taekwondo
Senior Member
- Oct 6, 2016
- 131
- 244
Habari zenu wakuu?
Msaada wenu tafadhali. Nahitaji kununua kifaa kimoja wapo cha internet kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, je ni kipi ambacho kitakuwa na speed nzuri maana napenda kustream online ila hotspot ya simu naona inakwama sana.
Msaada wenu tafadhali