Michezo ya kubahatisha Huku England

Michezo ya kubahatisha Huku England

Jifanye mjuaji na mbishi
Mbishi ni wewe. Unadhani kila mtu ni mbumbumbu? Kampuni yoyote ya bahati nasibu itataka ipate wachezaji wengi ili iingize fedha zaidi siyo vinginevyo. Kadiri wanavyocheza watu wengi ndivyo wanavyopata faida.
 
Madogo Kwa kujidanganya nyie!

Anyway poa mkuu, sisi tupo tunawasibiri tu mnavyorudigi na begi la Nguo Tena za hovyo tu na Picha Kwa simu mnafikia kuja kunywa double kick huku mnavyolost
Wazungu wenyewe wana zikimbilia fursa Africa na sikuizi wanafungua migahawa na vioski vya juice.
 
Wakuu, mimi ni Mtanzania nilie bahatika kuishi England hapa Ulaya kuna kitu au michezo ya bahati nasibu inaitwa national lottery.

Hii michezo kiukweli iko na pesa mingi ukibahatika unapiga mkwanja wa maisha sasa basi mbongo mie nahitaji sana kupiga ma milioni ya pound kupitia michezo hii ili nije kuwekeza tz nchini kwangu.

Sasa kama kuna mtu mwenye kuona mbali naomba anitazamie ni namba zipi naweza kutumia kupata huu ukwasi wa Mwingereza.

Kibaya zaidi wakijua wewe ni mgeni mtoka nje hawakuruhusu kufungua accaunt mie naitumia jina ya wife make ye mzaliwa huku naombeni wataalamu wa mambo mfanye jambo ili tupige pesa tuje kuwekeza makwetu, asanteni.
Yaani unataka tutazame kichawi au?
Fafanua maana watu tuna pesa tunataka kuweka mzigo
 
We fanya uchunguzi wazungu wengi wanaokuja kufanya kazi bongo au kujitolea,hawataki kabisa kurejea kwao, ndiyo maana ata wafanyakazi wa balozi za ulaya hawatakagi kuondoka muda wao ukiisha.
Huku kwao pagum wakienda Africa na viela vyao vya mboga wanafurahia Coz Africa life iko simple Kinoma ukilinganisha na huku kwao wazungu wapo masikini mpaka ela ya kula unajitolea kuwapa ili waishi hii dunia ina mambo hii
 
Yaani unataka tutazame kichawi au?
Fafanua maana watu tuna pesa tunataka kuweka mzigo
Vyovyote kikubwa tushinde uchawi wao wanaoutumia, kuna baharia mmoja wa kizungu aliwin zaidi ya pound milioni 180 badilisha weka kwenye pesa ya Tanzania utajua ni ukwasi kiasi gani
 
Wakuu, mimi ni Mtanzania nilie bahatika kuishi England hapa Ulaya kuna kitu au michezo ya bahati nasibu inaitwa national lottery.

Hii michezo kiukweli iko na pesa mingi ukibahatika unapiga mkwanja wa maisha sasa basi mbongo mie nahitaji sana kupiga ma milioni ya pound kupitia michezo hii ili nije kuwekeza tz nchini kwangu.
Wewe kwanza
Sasa kama kuna mtu mwenye kuona mbali naomba anitazamie ni namba zipi naweza kutumia kupata huu ukwasi wa Mwingereza.

Kibaya zaidi wakijua wewe ni mgeni mtoka nje hawakuruhusu kufungua accaunt mie naitumia jina ya wife make ye mzaliwa huku naombeni wataalamu wa mambo mfanye jambo ili tupige pesa tuje kuwekeza makwetu, asanteni.
Wakuu, mimi ni Mtanzania nilie bahatika kuishi England hapa Ulaya kuna kitu au michezo ya bahati nasibu inaitwa national lottery.

Hii michezo kiukweli iko na pesa mingi ukibahatika unapiga mkwanja wa maisha sasa basi mbongo mie nahitaji sana kupiga ma milioni ya pound kupitia michezo hii ili nije kuwekeza tz nchini kwangu.

Sasa kama kuna mtu mwenye kuona mbali naomba anitazamie ni namba zipi naweza kutumia kupata huu ukwasi wa Mwingereza.

Kibaya zaidi wakijua wewe ni mgeni mtoka nje hawakuruhusu kufungua accaunt mie naitumia jina ya wife make ye mzaliwa huku naombeni wataalamu wa mambo mfanye jambo ili tupige pesa tuje kuwekeza makwetu, asanteni.
Ndugu yetu, kwanza wewe ni muongo. Uingereza ipi inamkatalia ngeni (Foreigner) kufungua Bank account? Sema wewe hapo ni illegal immigrant. Kwa kiswahili chenu mnasemaje Huna 'Makaratasi'. Sababu ukiwa na valid passport ikiwa na visa ndani inatosha kufungulia account bank yoyote hapo. Jambo jingine mtu wa Bongo kama Hajawahi kuwepo hapo UK na kucheza 'Lotto' hawezi kukusaidia sababu hajui ni namba ngapi uweze kumshinda Jack pot. On your case ni namba 6. Na kushauri Jaribu kucheza kwa kutumia ' luck dip' yaani computer ikuchagulie hizo namba, Wengi wamejaribu na kushinda. Angalizo kama Huna makaratasi au sheria ukashinda hiyo lottery siku unakwenda kuchukua hiyo cheque utakuta immigration officers wa na kusubili. Utakamatwa na kuwa deported, siku hiyo vaa vizuri au ukajikuta Kipawa na bukta.
 
Ungekua wa muhimu ningekutumia document zangu
 
Kwa huu mwandiko we utakua Ile wingeresa ya CHATO
 
Ungekua wa muhimu ningekutumia document zangu
Kijana NI namba yangu inaanza na PW**** Kama kweli wewe uko hapo kihalali na unajua maana ya National insurance number na PW ni za miaka ipi, hapo Utajua UK is my second home. Sasa hivi kila baada ya miaka miwili naingia hapo ili niende lee kuwa kwenye system. If you know what I mean. Mkuu mmoja kakuambia tu nakuja tibiwa tezi dume.
 
Back
Top Bottom