habari wana jf natafuta new version ya hiyo game mimi nina ya mwaka 2004 kama kuna mwenye link ya new version anijuze natanguliza shukran
[h=3][/h]
Mkuu mimi ninayo microsoft simulator X ambayo ni lateset ina GB kama 8.6 na niliipata online kickass torrent
ina ndege gani? graphics vp? ntakupataje unicopie? very muhimu ni inbox hata phone no. yako!
Sijazihesabu lakini waweza ongeza ndege unazizihitat mm niliongeza hadi airforce one niko dar ni pm no yako ntakucheck
na kupenda kwangu game kote hapa nimesanda,ili game limenishinda ngoja niendelee na gta 5 yangu nikichoka nitahamia fifa 14
ndege zipo katika variation 101 zilipo ndani ya Manufacturers 16.. Graphics ni nzuri sio mbaya ila inahitaji PC yenye Graphics Card, Processor na Ram kubwa kidogo ili kuepukana na frames kupotea wakati unapocheza na pia kuongeza spidi ya kuLoad. viwanja vya ndege unavyowezatumia ni around 24,000 dunia nzima kikiwemo 'Arusha Airport' kwa wale wa chugga!!:amen:,,Generally ni Simulator nzuri..ina ndege gani? graphics vp? ntakupataje unicopie? very muhimu ni inbox hata phone no. yako!
nitalijaribu next time. Bado sijakata tamaa kabisahii game inaitaj time na sio fun kama huna interest na mambo ya aviation!!!
Pole sana mkuu ila unaweza kuwa unaweka hela kidogo kidogo, kwani haufanyi kazi?ee Mungu nisaidie ninunue pc wenzangu wanafaid sana mm kila cku kuomba omba tu , me nachezaga flight simulator falcon kwenye lumia 620 c mbaya sana
ee Mungu nisaidie ninunue pc wenzangu wanafaid sana mm kila cku kuomba omba tu , me nachezaga flight simulator falcon kwenye lumia 620 c mbaya sana
M CHANNEL INTRO
Games (Eurotruck Simulator 2, Flight Simulator X, Farming Simulator). Green Sustainable lifestyle and Gospel Piano Music. Your are welcome.Chanel yako inahusika na nini hans?
Hua natafuta vlog wa kibongo mwenye idea za kijanja tufungua joint ac ila nakosa wengi wamejaa mambo ya kina sepetu na daimond tuu. Naomba email yako tudiscuss kitu.Games (Eurotruck Simulator 2, Flight Simulator X, Farming Simulator). Green Sustainable lifestyle and Gospel Piano Music. Your are welcome.