Michuano ya Jumuia ya Madola, Glasgow 2014

Michuano ya Jumuia ya Madola, Glasgow 2014

natazama sherehe za ufunguzi wa michezo ya jumuiya ya madola, ninashuhudia kila taifa limekua likijitambulisha kwa mavazi pamoja na miondoko yao ya kiasili, ila aibu ilitokea lilipotajwa jina la tanzana, wakaingia watu wamevaa masuti na manguo yasio kua hata na rangi za kuutambulisha utaifa wetu, tunatia aibu yaani tumeshindwa hata kutambulisha vazio lolote ambalo ni common kama vile kanga na kanzu, kweli nchi yetu haina utamaduni wa kujitambulisha nje?aibu ilioje eti kuna wizara ya utamaduni, usanii mtupu.

We mpuuzi kweli. Nani kakuambia kanzu ni vazi la taifa la Tanzania au Khanga? Wewe unaweza kwenda kwenye interview ya kazi umevaa khanga au kanzu? Khanga ni vazi japo linavaliwa na kila mwanamke (karibia kila mwanamke) ila si vazi la kuitambulisha nchi yetu. Huku kwenye kanzu bora nisije kabisa maana nitasomewa albadiri bure,maana najiuliza nikisema kanzu ni asili yetu sijuwi waarab nao kule Uarabuni wanatesemaje kuhusu hili.
 
mpuuzi ni wewe ulieshindwa kutoa solution na badala yake unatoa kashfa
 
Kama TV za Tanzania hawataonyesha live , itabidi watueleze ni kiherehere gani kiliwafanya waonyeshe live au kuchambua world cup ambako tulikuwa hatuna muwakilishi
Kwa ninavyoifahamu tanzania na tv stations zake sijui kama kuna chanel ambayo itaonyesha live haya mashindano.....
 
mbona diamond platinum ametajwa kwamba the most influential under 30 musician in Africa na amekuwa Mtz wa kwanza kupata hollywood walk of fame huku akiwa na utajiri wa 1.5 million USD...so mambo mengine ya nchii hii yanaenda vizuri tu...:wof:
 
_76485945_76481385.jpg

Mwanariadha wa Uingereza na mshindi mara mbili wa medali ya dhahabu katika Olimpiki, Mo Farah amejitoa katika mashindano ya Jumuia ya Madola kwa kile kilichodaiwa kuwa kushindwa kupona maradhi yanayomsumbua.

Farah, hata hivyo ameamua kubakia katika kambi ya timu ya Uingereza ili kujiweka sawa na Mashindano ya Ulaya yatakayofanyika Agosti mwaka huu mjini Zurich.

Farah alishinda medali ya dhahabu katika mashindano ya riadha mita 5000 na mita 10'000 katika Michuano ya Olimpiki London mwaka 2012 na alikuwa amejiandaa kushiriki mbio hizo katika makala ya mwaka huu ya Michuano ya Jumuia ya Madola.

Chanzo: BBC Michezo

Double Olympic gold medallist Mo Farah has withdrawn from the Commonwealth Games in Glasgow after failing to recover from a recent illness.Farah, 31, won the 5,000m and 10,000m at London 2012 and was set to run both distances in Scotland.

However, he has decided to stay at his training camp to be fit for August's European Championships in Zurich.
The Team England athlete said it was a "tough decision", adding: "The sickness I had two weeks ago was a big setback."

He added: "Training is getting better but I need another few weeks to get back to the level I was at in 2012 and 2013.
"I really wanted to add the Commonwealth titles to my Olympic and World Championships, but the event is coming a few weeks too soon for me.
"My body is telling me it's not ready to race yet."

Farah's decision is another setback to the Games after a number of key withdrawals in athletics events. Former world 100m champion Yohan Blake of Jamaica was ruled out because he needed a hamstring operation and England's Katarina Johnson-Thompson withdrew from the women's heptathlon on Monday with a foot injury.
 
Huree, kutoka Glasgow Mriam Muhamad Ali amekuwa wa pili katika kuogelea m50
 
Naona kuna mabadiliko makubwa katika michezo ambayo Tanzania itashiriki mwaka huu! Aidha kilio changu bado kipo kwenye Netball! Lini Tz itapeleka timu ya Netball kwenye michezo hii?

Ukiangalia kwenye riadha, inatia aibu! yaani tunazidi kurudi nyuma... Ushiriki ni marathon na mita 5,000 tu?
Mkuu, netiboli tuko pazuri hata kwa nafasi za ubora lakini jitihada za Serikali kuwekeza kwa mchezo huu ni ndogo sana. Mimi ni shabiki wa hii kitu lakini CHANETA na Wizara wanazingua kwa kweli...
 
Amaar Ghadiyali anashinda kuogelea 50metres butterfly....
 
Hilal Hemed anaibuka wa nne katika 50 metres men strokeback
 
Wabongo tunatamani kujua ni maradhi gani?
Halafu mbona tu ni kama mtanzania jamani au
katokea nchi gani?
Mpe pole zake.
 
Mkuu, netiboli tuko pazuri hata kwa nafasi za ubora lakini jitihada za Serikali kuwekeza kwa mchezo huu ni ndogo sana. Mimi ni shabiki wa hii kitu lakini CHANETA na Wizara wanazingua kwa kweli...
Naona jirani zetu Malawi wanashiriki....
 
mbona diamond platinum ametajwa kwamba the most influential under 30 musician in Africa na amekuwa Mtz wa kwanza kupata hollywood walk of fame huku akiwa na utajiri wa 1.5 million USD...so mambo mengine ya nchii hii yanaenda vizuri tu...:wof:

u have gone out of the topic
 
Naona jirani zetu Malawi wanashiriki....
Utaratibu ulikuwa ni kuchukua timu sita za juu kwenye viwango vya ubora vya FINA halafu waanobaki kushiriki qualifiers, sina uhakika kama hata hizo qualifiers tulishiriki...
 
Back
Top Bottom