Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,770
- 1,555
yani siku hizi ni fashion kuandika negative news za nokia/msft si kweli kama inakataa whatsap ila ni kwamba whatsapp haipo store ya nokia.
kueka whatsap unainstall 1mobile market unadownload whatsapp. Ikikataa unaeka whatsapp plus ambayo asilimia mia inafanya kazi
Ntake radhi Chief Mkwawa mimi nimesema inasumbua kuweka whats app sijasema inakataa ( na inasumbua kamamwenyewe ulivyotaja huo mlolongo wa hatua za kuipata) kwa mtu asiye mjuzi wa mambo ya simu zitamsumbua
