Wakati wa utoto mimi na wenzangu tulipenda sana kucheza mchezo wa kifamilia (ubaba, umama na utoto). Katika mchezo huo tulipendelea kujipa uhusika kwa kufuata jinsia zetu za kweli na kwa kuzingatia umri. Kama wavulana mnakuwa labda wawili na msichana mmoja tu hapo inabidi nafasi ya baba ambayo ilikuwa inapendwa sana ishikwe kwa zamu hivyo mmoja anakuwa jogoo wa kuwika asubuhi ili baba na mama waamke kutoka kwenye kijumba walichojifungia: baadaye naye anakuwa baba na mama anaendelea kuwa mama.
Siku moja mi nilikuwa baba na nikawa na mama kwenye kijumba tunajivinjari kitoto-toto. Ghafla yule mvulana wa nje (jogoo) akawika eti ndo tayari kumekucha mi ntoke ili aje yeye kuwa baba. Nakumbuka nnlitoka kwa hasila nje na kumweleza jogoo yule kwamba usiku bado na asiendelee kutupigia kelele la sivyo nitamchinja tumle. Yule jogoo aliposikia hivyo alitii na mm nikaendeleza libeneke. Utoto raha sana, sana una kisa chochote cha utoto tuhabarishe hapa.

He he he umenikumbusha mbali mzee.siku hizi watoto wetu wanataka kuangalia tv au kuchezea kompyuta tu

Duuh umenikumbusha mbali saaanaaa. Nakumbuka katika mchezo wa kibababa na kimaamama si nikajisahau nikavaa chakatinakati cha kibinti cha jirani, weeeeee. Jioni wakati navua nguo nataka kwenda kuoga maza si akaniona nimevaa chakatinakati cha kidemu wacha anishushie mkong'oto wa nguvu sisahau hadi leo.