Andaa Mashindano ya VISINGIZIO na MANENO BILA VITENDO hapo utaona Tanzania ikinyakua medali Kama mvua.
Andaa Mashindano ya VISINGIZIO na MANENO BILA VITENDO hapo utaona Tanzania ikinyakua medali Kama mvua.
hehehe angalau umepata kuona BBC free view ungeishia kutizama Highlight youtube jirani asipozima Net connection Rubaman utampatia vipi news mpya tehtehteh.Kuna Mkimbiaji mmoja wa 1500 metres kaingia Final leo, ila kapita kwa kuunga unga
Sasa kuna mmoja anakimbia 10000 metres , alikuwa anaonekana mwanzoni ila sasa hata haonekani, labda keshajitoa maana alikuwa anakimbia kizembe sana
Kama ilivyotarajiwa na wengi, "wanamichezo" wa bongo hawajatuangusha kabsaaa...GOLD 0, SILVER 0, BRONZE 0 medals
kwani tumepungukiwa na nini banaaaaa as long as nchi inapiga hatua kimaendeleo chini ya uongozi shupavu wa kizalendo tena unaochukia rushwa wa CCM tunahitajini nini tena
Mungu ibariki TZ, mungu mbariki Filbert bayi kwa kazi nzito ya kuongoza TOC
Kwanini hawa jamaa wa Olympic wasibadilishe viwango vya ushindaji kama walivyofanya kwenye Elimu hapa TZ! Kuwepo na medali hata za Aluminium!