli akili na jina lako vinafanana. it seems you are very good in colors! Haya tuseme Migiro hafai, chagua gamba lingine tulichague ( nagu, mama sita, au Buriani)
Huko ni kukosa la kusema baada ya kuumbuliwa. Wewe colors unaziona za ajabu? Great thinkers humu ndani hutumia sana hizo kuanisha mambo, wewe unashangaa! Ajabu kubwa. Moreover, hata ukitumia lugha za matusi hazikusaidii hapa,, hii ni sehemu ya hoja tu, kama unaona Migiro anafaa toa hoja zako hapa na si kulialia. Waangalie wasomi hapo juu wanavyokata nondo kuanzia alipokuwa wizarani na alichofanya. Chundu wee
 
Alipokuwa Waziri alifanya nini cha maana? Wizara ya watoto na baadae Foreign affairs - kote huko ni kitu gani hasa anaweza kujivunia? Tunajuwa cheo cha UN alikipata kama shukrani kwa kazi ya udadali aliyofanya Kikwete (wakati huo mwenyekiti wa AU) ya kushawishi nchi zingine za AU kumuunga mkono Ban Ki-moon. Kwa hiyo asijaribu kuja na hiyo ajenda unaibu wa UN secretary general. Atakwama! Pia tutataka kujuwa ni achievement gani amepata UN kama deputy secretary general mara atakapochukuwa form.

Kwa walio karibu na huyu mama wamshauri asikubali kabisa kuuziwa mbuzi kwenye gunia na madalali wa magogoni. Atapoteza mwelekeo. Hana ubavu hata chembe wa kupambana na matatizo (a) ya ndani ya CCM na mitandao yake na (b) ya nchi na political dynamics zake. Hana. Najuwa wakubwa watamuahidi atapata cheo kwa kutumia dola, lakini ajue akifanya hivyo tahriri itaibuka kabla judge-whoever hajatangaza jina la supu waliyopika! Na kama haamini, basi ajihabarishe kuwa Mizengo Pinda kamaliza mazungumzo na Mbowe kihusu u-mayor wa Arusha. That tells you kuhusu maamuzi ya watanzania wa leo.

Na kwa ccm- ombeni mwanga wa roho mtakatifu msije mkakumbwa na mkosi mwingine kama huu wa u-spika. Kwamba unampa mtu kazi kwa sababu tu ni mwanaume au mwanamke bila kujali mtu huyo ana uwezo au la. Hakuna ubishi -spika wa sasa ataweka historia nchi hii kwa kuwa spika wa viwango vya chini kabisa (bottom); kutojua na/ama kutozingatia sheria pamoja na kwamba tunaambiwa alikulia bungeni na kuongoza mijadala ya kibunge kwa jazba (hii ni sifaa muhimu kwa public figure). Kufanya kosa sio kosa, kurudia kosa ni kosa. With Migiro CCM itakamilisha safari yake ya kuelekea kibla. Please send us a post card!
Mkuu wewe umenena ipasavyo,, lipi analoweza kutoka nalo kifua mbele katika wizara hizo mbili? Na hata huko nyuma alikotoka kuna achievement gani tangible? Leo ujibebeshe matatizo ya watanzania kichwakichwa,, si jambo jema au lenye tija kwa Taifa hili.
 
Hizi habari kwamba huyu mama Migiro anatajwa kuutaka urais wa Tanzania mwaka 2015 zinanifanya nikose imani na uongozi wa CCM ikiwa kweli wana azma ya kufanya hivyo. Na sitashangaaa kwa sababu itawekwa hoja kwamba "akina mama wakiwezeshwa wanaweza" na kwamba "ni wakati wa Rais mwanamke". Hii ni kuiweka rehani nchi yetu kwa kumpa ridhaa hiyo mama Migiro ambaye napata mashaka juu ya uelewa wake wa idara na wizara mbalimbali nyeti. Hata Taifa kubwa kama USA lilipoona kuna mwanamke na mwanaume mweusi, waliona bora mwanaume.Tusipende kumkwaza huyu mama, hataweza na hatoshi cheo hicho japo ni msomi mzuri na ninamuheshimu sana. Bado sijaona mwanamke wa kuongoza Tanzania hii yenye pasua vichwa lukuki. Muziki wa CDM atauweza mama huyu? Wanalia kina Pinda, yeye atafanyaje?Ikifika hivyo, nahamia CHADEMA.
dah, hivi nyie watz hamuwezi japo kujifunza kwa spika na ulimbukeni wake juu ya uongozi wa juu na mwanamke?
 
forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm; forget ccm;
 
Naona kwa sasa CCM ghafla wamekuja na ghiliba mpya kwa kuegemea NGUZO mpya ya (1) JINSIA ya kike katika siasa ya nchi yetu.

Hali hii inafuatia baada ya zile ghiliba za (2) UDINI na siasa za Kadhi Mkuu mara Tanzania yangu kuvikwa kanzu ya OIC, zote kushindwa kufua dafu. Nako pia (3) mbinu ya kutumia silaha ya HOFU YA KUMWAGIKA DAMU na sasa (4) UCHAKACHUAJI kuchukua mimba toka kwa UFISADI wa kukwapua hadi MBEGU zinazohitajika kupanda shambani ili wananchi nasi tupate japo ka-ahueni ya maisha kidogo, zote kukubuhu.

Je, kuja kutubadilishia tu SURA na JINSIA kwenye safu ya uongozi wa Juu kwa kuwaleta Asha-Rose Migiro (Urais 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) itageuka kuwa sabuni tosha ya kuitakasha CCM na UCHUNGU MKALI waliotuletea kimaisha hata wasomi tunaoneka wehu mbele ya waungwa Waopoaji Wazoefu kama Rostam Aziz, Lowasa, na wengineo kweli?? Hebu nipeni maoni yenu hapa.

Nahitaji KATIBA mpya sasa hivi!!!

Raisi, speaker na PM wote wamama. Hii haikai vizuri
 
wewe hii umeipata wapi?
 
Back
Top Bottom