Mie mgeni mitaa hii!!

Mkuu Judgement,mbona waniandama?
Nimekuwa guest kwa muda humu na nimejifunza ku-mention kupitia baadhi ya posts zilizoelekeza hivyo.

Yawezekana mie ndiyo nikawa sielewi vema msamiati wa neno "kuandamwa" mie nime'share 1 comments kuhusu ujio wako, na kwa hiyo comment 1 wadai "nimekuandama"
so far ungependa nisi'express my opinions ?
 
Last edited by a moderator:
Yawezekana mie ndiyo nikawa sielewi vema msamiati wa neno "kuandamwa" mie nime'share 1 comments kuhusu ujio wako, na kwa hiyo comment 1 wadai "nimekuandama"
so far ungependa nisi'express my opinions ?

Shikamoo Judgement!!
 
Last edited by a moderator:

Due your respondin this comment now i recognize who are you!
By usin primer to analyze it, how you craft letters and words.
Words can indicate more personality traits!!
According to the science of graphology or knows as handwritin analysis!
Au nikuchane live? Nshakustukia ujue?
 
Hebu nichane tuone,maana sikuelewi elewi ujue!!
 
Heheheeee!!!
Umeingia choo cha nguruwe mkuu!!
Mimi ni John Elias.

Cha nguruwe tena....

ImageUploadedByJamiiForums1354476367.500225.jpg
 
Last edited by a moderator:
Moja kwa moja unakuja chit chat halafu unakuja chitchat? WTF?
Karibu
 
Imenichukua muda mrefu sana kujua jinsi ya kumention mtu kama ulivyofanya. Hii inaonesha kwamba wewe si mgeni humu. Tuambie Id yako ya zamani kwanza.
hahahahahhahahahhahahhahahhahah chezeya kuandika Chilli halafu kuunderline na kuitia rangi! ili itokee kama hivi Chilli
 
Heheheeee!!!
Umeingia choo cha nguruwe mkuu!!
Mimi ni John Elias.

Mostly civilization is just sometimes controversial terms , that have been used in several related ways for human culture!
Hence to debate with uncivilised person like you are ! Obvious is an extraordinary duties !
Just stay tuned as you are !
 
Last edited by a moderator:
MkUu we mbona kama best friend wangu,john elias ni friend tupo jirani ina mana ndo wewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom