Mida ya wanga

Nitoka time Hii naenda kupunguza Oil Toilet Nikaona paka mweus nikajua tuuu uyu atakuwa Uncle Mshana Jr
 
Ulimwengu wa kiroho hauna mipaka ya muda na nafasi. Ulimwengu ambao nafsi inakuwa huru . Unaweza ukaondoka hapo ulipo ukaja hapa nilipo kandokando ya huu mto rufiji..... Hapa tunafanya tambiko na tunamaliza hivi punde.
Nikimaliza ntakuwa somo zuri zaidi ili nawe uweze kutambua mambo haya. Ni Kwa neema tu, ndipo utayatambua.
 
Wachawawi at Work
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…