Michuano ya Jumuia ya Madola, Glasgow 2014

Michuano ya Jumuia ya Madola, Glasgow 2014

Kutoka Glasgow check clip hii Glasgow 2014: Boxing - preliminaries - BBC Sport. Angalau baada ya kushuhudia mabondia wote 4 wa Tz wakitolewa mzunguko wa 1 bondia Pius amekuwa bondia pekee kutoka Tz kushinda baada ya kumtoa bondia kutoka Malawi.
Duh, na huyo Pius bahati yake amepambanishwa na mnyasa mwenye lishe ya ugali wa muhogo na dagaa. Vinginevyo ingekuwa majanga tu!
 
wameamua kujielezea jnc tulivyo huku nyumbani, uzalendo aliondoka nao nyerere

hapo umenena vyema, mpaka leo siku ya tatu hakuna mtz hata mmoja ambae kesha chukua medali, wakenya na wa sauth wanazikusanya tu, ee mungu sijui tulikosea wapi
 
Kumbe nchi kibao bado hawajapata chochote kama sisi ? Lazima mwaka huu wanariadha wetu wataufanya wimbo wetu wa taifa upigwe , si masharobaro akina Mo farah na ile nut sorry bolt ya jamaika wamejitoa?
 
Hivi hakuna mashindano ya wala rushwa bora na mafisadi bora duniani? maana ndio tunayoyaweza hayo baaassii...
 
Mtanzania Naasi anatupa matumaini. Running strong. Kenyans are wishing Tanzania well!
 
Tanzania hakuna mwanariadha anayeoongoza, kwani kwenye half mark (1:58:44) wanaoongoza ni Chebran wa Mkenya na Shelley wa Australian??
 
Mekuwekea table hapo juu, nchi nyingi bado hazina medali. Ila tatizo ni kwa wenzetu wanashiriki michuano mingi hivyo uwezekano a kukwala medali ni mkubwa, mathalani Kenya hawana medali lakini marathon zikianza tutawatafuta kwa tochi...

Haya Haya mkuu, nadhani nawe unashuhudia Kenya wakikaribia medaliz kwenye marathon esp. ya wanawake. Bravo Kenya!!
 
Tunaweza, ufisadi, kupanua magoli, umbumbumbu etc
Umenikumbusha zamani tukisoma msingi tukicheza mpira, tunaweka magoli ya mawe, wapinzani wakizubaa tunasogeza jiwe goli liwe pana tufunge kiurahisi, hivi hizi timu zetu zinafungwa kiurahisi hivi, kwa nini hawapanui magoli?
 
Umenikumbusha zamani tukisoma msingi tukicheza mpira, tunaweka magoli ya mawe, wapinzani wakizubaa tunasogeza jiwe goli liwe pana tufunge kiurahisi, hivi hizi timu zetu zinafungwa kiurahisi hivi, kwa nini hawapanui magoli?

Hapana huko hatunma uwezo kupanua magoli, mchezo mchafu tutaufanya hapa tu not internationalwise
 
Mtanzania Boxer anampigia mu Irish ila tv zinaonyesha reply nzuri za mu Irish tu na Point wanaongopea hawa, mtanzania anaonewa ila zaidi ya Hilo Tanzania haya mashindano tunasindikiza wanaonyesha BBC Ah wamependelea mwajwango kapigwa tena fundi wake Mkenya sio Mtanzania.
 
Back
Top Bottom