Microsoft Swahili speakers launch | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Microsoft Swahili speakers launch

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by popo, Nov 1, 2008.

 1. p

  popo Member

  #1
  Nov 1, 2008
  Joined: Aug 30, 2008
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [/B]Microsoft Swahili speakers launch

  Microsoft launched its Swahili software in Nairobi
  Microsoft has launched its software in Swahili targeting more than 110 million speakers of the language.
  The Swahili Windows and Office programmes are a product of two years of work by language experts from East and Central Africa.

  They had to work on the standardisation of the language which is spoken in different dialects across the region.

  The software giant says this software is intended to bridge a digital divide between developed and emerging markets.

  Language experts from Kenya, Uganda, Tanzania, Zanzibar as well as the Great Lakes and the Democratic Republic of Congo had to come up with a common glossary.

  Some 650,000 words have already been translated for the Windows and Office programmes, while another 70,000 words have been translated for the help menus.

  There are more than 100 million Swahili-speakers in the region - in Kenya, Tanzania, Uganda and parts of the Horn of Africa, Great Lakes, Malawi, Mozambique and the Indian Ocean islands.

  The company argues that in a region with few computer users and high illiteracy rates, the Swahili version of Windows will inspire East African governments to expand their IT economies, encourage literacy campaigns and attract more computer users.

   
 2. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ooh! Thanks to Open Source Software, vinginevyo tusingekumbukwa.
  .
   
 3. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwanini Nairobi na sio Dar-es-salaam au Zanzibar?
   
 4. R

  Rodelite JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2008
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 320
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Damn right....Kwa nini sio Dar au Znz?
  Mimi nimekaa Kenya miaka 7. Kuanzia 1983 mpaka 1990. Ilikuwa ukiongea Kiswahili ....wewe ni mtu wa hali ya chini na pia hukusoma sana (elimu duni).
  Watu wa Mombasa wanaitwa "waswahili". Wakati ule hawakuwa wanaheshimika sana (sijui sasa). Kwahiyo waKenya (hasa watu wa Nairobi) hawajivunii lugha ya Kiswahili kama sisi.
  Hawa watu wa "Microsoft" naona wangefanya utafiti zaidi badala ya kuianzishia hiyo "software" huko.
  Kiswahili chenyewe wanachotumia...ni kama "broken" vile.....

  ...Lakini wenzetu "wakenya" wamechangamka kidogo...labda walituzidi kete...
   
 5. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2008
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  This is an insult to the cradle of Kiswahili!!!! Why Nairobi??
   
 6. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Just wonder why Nairobi...waache wafanyie nairobi...sie tubaki na Microsoft english version....

  Kiswahili origin yake ni tz..sasa kenya wapi na wapi? ua ndio hata tumeshidwa kujitangaza kuwa kiswahili ni chetu...na si cha wakenya....kama mlima kilimanjaro?
   
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  Nov 2, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  kenya kuna maendeleo makubwa ya lugha ya kiswahili kuliko mataifa mengi ya afrika mashariki hili halina ubishi sema wengi hawaongei kiswahili sanifu cha polisi kama wao wenyewe wanavyokiita nimekaa kula kenya kuanzia mwaka 93 mpaka 99 wakati nasoma nimeona mengi maendeleo waliyopiga wakati huo haswa katika mambo ya ICT wakati tunasoma somo la komputer kwahiyo jamani watanzania tuwekeze katika mambo mengi haswa ict haswa katika suala hili la lugha ili tutambulike

  tafiti nyingi za kiswahili zinafanywa na wakenya hao hao na hata herufi za kiswahili za q na x zilizoongezewa mwaka jana zimeletwa na wakenya hao hao na baraza lao la kiswahili , angalia majukwaa yote ya kiswahili ambayo ni makubwa katika mtandao ni ya wakenya

  www.groups.yahoo.com/kiswahili
  www.groups.yahoo.com/swahili

  hata ule mradi wa yale wa kamusi wachangiaji wengi ni wakenya kwa jinsi hiyo leo hii kamari lazima iangukie kwao
   
 8. p

  popo Member

  #8
  Nov 2, 2008
  Joined: Aug 30, 2008
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuzindua hiyo softare Kenya haina maana kwamba wao ndio wanaongea kiswahili fanisi.someni habari nzima na muelewe ilifanyika research na reseach centre ilikuwa nairobi kwa sababu Microsoft wana centre kubwa pale nairobi na sio Tanzania lakini wataalamu wengi waliokuwa kwenye research hiyo ni Watanzania, wataalamu wa Zanzibar, Uganda, Kenya na hata Burundi na Democrasia ya watu wa Kongo.

  Huo ndio ukweli wenyewe kama mnavyofahamu kenya walishaanza Capitalism muda mwingi kwahiyo makampuni mengi sana yaliweza kuwekeza Kenya kwa wingi Tanzania ndio kwanza tumefunguliwa macho miaka 15 iliyopita.
   
 9. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #9
  Nov 2, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Popo unachosema si kweli angalia trend ya ict na ujaribu kupambanisha mataifa haya na watu wake ndio utajua ukweli katika kuangalia huko angalia miradi inayoendelea na ambayo iko mbioni sasa hivi na mambo kama hayo

  mfano sasa hivi mataifa haya yanajiandaa na igf ya dunia nzima kule india mwezi nov , katika nchi za kiafrika zote wanafanya mikutano kila mmoja na nchi yake ila majumuisho yalifanyikia nairobi kwenya na kenya comp society ndio iliandaa mikutano yote hii kwa hilo tu inatupa mwanga ni nini haswa kenya imeshika na kinachoendelea ndio maana kampuni hizo zinaenda kenya kuwatumia wakenya kwa mambo yao mengi sana

  kama hujui au huna taarifa zingine nyeti uliza utaambiwa
   
 10. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2008
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,968
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Tutajitangazaje ili hali kila siku tunatupiana madongo hata pasipo staili.some times tunazushiana.Ndio tabaia zetu waswahili domo kaya wenzetu wamechukua tusilalamike
   
Loading...