Midomo zege kuja hapa

Midomo zege kuja hapa

Ndio nimetoka kutumia maneno yako kwa mdada mmoja na amenikubalia,ila alkuwa amevaa nguo za kijani,sijui ni ccm!!:doh: ila poa nmemwambia amechisha macho na nguo:becky: asante mafurikoyamoto.
 
Last edited by a moderator:
Yaani aliniangalia wee badala anipe hata lift anatoa mijicho tuu sijui aliniogopa akati niko simple tuu, aende zake ukoo na migari yake. ..kijitu chenyewe kilikua kifupiii ptyuuu ningempenda kwa ajili ya midola maana mbele ya dola hapaharibiki neno kwangu

aisee...we ni kazurikazuri ???
 
Last edited by a moderator:
Kijiweni utasikia "wanawake bwana sijui kwanini wanapenda wanaume malaya"

yaani jamaa leo yupo na huyu kesho yupo na yule tena mademu warembooo........ Alafu mchizi mwenyewe wa kawaida tu!!!

Kwani si kweli lakini..... Hawa vicheche wanaomaindiwa sana na dada zetu si wapo tunaishi nao uraiani......

Kijiweni hapo hapo utapewa majibu simpo simpo kama hivi..........."wale machizi wanakuwaga wamechanjiwa dawa"

aah nani kasema.... Na ww si ukachanjwe basi, tuone km utaambulia kitu.

NI KWAMBA WENZETU WANAJUA KUPANGILIA MAMBO, HAKUNA UCHAWI HAPA.

Ishu ni kwamba masela tunashindwa kuunganisha vidoti kutengeneza mistari ya maana tukaeleweka.

Hivi inakuaje kidume km wewe ukiongea na demu mkali akili inakuruka ulimi unakakamaa mikono inatetema kama ya mnywa gongo??

Ivi inakuaje dume zima unapepesapepesa macho unashindwa kumface demu direct in her eyes??

Ivi inakuaje beberu zima lenye midefu kama ww unashindwa kuuliza vitu vya msingi.... Eti dada unakaa wapi?? Mara eti dada una miaka mingapi?? Unafanya kazi gani?? ....buuuuulshit....yaani kuonana nae tu dakika mbili unataka ujue ana age gani......ili iweje>??

Akikujibu hana kazi utampaa>??

Ukijibiwa kunya unaanza oh demu anajisheua.....wakati ww ndio sheeda!


Ndio maana wengi mnakuja kutongozea hapa jm......unashindwa kutongoza demu unaemwona live utaweza kutongoza hii migumegume ya jm>??

Sijui...ila mm nlitestigi zali hadi leo sijafanikiwa.....ila wa kitaani napiga ninapotaka!!


sasa wanangu ngoja niwape matekniki ya kufaulisha

uwe smart mwangalie usoni

anza kwa maneno mazuri ya kipekee..... Ikiwezekana mchekeshe, mfano

.... Vp dada kwema? Hongera umependeza hadi raha (ok asantee)..... Mh alafu hivi umewezaje kumechi

mavazi na rangi ya macho yako? Hapo lazima adate...anaweza akacheka au kusmile....moyoni

atakuwa anajisemea....ahaa kumbe nimemechi.... Alafu atajiuliza hivi kwani macho yangu yakoje au yana rangi gani??......huenda hakuna mwanaume alishawahi kumwambia hivo....so hapo ushajipatia u special kiasi fulani....

Atatamani muendelee na maongezi


ila kumbuka huu sio muda muafaka kuomba namba..subiri maongezi yanoge.....

Wakati mnaagana usisahau usisahau kuonesha umefurahi kuonana nae.........."nimefurahi sana kukutana na wewe it was so special to me".......then omba km mtaweza kuonana tena......."ningefurahi sana km tutaweza kuonana tena".....na huo ndio muda muafaka na kuomba likontakti.......


Ni hayo tu kwa leo

happy new year.....sina bifu na mtu

Wacha miyayusho kumpata demu hadi a take yeye mwenyewe tu... Ndio maana wengi wasipotaka na wakikustai huwa wanatoa sababu kadhaa kadhaa...
 
No matter how a guy iz , if i love him swaggx and other things are additional coz wapo guyz ambao hawana swaga wanapendwa.So real love does not ask why right!
 
wanawake wanataka mtu anaeongea
1.Reality
usijifanye utamnunulia gari wakati shati hata kunyoosha tuu kwa pasi ya mkaa inakushinda unadhani wanawake wajinga
2.Personality
uwe mtu mwenyee muonekano unaovutia sio suruali chini ya matako viatu vireefu si ununue vinvyo kutosha kaka??

3.Nidhamu/Displine .mtu unaye jiheshimu na kuwaheshimu walio kuzidi rafiki zake/ndugu zake,na jamaa zake
4.Mchamungu/worship.Kuna vijana wapo MMU hapa kaniosani ni chrismass na mwaka mpya wakiwa wanamvizia dadammoja mwimba kwaya .huwezi kumpata mdada mzuri atakae kupenda na mkaishi wote pamoja
5.Kujitambua/Self determination. Jijue ww ni nani, umetoka wapi, upo wapi na unaelekea wapi na utakutana na nini hiko mbele, vijana wengi wanawake wanawapenda kwa wakati wa raha ila si sehem ya shida zao huwezi kufanikiwa

Vijana wa MMU mnaoandika thread za kutafuta mchumba naomba niwafunde kwa haya machache na wengine wataongezea wenye adabu kama mm na wanawake hahahaa. Na hatuta tegemea kupata thread za oo natafuta dem wa kutokanae mwaka mpya nanyingine nyingi mnaona wanawake mpira wa miguu mnapiga mtakavyo sio hivyo wa wakuu nawasilisha hoja kwa mikono miwili.



yaani hata uwe na sifa zoote hizo....bila dolari hufai kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom