Misemo kama hii mara nyingi huishia kwenye kampeini. Najiuliza hivi kama Lowassa ndo angeshinda angekuwa anafika kwenye mikutano na kusema Lowassa!!! na watu wengejibu MABADILIKO!!!!? Hata Obama alisema YES WE CAN, lakini baada ya kuchaguliwa aliingia ofisini na kuchapa kazi bila kutukumbusha tambo za kampeini.
Kama mtanzania mzalendo najiuliza, hivi HAPA KAZI TU inamaanisha kufanya kazi bila kutumia sheria, kanuni na taratibu? (kutumbua majipu) HAPA KAZI TU, inamaanisha kufanya kufanya kazi bila kulipwa? (naambiwa madiwani hawajalipwa posho nchi nzima kwa miezi miwili). Au HAPA KAZI TU ilimaanisha usiulize OC, ukiuliza bwana mkubwa anakurekodi alafu unatumbuliwa!
Wanaoweza kunifafanulia wanambie HAPA KAZI TU, ina maana gani? Hivi mnakumbuka rais akihutubia bunge alisema HAPA KAZI TU inabadilika na inakuwa SASA KAZU TU. Nini kilishindikana mpaka leo tunaimbiwa HAPA KAZI TU?