Michezo ya kubahatisha Huku England

Michezo ya kubahatisha Huku England

Kazi nafanya Kinoma ndio maana nina pesa ya kuweka bet pesa ya kufanya kazi haiwezi kukufanya utoke Coz maisha ulaya yako juu kuliko uzaniavyo
Unasema maisha Yako juu alafu mwanzo unasema umebahatika kuishi huko, umebahatika kuishi kwenye maisha tight???

Hivi nani anawadanganya nyinyi kuishi huko ni Bahati? Aseee mnapotea sana. Sasa angalia unasema Kwa kazi za kawaida huwezi kutoka kimaisha hadi unaweka Ndoto kubeti, nani alikufundisha kubet kunaweza kuwa mtaji?
 
Unapesa ya kutibiwa ulaya wewe? Au una ulaya huku mbali na hapo ulaya unaingia day 1 to 7 wanakufosi ondoka

Zamani nikienda italy kama naenda chooni siku hizi sina muda,yaani kutobia maisha mpaka ucheze kamari,rudi bongo mkuu tulime parachichi
 
Unasema maisha Yako juu alafu mwanzo unasema umebahatika kuishi huko, umebahatika kuishi kwenye maisha tight???

Hivi nani anawadanganya nyinyi kuishi huko ni Bahati? Aseee mnapotea sana. Sasa angalia unasema Kwa kazi za kawaida huwezi kutoka kimaisha hadi unaweka Ndoto kubeti, nani alikufundisha kubet kunaweza kuwa mtaji?
Na mimi nimemshangaa sana huyu dogo,kuna wakinga kariakoo vijana wadogo tu bank wana milioni hadi 800 sasa hapo nani ana bahati
 
Nimebahatika ndio ugumu wa maisha ulaya ulinganishe na bongo haaahaaa [emoji2960]?
 
Nina pesa mingi kuliko hiyo mjomba kaa tulia tupewe uraia pacha tuwape show
 
Bongo ngumu kwako wengine huku ni peponi,nikitoka out na laki mbili simalizi na hapo ni viwanja vya maana,ulaya pound 65 ni hela ya sadaka tu kanisani
Unatoka viwanja vya kimasikini ukiwa na million we ni boss bar nzima [emoji16][emoji16] kwangu pound 400 root ya kuingia festival moja tu kwa mtu mmoja kila weekend
 
Bongo ngumu kwako wengine huku ni peponi,nikitoka out na laki mbili simalizi na hapo ni viwanja vya maana,ulaya pound 65 ni hela ya sadaka tu kanisani
Alafu hili sio lengo ni nataka mkuu
 
Nimebahatika ndio ugumu wa maisha ulaya ulinganishe na bongo haaahaaa [emoji2960]?
Madogo Kwa kujidanganya nyie!

Anyway poa mkuu, sisi tupo tunawasibiri tu mnavyorudigi na begi la Nguo Tena za hovyo tu na Picha Kwa simu mnafikia kuja kunywa double kick huku mnavyolost
 
Sio mimi mkuu na haita kaa tokea ndio huku kuna wabongo wengi maisha yao ya kawaida saana ila sio mimi mkuu
 
Sikuamini kwa sababu najua ni uongo. Kama kuna sheria inakataza usiwe na account mpaka ufikishe muda fulani wa kuishi, basi itakuwa ni sheria kwa wageni wote(may kutoka nje ya EU) na haiwezi kuwa sheria kwa watu weusi tu!
Jifanye mjuaji na mbishi
 
Zamani nikienda italy kama naenda chooni siku hizi sina muda,yaani kutobia maisha mpaka ucheze kamari,rudi bongo mkuu tulime parachichi
Usijilingalishe mie na wewe nimekuzidi kila secta hata nikija Bongo utabaki kua chini yangu kiuchumi na kila kitu tulia wewe
 
Kazi nafanya Kinoma ndio maana nina pesa ya kuweka bet pesa ya kufanya kazi haiwezi kukufanya utoke Coz maisha ulaya yako juu kuliko uzaniavyo
Mkuu mbona wazungu wanakuja kwa wingi Africa kutalii kama Ulaya maisha yapo juu wakija Africa wana tumia pesa sana?
 
Unasema umebahatika kuishi ulaya au ni sijasoma vizuri
Maisha ya bongo matamu kuliko huko
Huko tunakuja kutembea tu na kutibiwa tezi dume
Kweli kule ulaya ni kwenda kuomba pesa nakuja kutumia Bongo, bongo raha sana ukiwa na pesa ndiyo maana Wazungu wakija Africa hawataki kurejea makwao.
 
[emoji817] % Nakubali
 
Back
Top Bottom