Mie kuku mgeni, sikosi kamba mguuni

Kaseko Rajab

New Member
Aug 1, 2020
1
2
Kwanza niwashukuru waungwana wote waliopo na walio-anzisha ‘Platform’ hii ya JF.

Nimekuwa nikikaa ndani mwenyewe baada ya mambo yangu kuyumba sana hususani ‘Financially’ na huku nikikosa mtu wa kuzungumza naye baada ya kuwa so desperate kutokana na hali hiyo.

Nafurahika huku katika jukwaa hili naweza pata watu wa-kunishauri na kunipa mawazo mapya! Kuku mie mgeni ni jukumu lenu waungwana kunikata kamba kwa mguu! #Nipokeeni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom