Mifumo Haina ushirikiano

Mifumo Haina ushirikiano

That's the probes of living as Tanu's era
Kusingizia visivo singizika; hivyo vitu vilivyo tajwa hapo ju enzi za TANU vilikuwepo? Walaumiwe watawala waliopo sasa na sio wazee wale wa TANU ambao degree holders huenda hawakuzidi 5, leo kila mtu hadi mtoa risiti anayo halafu uilaumu TANU? Interesting, nyie ndio mnalaumu ukoloni eti umesababisha umasikini wetu
 
Vyanzo vya Mapato.., lazima ushangae kama hata NIDA / Fire n.k. wanatoa Gawio unadhani hizo pesa zinatoka wapi zaidi ya ukweli kwamba Huduma imegeuka kuwa mwananchi kuhudumia Serikali na sio Vinginevyo

Sipendi kuambiwa nikalete utambulisho WA mtendaji,hata sijui Kwa Nini!
Yaani, mifumo Yetu ya kijinga, unatakiwa kua na Kitambulisho kimoja chenye Nguvu ya Kufanya usajiri wa mambo Yote hata Hospital ukiweka tu Kitambulisho chenye Finger print kile Full Documents kulingana na unachoitaji, sasa Kila siku unafanya jambo Moja.
Yaani Hawa wasomi waserikali wanajaza mafumbo kama mabegi ya nguo au Mama wajawazito, ila kazi kusifiana Ujinga.
Tutatue Matatizo yanayo tuzunguka.
 
Kusingizia visivo singizika; hivyo vitu vilivyo tajwa hapo ju enzi za TANU vilikuwepo? Walaumiwe watawala waliopo sasa na sio wazee wale wa TANU ambao degree holders huenda hawakuzidi 5, leo kila mtu hadi mtoa risiti anayo halafu uilaumu TANU? Interesting, nyie ndio mnalaumu ukoloni eti umesababisha umasikini wetu
Usiongee ambacho sijaongea pia mimi sio aina ya kusingizia mamb cz najua, kama ukiamua kutumia akili yako... Unakubaliana namm kua CCM bado wanawapeleka wananchi kana kwamba bado tupo enz za 60s kuna mamb unasikiliza wanayoongea na kufanya kana kwamba watanzania bado wapo kweny usingiz wa pono!!
 
Back
Top Bottom