Kusema ukweli huyu mama ni wa aina yake aisee kuwa N/katibu mkuu UN then urudi kuja kufundisha UDSM? hiyo tu inampa credit kuwa ni mtu simple sana. Nami najifunza kitu toka kwake. Kama alikosea UN ni jambo la kawaida maana si yeye peke yake aliyejiuzulu. Hongera Migiro japo umempa tumbo joto Membe na Sitta hawana amani angalia wasikuloge tu kabla ya 2015