Midomo zege kuja hapa

Midomo zege kuja hapa

Mwanaume ukiwa na hela mistari na ujasiri vinakuja automatic...lakini ukiwa hata mia huna mfukoni...unakuwa mdogo kama piriton.......
Mimi mwenyewe nikiwa na elfu kumi tu na nimekula nimeshiba nakuwa na ujasiri wa ajabu na mistari inashuka yenyewe kiasi najihisi naweza kumuimbisha mpaka first lady......
BOSS NI HELA.....
hah haha hah hah
umenikumbusha nyumban
kuna siku napita nyuma ya dirisha la chumba cha mdogo wangu (male) nkasikia anayaongea haya kwenye simu jioni.
 
ni kweli muda mrefu
niko poa
nlikuwa najiskia aibu kuja hapa jukwaan nlisemwa sana na wana jf

Wasikubabaishe........tupa kule gadem mbululazzzz........karibu tena bana..........
 
"Midomo zege", narudia kwenye quotation marks "midomo zege" wanagonga mademu balaa, alafu ni kwamba hawa wana uwezo wa kurudia mechi na hao mademu watakavyo, wale "wajanja" mara nyingi ni ile first impression, bhaaas! Akigonga mara moja, demu anastuka kuwa huyo alikuwa anaacti. Be charm ila original.
 
inategemea unatongozea wapi kama kwenye kona na chocho za barabarani sawa
 
Uniambie nimematch nguo na macho........wakati najua nimevaa Xmas tree na nina macho mekundu ka mchawi.........mbona utanifehemu.............

Msichana hata kama kapiga juu njano chini zambarau na mkoba mweupe ukimwambia umependazaaaaa. Atafurahi huyo ma tabasam la kutosha . You are one of the wasichana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom