Michuzi Blog Inaboa na Katiba

Arsenal

Senior Member
Aug 12, 2008
190
71
inanisikitisha sana kuona kwamba michuzi blog haina post za madai ya katiba mpya, mdogo wake kwenye michuzi jr blog amefunika mbaya hii mambo ya katiba mi nahisi michuzi sasa keshajikomba kwa JK na hawezi kuandika habari zinazo chalenge serikali ya JK izi njaa ambazo zitamgusa ata mwanae siku za usoni nashindwa elewa upeo wake kufikiri..:sad:
 
sasa unamlalamikia nani hapa JF? umelazimishwa ku-surf blog yake? jaribu kuanzisha thread zenye maana!
 
could be...we need awareness ya katiba so vyombo vyote visaidie mpk tupate katiba mpya!!! wewe macho mbadiliko juu ni CCM nini?
 
Hana ishu huyo.katuni ya gado umeisahau kuhusu waandishi wa tanzania?wanajikomba kweli kupata shibe utafikiri hawakusoma.
 
Analazimishwa kuweka hoja ya katiba? Hapana. kwahiyo ukiona michuzi haikufai huna haja ya ku -visit (huo ndio ustaarabu). Mimi nina miaka zaidi ya miwili sijawahi kutumia blog ya michuzi kwani sioni kama ana jipya. Kaishiwa watu wenye akili timamu hawaendi michuzi kabisa
 
Tanzania ni nchu huru, na watu wanaruhusiwa kuwa na mitazamo tofauti......sio kila mtu anaona dunia kwa kupitia macho yako
 
Mara zote unapotembelea blog yake unamuongezea umaarufu na anapata matangazo ya biashara! Sasa ushauri wangu achana nae na utembelea ya mdogo wake JIACHIE inamambo ya maana zaidi!
 
kutwa mnamtukana humu ila hamuachi kupitia blog yake midole kama matembele:decision:
 
Mimi nazani Michuzi hana kosa maana kama ni mtu wa njaa lazima ajikombe ila kama ni mzalendo kwelikweli lazima aghalabu achangie kidogo katika mada za katiba maana ndilo swala nyeti kwa sasa!
 
Back
Top Bottom