Kwanza ningefuatilia kama huko nyuma katika ukoo wangu kama tulishawahi kuchanganya vinasaba,maana kuna ishu kama hiyo nimewahi kuiona,jamaa mkewe kazaa mzungu
Lakini mke akasema hajawahi kucheat katika ndoa yake kabisa,na kuapa akaapa
Lkn baadae ikajulikana mume kwao kuna historia ya kuchanganya vinasaba
Kuhusu yeye kupeana likizo katika sex akamwambie boya mwingine lkn sio mie
Kuhusa kutoka na wenzake na mimi nilinde nyumba,akitoka huko ajue pa kwenda kufikia pengine