Jamani hao wote wana rika moja..utasemaje mama anamwambia bintiye?naona mama anamwambia binti yake awahi nyumbani kabla hajachukia, anamwambia amalizie konyagi fasta.
huyo wa kati ni mkubwa mkubwa bwana alieshika glasi ni mbinti! Au kwa sababu wamelingana urefu?Jamani hao wote wana rika moja..utasemaje mama anamwambia bintiye?
Dada yake na Mh.Mbowe nini? au mtoto wa Kovaaa???Cheki huyo aliyenyoosha mikono ana makengeza kwa mbaaaali.....!
Wivu tu umekujaa...Nimepita hapa.