Michubuko baada ya kula chumvi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Michubuko baada ya kula chumvi

Discussion in 'JF Doctor' started by Yo Yo, Jan 20, 2011.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 0
  Nina tatizo moja kila nikizama chumvini kesho yake Napata mchubuko chini ya fizi….hii inatokana na nini? Au chumvi inazidigi?
   
 2. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,985
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Tatizo nadhani haijakuwaIodised or iodized
   
 3. Marunde

  Marunde Senior Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Jun 9, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Achana na mambo ya chumvini utapata kansa yangozi.
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  labda huko chumvini kuna fungus au kuna infection, pangekuwa salama sidhani kama hayo yangekukuta... jaribu kushauri mmiliki akacheki kama kuna infection
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Ingawa kuna bad bacterias lakini pia kuna good bacterias ambao wanapatikana pia kwenye youghort (mtindi)....  Naomba uprint haya maelezo alafu muonyeshe muhusika mdanganye kwamba hii message imekuja kwenye email spam yako Keeping your vagina healthy
   
 6. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  achana na hayo mambo kabisa.
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  angalia post #5, kama mgodi wa muhusika upo healthy........
   
 8. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,043
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  MMMH YOYO BANA!sio kila chumvi ni chumvi na si kila sukari ni Asali or in simple equition Honey =honey not honey =sweet.
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Jaribu kuzama topeni!
   
 10. s

  shosti JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mhh inaonekana chumvini kwa mpenzio kuna viwembe kwi kwi kwi!
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 0
  thanks you so much.....analalamika anawashwa washwa mara kwa mara....hivi vyoo vya public maofisini soo sometimes
   
 12. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,985
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Duh hii kali ya mwaka au labda kuna nyasi nyingi zinamkata!!!!!:smile-big:
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 0
  lolz.......ngoja nipone then nietst upya
  mambo ya askofu masanilo baraa
   
 14. s

  shosti JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  uko sawia sheikh wa kwa mtoro
   
 15. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,697
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ushatoka Lupango? Karibu tena
   
 16. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #16
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,985
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Niko poa jana nilikuwa namzingua yule msandawe msanii mwenye kuleta vituko lakini vya kwao Kwamtoro hatuletei amini usiamini nimepita twice more than ten years a go mara moja na gari ndogo naenda singida na mara ya pili na basi nikienda kondoa. Ila yule niliemtajia ni kweli kwao kwamtoro.

  Mimi kwetu tanga mapenzi yalipozaliwa ukifika pale stendi ya ngamiani ukimuuliza hata kichaa aliefungwa kamba "kwa shossi" wapi atakuleta mpka nyumbani. Karibu sana.
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 0
  hello honey
   
 18. s

  shosti JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ok nilidhani ndio kwenu huko,T.A ndio kwetu ja,mani utanikaribishaje kwetu
   
 19. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ha haha! Umesema kweli MKuu. Inawezekana Mzee Yoyo anapokuwa kazini anageuka "lawn mower" bila kujijua. Kazi kweli kweli!
   
 20. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,709
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  You had got it coming!
   
Loading...