Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
mwaya nilikuwa nafanya hizo mwanzoni mwee!
Hee hee!
Afu ungejua kama una kesi nzito ! Yaani ungejikuta umelala mapema! Una bonge la kesi jipange .
mwaya nilikuwa nafanya hizo mwanzoni mwee!
hahahahahhahahahhahahhahahhahah chezeya kuandika Chilli halafu kuunderline na kuitia rangi! ili itokee kama hivi Chilli
:confused2::confused2::confused2:Wana Chit-Chat habarini!!
Nimepitia thread kadhaa na kugundua mambo kadhaa ikiwemo madongo ya kufa mtu,utani mwingi nk.
Pia nimesikia kuna mkaguzi hapa anaitwa babu Asprin.
Mie mgeni,naomba kuoneshwa mitaa ya kukatiza humu.
Ukisoma jina lake eti anafaa kukaguliwa?Hlafu eti mtu kaingia jana, jana hiyo hiyo anajua kummention Babu Asprin?? No way huyu atakuwa mzoefu humu.
:confused2::confused2::confused2:
Ukisoma jina lake eti anafaa kukaguliwa?
Tena ukome na ukomage kuwasema vijana wake wa ujana wangu!ole wako uwaguse wake za Asprin,utashushwa mshipa,oloza yao nikupe? sema wote ni nzee chokest wakioga maji hayateremki,eti BADILI TABIA na cacico si ndio?
Heheheheeeee CUTE nimekumisss mai diawazoee wote ila sio Erickb52
wote wazima nimeona nimujuze huyo kijana kabla hujamuingiza machaka kwakujitia rafiki mwema mana hiki ni K i z u n g u z u n g uHeheheheeeee CUTE nimekumisss mai dia
Yan unavyonijungukia naona hunitakii mema lol
Hivi Saint Ivuga yupo? Vipi Kaizer hajambo? na naniiii je?
mkuu msamehe huyu njuka kwao alikotoka kuna hali ngumu sanakaribu halafu fanya mpango wa kunitumia vocha kwenye hii namba faster...0786800800
hii karibu mbona kama yoteyote haijabakisha kitu charmingladykaribuuuuuuuu