Tetesi: Mifuko ya hifadhi ya jamii kwa Watumishi kubakizwa miwili

amatolo

JF-Expert Member
Jul 24, 2017
690
711
Kuna tetesi nmezipata mahali ingawa sijathibitisha kama ni kweli. Jumomosi nilikuwa nmekaa na mchumi mmoja mahali fulani(jina la sehemu na mhusika nahifadhi).

Inasemekana bwana mkubwa amepanga kuunganisha kama sio kuvunja mashirika yote ya hifadhi ya jamii na kubakiza moja la serikali na moja la binafsi, pia inasemekana wakurugenzi wa haya mashirika yote ya hifadhi walishaitwa na kupewa huo utaratibu na kuambiwa kuwa hiyo ni amri na ole wao waje kulopoka huku mtaani.

Watumishi wote wa serikali watalazimika kuhifadhi fedha zao kwenye mfuko wa hifadhi wa serikali(ni lazima) na watumishi wa sekta binafsi wanaweza kuchagua ni mfuko gani wahifadhi hela zao.

Kuna miradi iliyokuwa inatekelezwa na mashirika hayo miingine inaonekana kusimama, mkulu kasema hata serikali inaweza kuiendesha. Kama ni kweli hili swala linaweza kuathiri uchumi?
 
Hilo mbona wengi tu wanajua, lilishatangazwa na linasubiri taratibu za kibunge tu!!
 
Naamini itapunguza ubunifu na itaongeza urasimu pia itaadhiri mifuko ambayo ilikua imara kiuchumi kama PPF itaadhiriwa sana na mifuko mingine ikiwemo yenye miradi mikubwa isiyolipika kama NSSF n.k ili suala lingeangaliwa kitaalam zaidi baadae tutapata shida zaidi
 
Kuna tetesi nmezipata mahali ingawa sijathibitisha kama ni kweli. Jumomosi nilikuwa nmekaa na mchumi mmoja mahali fulani(jina la sehemu na mhusika nahifadhi).

Inasemekana bwana mkubwa amepanga kuunganisha kama sio kuvunja mashirika yote ya hifadhi ya jamii na kubakiza moja la serikali na moja la binafsi, pia inasemekana wakurugenzi wa haya mashirika yote ya hifadhi walishaitwa na kupewa huo utaratibu na kuambiwa kuwa hiyo ni amri na ole wao waje kulopoka huku mtaani.

Watumishi wote wa serikali watalazimika kuhifadhi fedha zao kwenye mfuko wa hifadhi wa serikali(ni lazima) na watumishi wa sekta binafsi wanaweza kuchagua ni mfuko gani wahifadhi hela zao.

Kuna miradi iliyokuwa inatekelezwa na mashirika hayo miingine inaonekana kusimama, mkulu kasema hata serikali inaweza kuiendesha. Kama ni kweli hili swala linaweza kuathiri uchumi?
Haitokuwa ajabu maana huko ndipo tulipo toka
 
Mimi binafsi nitafurahi sana ikiunganishwa, kuna watu wangu wa karibu nawajua wanateseka sana kwa manyanyaso ya mfuko mmoja siutaji ila ni jambo jema.
Katika mifuko hii pia imekuwa km kichaka cha kujificha....
 
Ushindani ni muhimu sana, sasa serikali itakusanya pesa vizuri ila huduma kwa wafanyakazi na vile vibonus sijui mafao ya uzazi na mikopo ya kuanzia maisha wasahau.
 
TANGU KITAMBO HZ TETESI, HATA JUZI KALIZUNGUMZIA KAGERA.

ILA ITALETA SHDA NA HUDUMA ZA HFADH ZTAKUWA MBOVU, LABDA ANGESEMA MIFUKO IWE MIWILI ILA IWE NA UHURU WA WA KUSAJILI MEMBERS. IWE PRIVATE AU GVT.

HATA HVYO, HUU MFUMO ANAOLETA NI WA KIZAMANI, NI SAWA NA KWENDA MBELE HATUA 5 UNARUD HATUA 7

KWA MUJIBU WA TETESI NI KWAMBA NSSF, GEPF NA PPF ITAUNGANISHWA KUWA MFUKO MMOJA (NSSF) HALAFU LAPF+PSPF NI PSPF
 
Screenshot_20171029-085118.png
 
Tutakulana sana mtaani hakiya nani, sio ajabu magori akaanza kupiga ngeta za vigunia mtaani, maana hajazoea kuishi kama shetani yule, alishazoea kuishi kama malaika
 
Kafanya research au akiamka kitandani anatoa matamko?, kuamua bila kufanya research hakutatuacha salama
 
Tutakulana sana mtaani hakiya nani, sio ajabu magori akaanza kupiga ngeta za vigunia mtaani, maana hajazoea kuishi kama shetani yule, alishazoea kuishi kama malaika
Magori mbona analimia meno siku nyingi mtaani
 
TFDA, TBS na FCC nayo kuunganishwa soon!

Mie naona hata Majimbo waunganishe tupunguze msururu wa Wapiga Makofi na Wazomeaji
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom