Michezo ya kubahatisha Huku England

Michezo ya kubahatisha Huku England

Wabongo kwa uongo tunawashambulia walio nje ya Nchi eti waje bongo watatoboa wakati hapa hapa Bongo masikini ni wengi na hatuna msaada wowote watu wazima wanapiga debe kwenye vituo tunaona poa ila mtu akiwa Nje ya Nchi tunaona kapotea..
Ishi sana na Mungu akupe kila hitaji lako
 
Huku kwao pagum wakienda Africa na viela vyao vya mboga wanafurahia Coz Africa life iko simple Kinoma ukilinganisha na huku kwao wazungu wapo masikini mpaka ela ya kula unajitolea kuwapa ili waishi hii dunia ina mambo hii
Kwaiyo wazungu hawafanyi kazi mpaka wakose pesa ya kujikimu?
 
Wakuu, mimi ni Mtanzania nilie bahatika kuishi England hapa Ulaya kuna kitu au michezo ya bahati nasibu inaitwa national lottery.

Hii michezo kiukweli iko na pesa mingi ukibahatika unapiga mkwanja wa maisha sasa basi mbongo mie nahitaji sana kupiga ma milioni ya pound kupitia michezo hii ili nije kuwekeza tz nchini kwangu.

Sasa kama kuna mtu mwenye kuona mbali naomba anitazamie ni namba zipi naweza kutumia kupata huu ukwasi wa Mwingereza.

Kibaya zaidi wakijua wewe ni mgeni mtoka nje hawakuruhusu kufungua accaunt mie naitumia jina ya wife make ye mzaliwa huku naombeni wataalamu wa mambo mfanye jambo ili tupige pesa tuje kuwekeza makwetu, asanteni.
5-15-21-23
1-11-31-46-49
2-10-40-17-23
2-11-31-46-49
7-17-21-23
Kila la kheri unikumbuke kwenye Ufalme wako...
 
Mkuu account unaruhusiwa kufungua inategemea na status yako.
Mwanafunzi kutoka nje ukipeleka Benki barua kutoka chuo unachosoma wanakufungulia akaunti.
 
Back
Top Bottom