Michubuko njia ya haja kubwa

Michubuko njia ya haja kubwa

Tiba hii hapa.............unaijua aloe vera jelly??.....yaani lile ua la aloe Vera kata kwangua ile jelly........ukimaliza kukata gogo jisafishe fresh kabisa tumia taulo kukausha maji maji pawe pakavu chukua ile jelly sugulia pale mwaloni ..........sugulia na mkono kama unatawaza tena ila ukitumia ile jelly.......utatumia kwa muda wa week 1 asubuhi na jioni ..........utareta ushuhuda hapa umepona......sio maumivu wala miwasho wala kutopata chooo.......nimemaliza na sidai chochote.......asante
 
Ana jua sababu uwenda. Kweli alifanya sema aka kutana na mguu wa mtoto ukagoma kupita ukalazimishwa kwangu mpaka uka pita
Mkuu hilo ni tatizo b

Wewe ni dereva maana yake unakaa kwa muda mrefu'si ajabu kula yako sio sahihi sana kutokana na kazi yako,ukienda kunya unahisi maumivu,ukikaa unahisi maumivu,huenda ukiwa unatomba pia unahisi dalili za maumivu,ila unasema sio bawasili....HAYA ENDELEA TU NA UBISHI MKUU.
n
 
Wakuu Nina changamoto inanisumbua,
Maumivu wakati wa kujisaidia & baada ya kujisaidia haja kubwa.
Kuna Kama michubuko kwenye njia husika inayopelekea maumivu makali.
Miwasho haipo ila ni maumivu makali, hata kukaa kwenye kiti ni maumivu tuu,, Mimi ni Dereva saizi ni wiki moja kazini sijaenda..
Anayejua Dawa msaada please

Note: sijawai fanya au kufanyiwa michezo michafu
Mimi nina Muogopa Mungu
Uvivu na ubahili wa kutokwenda hospital
 
Wakuu Nina changamoto inanisumbua,
Maumivu wakati wa kujisaidia & baada ya kujisaidia haja kubwa.
Kuna Kama michubuko kwenye njia husika inayopelekea maumivu makali.
Miwasho haipo ila ni maumivu makali, hata kukaa kwenye kiti ni maumivu tuu,, Mimi ni Dereva saizi ni wiki moja kazini sijaenda..
Anayejua Dawa msaada please

Note: sijawai fanya au kufanyiwa michezo michafu
Mimi nina Muogopa Mungu
Yaweza kuwa hemorrhoids( bawasiri)
NENDA HOSPITALI
 
Wakuu Nina changamoto inanisumbua,
Maumivu wakati wa kujisaidia & baada ya kujisaidia haja kubwa.
Kuna Kama michubuko kwenye njia husika inayopelekea maumivu makali.
Miwasho haipo ila ni maumivu makali, hata kukaa kwenye kiti ni maumivu tuu,, Mimi ni Dereva saizi ni wiki moja kazini sijaenda..
Anayejua Dawa msaada please

Note: sijawai fanya au kufanyiwa michezo michafu
Mimi nina Muogopa Mungu
Hiyo ni dalili ya bawarisi mzee... nenda hospitali wakucheki.. utapata dawa ya kupunguza maumivu bada ya hapo tafuta dawa asili haraka kabla tatizo halijawa kubwa hadi kuota kinyama
 
Tiba hii hapa.............unaijua aloe vera jelly??.....yaani lile ua la aloe Vera kata kwangua ile jelly........ukimaliza kukata gogo jisafishe fresh kabisa tumia taulo kukausha maji maji pawe pakavu chukua ile jelly sugulia pale mwaloni ..........sugulia na mkono kama unatawaza tena ila ukitumia ile jelly.......utatumia kwa muda wa week 1 asubuhi na jioni ..........utareta ushuhuda hapa umepona......sio maumivu wala miwasho wala kutopata chooo.......nimemaliza na sidai chochote.......asante
Umwambie pia akiweka hiyo dawa atawashwa sana kundule mkuu usije kumponza akapiga kelele mpaka mtaa wa saba wakasikia
 
Hiyo ni anal fissures. Unakunya choo kigumu na unakitoa kwa kulazimisha. Kula vyakuka rich in fibers kama Dona Laini, matembele, parachichi n.k

Uwe unakalia maji ya uvuguvugu 30c asubuhi na usiku unapoenda kulala kwa dakika 10.

Acha kutumia vyoo vya kukaa kwa muda. Na usitumie maziwa ya mgando.
Ukiona Hali inaendelea kwa zaidi ya week 2 muone daktari
 
  • Thanks
Reactions: al1
Wakuu Nina changamoto inanisumbua,
Maumivu wakati wa kujisaidia & baada ya kujisaidia haja kubwa.
Kuna Kama michubuko kwenye njia husika inayopelekea maumivu makali.
Miwasho haipo ila ni maumivu makali, hata kukaa kwenye kiti ni maumivu tuu,, Mimi ni Dereva saizi ni wiki moja kazini sijaenda..
Anayejua Dawa msaada please

Note: sijawai fanya au kufanyiwa michezo michafu
Mimi nina Muogopa Mungu
Bawasiri mkuu Huwa inapona njoo inbox
 
Hizo ni fangasi infection fika duka la dawa lenye DAKTAR atakusaidia
 
Mkuu,hali hiyo humtokea mtu yeyote tu hata Mimi iliwahi nitokea,na chanzo ni ulikula chakula kigumu na ukapata kiungulia,mmeng'enyo wa chakula haukufanyika baraara,wakati kinatoka kile kinyesi kikakwa kinakwaruza sehemu ya hajaa kubwa na kuacha Alama,usifanye chochote vitapona tu✔️

Wengine hupitia hii changamoto na hawasemi
 
Watanzania wengi wanaongea mambo mengi kutokana na ujinga wao.

Mkuu kwanza pole sana.

Pili, kwa maelezo yako kuna uwezekano mkubwa ikawa ni bawasiri. Ila nenda hospitali kwa ajili ya kuangalia zaidi tatizo ni nini.

Tatu, badili mfumo wako wa ulaji. Kama unakula sana mikate au chapati au vitu vya ngano ngano punguza kwa 80% au acha kabisa kwa muda.

Nne, anza kula matunda hasa yenye nyuzi nyuzi kama machungwa, papai, parachichi na mboga za majani.

Tano, kunywa maji kwa kiasi cha kawaida, punguza soda na pombe pia. Kunywa juisi hada za kutengeneza mwenyewe ziwe na karoti, tangawazi, kitunguu swaum, ndizi mbivu na maziwa. Muda mfupi utaona mabadiliko.

Sita, ukienda hospitali nenda hospitali ya uhakika yenye wataalamu wa masuala ya umeng'enyaji. Epuka vituo vya afya bubu maana hao watakuongezea tatizo liwe sugu.

Saba, mara ya mwisho kitumia dawa ya minyoo lini mkuu?, tumia dawa ya minyoo.

Mwisho, pole sana na katika yote hayo usiache kwenda hospitali.

kyesha
 
Wakuu Nina changamoto inanisumbua,
Maumivu wakati wa kujisaidia & baada ya kujisaidia haja kubwa.
Kuna Kama michubuko kwenye njia husika inayopelekea maumivu makali.
Miwasho haipo ila ni maumivu makali, hata kukaa kwenye kiti ni maumivu tuu,, Mimi ni Dereva saizi ni wiki moja kazini sijaenda..
Anayejua Dawa msaada please

Note: sijawai fanya au kufanyiwa michezo michafu
Mimi nina Muogopa Mungu
Unatakiwa usafishe tumbo mkuu, tafuta papai, mihogo, ndizi na maziwa fresh

Papai ni tunda ukipata 2 au 3 good
Saga mihogo na ndizi unaweza kukausha au mibichi kisha tengeneza uji
Maziwa fresh yanunue kisha yafanye yawe mtindi yaan yachemshe kisha yalaze kesho yake utakuta yamekua mtindi

Uji wa mchanganyo wa ndizi na muhogo kunywa asubuhi mchana jioni

Maziwa mtindi kunywa lita 1 asubuhi unapo amka na jioni unapolala

Papai mchana na jioni

Utaleta mrejesho ila umechafuka tumbo
 
Wakuu Nina changamoto inanisumbua,
Maumivu wakati wa kujisaidia & baada ya kujisaidia haja kubwa.
Kuna Kama michubuko kwenye njia husika inayopelekea maumivu makali.
Miwasho haipo ila ni maumivu makali, hata kukaa kwenye kiti ni maumivu tuu,, Mimi ni Dereva saizi ni wiki moja kazini sijaenda..
Anayejua Dawa msaada please

Note: sijawai fanya au kufanyiwa michezo michafu
Mimi nina Muogopa Mungu

Pole sana.

Nenda hospitalini ukaonane na daktari ili akufanyie uchunguzi na vipimo ili kubaini tatizo hasa ni nini.

Kulingana na kazi yako (udereva) huenda ikawa ni michubuko (anal fissures) au bawasiri (hemorrhoids). Kwa hiyo ni muhimu ukaonane na daktari ili upatiwe matibabu.

Kila la kheri.
 
Kula mapapai ulegeze choo
Na ndizi mbivu, parachichi kwa wingi, apunguze na kula vyakula kama chapati na vingine vya ngano na vya wanga. Mlo uwe na matunda zaidi hasa hayo tuliyoyataja bila kusahau kunywa maji mengi.

Kazi ya kukaa sana nayo ni chanzo hiyo ni bawasiri moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom