Michongoano

dattani

Member
Jul 16, 2011
99
201
Ati weweni mweusi mpaka ukisimama karibu na makaa customer anasema
> "nifungie hiyo kubwa"
>
> -Ati damme yako alikuwa na kichwa kubwa mpaka alipokufa jeneza ilikuwa
> na shape ya lollipop
>
> -Ati nyinyi ni wakristo mpaka wezi wakicome mbwa zenyu husema "iba tu
> mungu anakuona"
>
> -Ati nyumba yenyu ni ya makaratasi mpaka wezi wakicome husema "fungua
> ama turarue"
>
> -Ati wewe ni mkonde mpaka ukinyamba unasikia uchungu
>
> -Ati nyinyi ni wadosi mpaka shamba yenyu ina carpet
>
> -Ati nyinyi ni wengi mpaka christmas mnapika chapo mbili,moja ya wazazi
> ingine watoi wanavotia
>
> -Ati nyinyi ni wengi mpaka mnaponyolewa wa kwanza humea nywele kabla ya
> mwisho hajanyolewa
>
> -Ati manzi yako ni mnono mpaka akijifunga mshipi ya yellow watuhudhani
> ni mathree
>
> Ati manzi yako ana kichwa ndogo mpaka ukimkiss, unammumunya kama lollipop!
>
> Kwenyu nyinyi ni wadosi hadi chakula huwa served via bluetooth.
>
> KWENYU NYINYI NI WAKRISTO /SAVED HADI MNAPIKA UGALI NA MSALABA
>
> AS LONG AS A WOMAN IS BEAUTIFUL,SHE WILL NEVER LACK SUITORS!
>
> "Ati wewe ni kumbafu mpaka Reg. No. ya gari yako ni KBF 000F."
>
> *Ati wewe ni **** hadi ukifill application form space ya sex ulijaza ati
> "DAILY"
>
>
> *Ati mlango za gari yenu huwa zinafungwa na vifungo za shati.
>
> *Hao yenu ni bigi mpaka ukifungua mlango ya nyuma unatokea ocha.
>
> *Wewe ni mweusi hadi ukisimama usiku karibu na ukuta mtu atadhani nicrack!
>
> **Kichwa yako ni kubwa hadi ukiingia exam room invigilator anasema"there
> is no group work"
>
> ' Budako huhepa Job akaswing na Gate '
>
> ' Wewe mfupi mpaka unaendesha panadol kama tire'
>
> ' Wewe **** mpaka ulienda sunday school bording '
>
> ' Manzi yako ni msoto mpaka instead ya kutumia always pads anatumia
> sometimes pads'
>
> -Mbuyu wako ni mnono, akijipima weight inajiandika 1 at a time!!!
>
>
> -budako **** hadi alipoingia k-bu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe
> pesa.
>
>
> -manzi yako mnono ,ukimpeleka kwa cinema, ana sit next to everybody!
>
>
> -unakichwa bigi, ukifikiria unasikia echo!
>
>
> -wewe mzee,mpaka ati wewe ndio uli wipe table ya the last supper!
>
>
> -Nilikupata umezubaa ukiangalia chupa ya orange juice...ati juu imeandikwa
> "concentrate".
>
> -We Mshamba ulisikia computer inashika VIRUS ukainunulia condom
>
> Ati una mdomo kubwa mpaka uki yown!!!! shimo ya rasa inaonekana..
>
>
> 1. Ati doggy yenyu ni mzee mpaka wagondi wakicome kwenyu inapiga nduru ...
>
> 2. Ati dogi yenu ni mzee haina meno, wagondi wakikam inawatemea mate! ...
>
> 3. ati kwenu ni kuchafu mpaka mende wanavaa viatu .
>
> Ati kwenu nyinyi ni mko mbele hadi mkiishia ocha huwa mnaweka mizigo kwa
> flash disk.
>
> Eti wewe ni M-black Mosquito wakitaka kukuuma usiku lazima waje na torch
>
> Jogoo wenu nimlazy mpaka zingine zikiwika anasema " same"
> Eti paka yenu ni nooma, ikishika panya inaitisha salt
>
> Ati kwa estate yenu kuna insecurity ati usiku lazima muweke gate kwa hao..

 
hii swahili ya kenya ngumu kueleweka!maana imechanganya kingereza+kikuyu+kiswahili na lugha ya mtaani..lakini nimeipenda hasa hiyo ya kusonga ugali kwa msalaba kwa kuwa ni walokole sana.
 
Hiki nacho kiswahili? aisee hiyo jamaa fupi hadi anasukuma panadol kama tairi
 
Nimemkamata karibu zote nimezipenda sasa JF ya Kenya ikianza ndiyo itakuwa ya motomoto zaidi.

Jogoo mvivu mpaka anaitikia same wenzake wakiwika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom