Tumia akili kidogo uliyo nayo. Nimekuonyesha tarehe 10/11/2015 na hali ya leo 14/7/2016 ufanye tathimini. Wewe umeona hiyo moja tuu?
Bwana mkubwa, tunajaribu kufanya comparison ya utawala huu. Hali ilivyokuwa November na ilivyo leo. Kwa nini hakuna mabadiliko? Hizi sio lawama bali mjadala kuwa wapi panakosewa na kufanya anguko la shilingi liwe palepale wakati tunaambiwa juhudi ni kubwa katika kukusanya na kubana mianya ya upotevu?Ukiongelea suala la stability ya pesa yetu stability tangu aingie JPM kuna kueleweka. Ungekuwa mtumiaji wa pesa za nje ungelijua hili na husingefananisha kipindi cha nyuma na sasa. Kwa taarifa yako angalia kwa mwaka wote 2014-15 July tu pesa ilikuwaje awali na ilafika wapi ndio utapata picha na kujua pesa inayodondoka inakuwaje. Ila kwa sasa shukuru mafanikio unayoyaona. Kuna hatua kubwa sana.
Hahaaa.mirijaa imekaataa eeh hamieni.shywasco...huumto miaka mitanoooTunaambiwa makusanyo ni makubwa, mianya ya wizi imedhibitiwa ikiwa na utoroshaji wa fedha nje. Lakini mbona thamani ya fedha yetu haiboreki zaidi ya kudidimia ingawa sio kwa kasi lakini ni polepole.
Tarehe 10/11/2015
View attachment 366171
Leo hii tarehe 14/7/2016
View attachment 366173
Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro imesitisha huduma ya chakula cha bure kwa wagonjwa kutokana na UKATA .Tunaambiwa makusanyo ni makubwa, mianya ya wizi imedhibitiwa ikiwa na utoroshaji wa fedha nje. Lakini mbona thamani ya fedha yetu haiboreki zaidi ya kudidimia ingawa sio kwa kasi lakini ni polepole.
Tarehe 10/11/2015
View attachment 366171
Leo hii tarehe 14/7/2016
View attachment 366173
Na bado ngoja tumalize mwaka halafu wanatuaminisha mapato yameongezekaHospitali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro imesitisha huduma ya chakula cha bure kwa wagonjwa kutokana na UKATA .
Miaka zaidi ya 50 hali haijatengamaa, unashangaa miezi 8!Tunaambiwa makusanyo ni makubwa, mianya ya wizi imedhibitiwa ikiwa na utoroshaji wa fedha nje. Lakini mbona thamani ya fedha yetu haiboreki zaidi ya kudidimia ingawa sio kwa kasi lakini ni polepole.
Tarehe 10/11/2015
View attachment 366171
Leo hii tarehe 14/7/2016
View attachment 366173
Tutasubiri hata miaka 100 utwala Wa miccm majanga makubwaMiaka zaidi ya 50 hali haijatengamaa, unashangaa miezi 8!
mimi hapa nawaza kuacha kazi leo nimepokea barua ya bodi ya mikopo naanza kukatwa mwezi huu 8%,,ukiangalia ni kama 9k,,sijui imekokotolewaje wakati ada ilikua laki nane miaka mitatu,,,nikiangalia nina mkopo wa bank,,nina makato ya paye,,nina makato ya tuico,,,hapa kweli sioni tena mwanga mbele inabidi nistaafu tu kabla ya umri wa ppf,,,nisaidieni jaman,,,
Huo ulishaporomoka katika chart Na watu hawataki kuusikia kabisa.!Tuimbe wimbo wa namba
Subira yavuta kheri na mvumilivu hula mbivu.....Mliambiwa vumilieni kidogo mambo mazuri yanakuja-sululu