maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 958
my point is, nchi haijalogwa kama mtoa mada alivyosema, labda huo uchawi umewapata wachache..good afternoonu have gone out of the topic
my point is, nchi haijalogwa kama mtoa mada alivyosema, labda huo uchawi umewapata wachache..good afternoonu have gone out of the topic
my point is, nchi haijalogwa kama mtoa mada alivyosema, labda huo uchawi umewapata wachache..good afternoon
sasa kama hakuna wangofanya nini
nimeishi Mynamar lakini sikuulizwa maswali hayo, we wajibu kwamba ile kamati ya vazi la taifa ya kina jospeh kusaga bado inaumiza vichwa, vazi litakuja tu, kuwa mvumilivuok, umeeleweka, labda nikuulize swali, umeshawahi ishi nje ya tz?kama ndio basi najua unajua masahibu yanayotukuta huku tunaulizwa nguo za asili basi wengine tunalazimisha hata mashuka ya kimasai, je ukiulizwa wewe kama mtanzania ni kitu chako kipi cha asili mtu ambae si mtz akikuona nacho anajua huyu ni mtz
nadhani nimeeleweka
nimeishi Mynamar lakini sikuulizwa maswali hayo, we wajibu kwamba ile kamati ya vazi la taifa ya kina jospeh kusaga bado inaumiza vichwa, vazi litakuja tu, kuwa mvumilivu
![]()
Timu ya Kuogelea ya Tanzania iliyopo katika Michuano ya Jumuia ya MAdola
Uogeleaji mita 50:
Pamoja na Ammaar Ghadiyali muogeleaji wa Tanzania kuwa wa kwanza katika kundi lake lakini muda wake (sekunde 28.11) haujatosha kumfanya aendelee hatua inayofuata.
Wakati huo huo naye Hilal Hemed Hilal pia ameshindwa kuendelea hatua inayofuata, aliogelea kwa muda wa sekunde 27.28 katika kundi lake.
Glasgow 2014 - Qualification Men's 50m Butterfly
Tanzania yapata ushindi wake wa kwanza jumuiya ya madola,baada ya mtanzania kushika nafasi ya kwanza mashindano ya jumuiya ya madola,kuogelea style ya butterfly,mwenye taarifa zaidi atujuze!
Source:choice.com
mnamkumbuka Filbet Bayi ? mkiambiaji maarufu wa TZ kwenye miaka ya 70s - huyu alipata medali nyingi - sijamsikia tena
ok, umeeleweka, labda nikuulize swali, umeshawahi ishi nje ya tz?kama ndio basi najua unajua masahibu yanayotukuta huku tunaulizwa nguo za asili basi wengine tunalazimisha hata mashuka ya kimasai, je ukiulizwa wewe kama mtanzania ni kitu chako kipi cha asili mtu ambae si mtz akikuona nacho anajua huyu ni mtz
nadhani nimeeleweka
mnamkumbuka Filbet Bayi ? mkiambiaji maarufu wa TZ kwenye miaka ya 70s - huyu alipata medali nyingi - sijamsikia tena
ujamskia vp kaka si ndio mkuu wa toc? au unataka umsikie akikimbia tena?