Hilo mbona wengi tu wanajua, lilishatangazwa na linasubiri taratibu za kibunge tu!!Kuna tetesi nmezipata mahali ingawa sijathibitisha kama ni kweli. Jumomosi nilikuwa nmekaa na mchumi mmoja mahali fulani(jina la sehemu na mhusika nahifadhi).
Inasemekana bwana mkubwa amepanga kuunganisha kama sio kuvunja mashirika yote ya hifadhi ya jamii na kubakiza moja la serikali na moja la binafsi, pia inasemekana wakurugenzi wa haya mashirika yote ya hifadhi walishaitwa na kupewa huo utaratibu na kuambiwa kuwa hiyo ni amri na ole wao waje kulopoka huku mtaani.
Watumishi wote wa serikali watalazimika kuhifadhi fedha zao kwenye mfuko wa hifadhi wa serikali(ni lazima) na watumishi wa sekta binafsi wanaweza kuchagua ni mfuko gani wahifadhi hela zao.
Kuna miradi iliyokuwa inatekelezwa na mashirika hayo miingine inaonekana kusimama, mkulu kasema hata serikali inaweza kuiendesha. Kama ni kweli hili swala linaweza kuathiri uchumi?
Haitokuwa ajabu maana huko ndipo tulipo tokaKuna tetesi nmezipata mahali ingawa sijathibitisha kama ni kweli. Jumomosi nilikuwa nmekaa na mchumi mmoja mahali fulani(jina la sehemu na mhusika nahifadhi).
Inasemekana bwana mkubwa amepanga kuunganisha kama sio kuvunja mashirika yote ya hifadhi ya jamii na kubakiza moja la serikali na moja la binafsi, pia inasemekana wakurugenzi wa haya mashirika yote ya hifadhi walishaitwa na kupewa huo utaratibu na kuambiwa kuwa hiyo ni amri na ole wao waje kulopoka huku mtaani.
Watumishi wote wa serikali watalazimika kuhifadhi fedha zao kwenye mfuko wa hifadhi wa serikali(ni lazima) na watumishi wa sekta binafsi wanaweza kuchagua ni mfuko gani wahifadhi hela zao.
Kuna miradi iliyokuwa inatekelezwa na mashirika hayo miingine inaonekana kusimama, mkulu kasema hata serikali inaweza kuiendesha. Kama ni kweli hili swala linaweza kuathiri uchumi?
Hivi anafurahia watu wakipata taabu!!Duuu huyu Mzee kiboko yani kila akicheki Mishahara wanayokunja hawa Jamaa roho inapitwa.., hatimae kawaingiza kwenye 18 zake!!!
Nadhani ile adhima ya kuishi kama Mashetani ndio inayolengwa..,Hivi anafurahia watu wakipata taabu!!
Ndio maana yake,hutakiwi kuishi Kwa anasa,Bali uishi km mzuka usiojua usiku ukifika ni wapi pakulalaHivi anafurahia watu wakipata taabu!!
Wataambiwa warudi vijijini wakafyeke mapori,wakope pembejoo wakalimeTwafaaa hao staff watawapeleka wapi
Magori mbona analimia meno siku nyingi mtaaniTutakulana sana mtaani hakiya nani, sio ajabu magori akaanza kupiga ngeta za vigunia mtaani, maana hajazoea kuishi kama shetani yule, alishazoea kuishi kama malaika