Michuzi ndani ya kampeni za Kikwete 2010

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,185
79,366
Ameonekana Ntwara

xbwroo.jpg
 
michu.kwani nini tabu yako?we piga domo mwenzio anamake:dance:
na kwa jinsi unavyohalalisha anachofanya inaelekea waweza uza utu wako mkuu kwa fedha! kofia ya Majambawazi sio? asiite ile blog yake ya Jamii bali ya CCM!
 
Duhh! Fedha hizi zinaharibu taaluma za watu. Nilipenda sana kutembelea blog ya huyu mpendwa wangu lakini kwa haya niliyoyaona ..... nimekoma na sirudii tena kufika kwenye .....michuzi,.....blogs.......nnnnn!@
 
Nilimtumia email kwamba anapaswa kuwa fair maana badala ya kuifagilia ccm ndo anaiua maana watu wanajua kinachoendelea huku yeye anachakachua.
Ni michuzi huyo mzee wa libeneke.
 
na kwa jinsi unavyohalalisha anachofanya inaelekea waweza uza utu wako mkuu kwa fedha! kofia ya Majambawazi sio? asiite ile blog yake ya Jamii bali ya CCM!

una-edit nini kwenye utumbo ulioongea?
post wazo lako lingine sio u-edit ufyolo,nafasi iko tele hapa J.F
 
na kwa jinsi unavyohalalisha anachofanya inaelekea waweza uza utu wako mkuu kwa fedha! kofia ya Majambawazi sio? asiite ile blog yake ya Jamii bali ya CCM!

nyinyi wapiga kelele ndio nyinyi wasaliti,mda si mrefu hata wewe utatukimbia hapa ukipewa TAKIRIMA
 
kavaa ''PRESS KIKWETE 2010'' Thz y blog yake kaichakachua!!!ukimwambia we mwana Jk anabisha vikali
 
una-edit nini kwenye utumbo ulioongea?
post wazo lako lingine sio u-edit ufyolo,nafasi iko tele hapa J.F
kenge we mtu smart kama mimi u-proof read na kusahihisha ninapochapia! usidhani mie level yako siwezi kuendelea kujaza nafasi na maneno yaliyokosewa
 
kamusi yangu leo imeongezeka

  1. UFYOLO = uozo etc (By Babukijana)
  2. KENGE = mtu aliyekuudhi (By Gezaulole)
 
wehu huu wa watz sijui utaisha lini,akiwa ccm hafai,akiwa chadema anafaa!! mmekwenda harijojo!!
 
Back
Top Bottom