Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC

Not yet tanzania!

Jamani msicheze na kamati kuu ya CCM!!! Pata Picha....Sita ajitoketeze kugombea....halafu Lowassa nae ajitokeze>>>>kuepuka mpasuko watasema zamu ya kina mama..hapo wanamweka Dr. Migiro kkwisha kazi!!
 
Hapo ndiyo mafisadi watasherekea kabisa........................

Najua target ni kura za kina mama ili CCM ishinde but ...............I say a BIG NO....to that.
 
Jamani twende mbele turudi nyuma hapo mimi sijaona! Labda tusubiri tuone Makinda atakavyoliongoza bunge hili lenye changamoto. Ameonyesha kuanza vibaya lakini huenda mbele ya safari akajirekebisha. Lakini Prof, mhhhhh! Migiro, mhhhhhhh!!
 
Wanajamvi,
Mmoja kati ya watu wanaotajwa tajwa sana kuwania urais 2015 ni Dr Asha-Rose Mtengeti Migiro, Naibu katibu mkuu wa sasa wa UN. Dr Migiro aliteuliwa na Mkapa kuwa Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto, kisha JK akamteua kuwa waziri wa mambo ya nje kabla ya Ban Ki Moon kumpa unaibu katibu mkuu UN.

Kwa wale wenye data naomba mnisaidie na muwasaidie watanzania, Hivi ni nini kikubwa ambacho Dr Migiro ameshawahi kukifanya hapa Tanzania hata atajwe kuwa anastahili kuwa Rais ajaye?

Katika nafasi mbili za uwaziri alioshika hapa Tanzania kabla ya kwenda UN, nini kikubwa cha kukumbukwa alichokifanya ukilinganisha na wanasiasa wengine wanaotajwatajwa ndani ya CCM kama Lowasa, Sitta, Membe, Magufuli just few to mention.
 
Mi najua kama atapitia Chadema tutafikiria tumpe au la na kama ana mpango wa kupitia kule kwao magamba ameliwa.
 
Muda wa rais mwanamke bado.Wanawake wa bongo bado hawajaonyesha uwezo wa kusimamia mambo makubwa ya kitaifa.Umbeya bado ni ajira yao angalia akina sophia simba,akina bi kiroboto na wengine lukuki bado hawajathbitisha kuwa wanaweza wakakabidhiwa majukumu makubwa kama urais
 
1. Dr. Asha Rose Migiro hawezi siasa za sasa na za 2015 hapa Tanzania.

2. Mh. Edward N. Lowasa kuondolewa na ufisadi wake, hakuna cha udini wowote.

3. Kama Dr. Asha Rose Migiro au Lowasa watagombea Urais 2015, CHADEMA waanze kushona suti maana wataingia madarakani kama kusukuma mlevi vile!
 
Ni mvuto tu wa kisiasa.Sidhani kama kuna lolote zito alilokwisha ifanyia nchi hii
 
  • Thanks
Reactions: Iza
hata mimi nina taarifa za ndani huyu mama ndiye atakayegombea kwa kupitia ccm!ni wazi kuwa mtu aliyepo ccm anayeweza kutoa ushindani kwa chadema ni magufuli na lowasa wana manbo tangible waliyoyafanya.
 
2. Mh. Edward N. Lowasa kuondolewa na ufisadi wake, hakuna cha udini wowote.

Ni kweli Lowasa ni fisadi. Hilo halina ubishi. Lakini hiyo haizifuti tuhuma kwamba Bw. Kikwete ana ajenda ya kuwabeba Maustaadhi wenzake!
 
Tatizo letu tunatishika sana tukisikia vitu kama Havard, Oxford, Phd, ana nafasi ya kazi katika shirika la kimataifa na ujinga mwingine ambao society is associated with being smart.

Gordon Brown has been nominated for IMF presidency position lakini from day one the UK politics, his senior labour colleagues and those with senior positions in the government organs did not favor him because of his political outlook which contradicts the welfare of the nation, na kweli 'athee' jamaa kawaachia madeni.

What do we know about this woman political stance is she conservative, pro or anti capitalist, what is her economic outlook, social issues stance (maana uganga umezidi chini ya JK, mambo ya umiss na upuuzi mwingine), her ideas on equality and so forth: ni vitu kama kwa wenzetu wanona si kila msomi wakuthaminiwa katika jamii.

Not every scholar is cut out to lead a society mfano Ndullu, Mkullo (these two cant run a nation economy) and JK (na mafisadi wenzake are not patriotic to get senior position) kitakacho fuata ni umaskini, fujo na matatizo katika jamii.

Thats politics for you just as you know 'Ed Millibands' will never become the next prime minister in the UK therefore conservative can mess up as much as they want, he is too left for societies liking (that how the illuminati play us).

There are so many clever people to run western countries but the suitable candidate are those ones with the national interest at heart, its up to their political parties to build up a suitable team to advice him/her on serious policies that are out of his/her expetise. Sasa embu kidogo huu ushamba wa kuona Phd ndio watakao tutoa kwenye umaskini wakishika nafasi ya juu tuupunguze.
 
Tatizo letu tunatishika sana tukisikia vitu kama Havard, Oxford, Phd, ana nafasi ya kazi katika shirika la kimataifa na ujinga mwingine ambao society is associated with being smart.

Gordon Brown has been nominated for IMF presidency position lakini from day one the UK politicians, his senior labour colleagues and those with senior positions in the government organs did not favor him because his political outlook which differed from the welfare of the nation, na kweli 'athee' jamaa kawaachia madeni.

What do we know about this woman political stance is she conservative, pro or anti capitalist, what is her economic outlook, social issues stance (maana uganga umezidi chini ya JK, mambo ya umiss na upuuzi mwingine), her ideas on equality and so forth: ni vitu kama kwa wenzetu wanona si kila msomi wakuthaminiwa katika jamii.

Not every scholar is cut out to lead a society mfano Ndullu, Mkullo (these two cant run a nation economy) and JK (na mafisadi wenzake are not patriotic to get senior position) kitakacho fuata ni umaskini, fujo na matatizo katika jamii.

Thats politics for you just as you know 'Ed Millibands' will never become the next prime minister in the UK therefore conservative can mess up as much as they want, he is too left for societies liking (that how the illuminati play us).

There are so many clever people to run western countries but the suitable candidate are the ones with the national interest at heart, its up to their political parties to build up a suitable team to advice him/her on serious policies that are out of his/her expetise. Sasa embu kidogo huu ushamba wa kuona Phd ndio watakao tutoa kwenye umaskini wakishika nafasi ya juu tuupunguze.

Nimefuatilia mambo mengi ya wenzetu, kigezo cha elimu ni muhimu ingawa si pekee. Endapo elimu inakuwa kikwazo kwa mgombea basi historia ya utendaji wake na mafanikio vinafikiriwa. Hatuwezi kuacha kuangalia elimu kwasababu tuna mifano kama ya mzee Makamba ambayo imetuumiza sana. Hata hivyo nakubaliana kuwa si elimu pekee iwe kigezo lakini pia iwepo japo kidogo. Dunia ya sasa haituruhusu tuchukue mvuvi au mkulima tu kwasababu ana busara au hekima.

Kuhusu Godon Brown, nadhani hujaangalia historia kabisa. Unakumbuka serikali ya conservative chini ya J.Major na Thatcher?
Tonny alipoingia madarakani ex-chequer wake alikuwa GB na ndiye aliyemwezesha kurekebisha uchumi kiasi cha T.Blair kushinda chaguzi zote. Blair na wasomi waliobobea wanamwita GB (Father of Economy). Ukweli kile ni kichwa hasa. Hata kufikiriwa katika IMF si kutajana majina tu bali wanamkubali GB kwa mafanikio na mipango yake. Nashangaa unaposema ameacha madeni! Ni kweli nchi ina madeni lakini mtikisiko wa uchumi kama ulivyoathiri marekani, Japan n.k ndivyo ilivyo Uk.
Kwa taarifa tu kazi ya conservative ni kupunguza ukubwa wa serikali. Matajiri inawasaidia sana kwani mambo yao y kibepari yanakwenda mbele lakini raia wa kawaida wanateseka. Fuatilia trend ya chaguzi ndogo utaona watu wanakumbuka serikali ya Labor kidogo kidogo, na inatarajiwa(wachunguzi) kuwa serikali ya muungano na Clegg itavunjika chini ya miaka 3.
 
Hawezi, hatutaki tabia ya wanawake kutumia nguvu badala ya hoja kama ilivyo kwa mvuta bangi wa BBA!
 
The point was that despite being too clever, his morals where too good for the country or a class orientated society. First of all you need to understand his generosity in the welfare and quangos in home politics.

Of-course his international policies were no exception to any other western leader therefore he is fit for that role ya ukandamizaji na unyonyaji. But his internal politics was too much for the rich (the're the ones who foot the bill through higher taxes and do not use the welfare) and those are the influential people in this society. You need to remember he is a preachers son, for him equality and social problems are at the heart of his conscious.

Him and Blair were the new generation of labour but Blair beat him at the leadership contest, do you think those at the time dint know who was the smartest? This people think about a person's attitude and they know what kind of a leader he is going to be.

Finally The conservative still have their base (as in their usual support) and still gained in the local election the losers were the liberal. But when it comes to crunch time 'Ed' is Jewish for starters (enough to loose support to voters) and he managed to beat his brother because of core labour support that is the union.

Tust me with that support if you ever become a prime minister, pleasing that lot is a mission and they can cause so much trouble if left an tamed, therefore you know the influential people and businesses wont like that for that matter he can never win the next election.

Na sijasema mtu yeyote anaweza kuendesha nchi obviously that doesn't make sense.
 
Back
Top Bottom