Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
Hivi hizi Router zinazouzwa na makampuni ya simu za mikononi (Tigo, Voda, Smart, Halotel etc), hivi zinaweza kuwa universal kwa sim card ya kampuni yoyote ya simu (tofauti na kampuni ilikuuzia) kutumia?
Kuna namna ya kuifanya ikawa hivyo?
Kuna namna ya kuifanya ikawa hivyo?