Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
Leo microsoft wamezindua simu mpya ya nokia x2 ambayo inarun forked android version ya aosp. Simu hiyo ambayo itauzwa around 220,000(bila vat) inatumia processor ya snapdragon 200 cortex a7 dualcore, ina ram 1gb na internal 4gb pamoja na uwezo wa memory card. itakuwa na camera ya 5mp na camera ya mbele vga. Simu hio yenye kioo cha wvga 4.3 inch itakuwa inawasuccess nokia x, x+ na xl.
Nokia wameimprove vitu hivi kwenye hii simu.
1. RAM ya 1gb wakati nokia x ilikuwa na 512mb
2. Opera mobile ndio default browser
3. Ina button 2 za mbele sasa hivi back na home key
4. Swipe left au right kuingia multitasking na fastlane
5. Slightly decent processor compare to old x series
6. 1800mah battery compare with 1500mah battery of nokia x
For me hii ni simu nzuri na inaondoa haja ya kununua old nokia x series.
Guys nyie munaionaje bei na specs zinaendana?