Microsoft not to support window xp from april this year

Microsoft not to support window xp from april this year

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
it started went on sale in 2001
and it will stop support it in april this year
mpk august 2012 it was the most world leading operating system in the world
40 percent of chinese computer users use pirated window xp not mention they are among world leading internet users
and microsoft has refused to make any aspecial case to xp user in china

the three digital giants support are google,apple and microsft

apple is the most valuable company in the world for now approximately to have more than $ 450 BN followed by google $ 390 BN and microsoft $ 300 BN

m-pesa is one of best(succesfull) way of sending money in africa

biggest tecnologies companies gave information to the NSA(national security agency)

source:inside story aljazeera

(guys nilikuwa naagalia kipindi cha alajazeera leo, ajenda kuu ilikuwa ni kudiscuss ishu ya microsoft ya kuacha kuissuport tena window xp kama os yake ya muda mrefu walichokisema kikubwa ni kwamba wanataka watu wamove kwenda katika modern microsoft's operating system na masula mengine ya kiusalama zaidi
na hayo mengine niliyoyaongezea ni miongoni mwa yaliyoibuka wakati wa mdahalo so nimeona nije nishare na wenzangu kama kuna ambae atakuwa hajui apate kujua na wale wanaojua just kuwakumbusha by the way sharing is caring,nakaribisha michango
naomba kuwasilisha.
 
Huku kwetu hilo litachelewa sana, nina uhakika mpaka mwaka 2020 bado xp itakuwa ikitumika huku na sababu kubwa ni kuwa sisi huwa tuna-update antivirus tu na siyo windows. Nadhani ujanja ni kuwa na mac tu
 
Tatizo sio kuchelewa. matumizi ya kompyuta kwa watanzania hayahusiani na updates. hivyo watu hawatagundua chochote kwa maana mtu anaweka windows xp then anainstall microsoft office haijalish ya mwaka gan then anaendelea kupiga mishe zake kama kawaida. ila kwa iotensive computer users ndo itawalazimisha kuiacha.
 
Back
Top Bottom