Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Hahaha yan stor nimeinunulia konyagi..halafu konyagi yenyewe nimepewa feki waiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana jamani nyie ndio mnasababisha sijawahi kuwaona hata siku moja huku kwenye mambo za story
Mimi na wewe mara ya kwanza tumekutana kwenye stori naomba usilisahau hilo...Na we na story jamani wapi na wapi eti kiben10 changu
Ina test lakin inamapungufuKwahiyo haina taste ya konyagi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkukiNa we na story jamani wapi na wapi eti kiben10 changu
Nimechukua ndogo yake...Sasa si uimwage unywe beer
Hahaha walaa..wew unafurahi na yakoo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] kweli atakua na yake huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnanifurahisha sana
Hahaha story zako nazikutaga katikati,sasa vya kuanzia kati sivipendi,ndo mana nilivoona sehem ya kwanza nikawahi kuja kukaba siti,huyu hazard ye sijui katokea wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana jamani nyie ndio mnasababisha sijawahi kuwaona hata siku moja huku kwenye mambo za story
Kwani hutaki wasomaji hahaha mbona una maswali ndugu muandishi?Na we na story jamani wapi na wapi eti kiben10 changu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hazard ndio aliwahi naye sijui katokea wapiii na story ukiikuta kati uvivu kuanza mwanzoHahaha story zako nazikutaga katikati,sasa vya kuanzia kati sivipendi,ndo mana nilivoona sehem ya kwanza nikawahi kuja kukaba siti,huyu hazard ye sijui katokea wapi
Chaaa...tuache tuifurahie stor,babe ananipa kampan tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nikiwaona mbavu sina sijui nakumbuka zile mambo za ukaka woiiiii
Hahaha ukaka mbwembwe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nikiwaona mbavu sina sijui nakumbuka zile mambo za ukaka woiiiii
Huwa nipo sana tu ila mara nyingi sitiagi nenoOohpss nilishasahau nahisi toka ulivyomalizana na ile haujarudi tena huku