Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,216
- 48,771
Bado ni nyingi.Bilioni mia nne sio trilioni
Unakula mpaka unaziacha
Bado ni nyingi.Bilioni mia nne sio trilioni
System soon inabadilishwa kama haupo in chini kwa muda fulani unafutwa uraia wakoKijana NI namba yangu inaanza na PW**** Kama kweli wewe uko hapo kihalali na unajua maana ya National insurance number na PW ni za miaka ipi, hapo Utajua UK is my second home. Sasa hivi kila baada ya miaka miwili naingia hapo ili niende lee kuwa kwenye system. If you know what I mean. Mkuu mmoja kakuambia tu nakuja tibiwa tezi dume.
Hiyo niliyokwambia ndo system uliyopo Sasa hivi. Home Office tunaijiua zaidi ya miaka 20 iliyopita. Nenda Croydon pale mafaili yetu yalianzia pale. Na uraia hunyang'anywi kiholela namna hiyo, labda uwe umefanya kosa kubwa saaana kama yule msichana wa Kiingereza mwenye asili ya Bangladesh aliye enda kujiunga na ISIS huko Syria wakamvua uraia. Other wise ukikaa sana nje ya nchi unatolewa kwenye system. Kama vile unafutwa kwenye GP wako register nk.System soon inabadilishwa kama haupo in chini kwa muda fulani unafutwa uraia wako
Ndugu bora ufanye kazi ya kuchamba wazee mavi utagainWakuu, mimi ni Mtanzania nilie bahatika kuishi England hapa Ulaya kuna kitu au michezo ya bahati nasibu inaitwa national lottery.
Hii michezo kiukweli iko na pesa mingi ukibahatika unapiga mkwanja wa maisha sasa basi mbongo mie nahitaji sana kupiga ma milioni ya pound kupitia michezo hii ili nije kuwekeza tz nchini kwangu.
Sasa kama kuna mtu mwenye kuona mbali naomba anitazamie ni namba zipi naweza kutumia kupata huu ukwasi wa Mwingereza.
Kibaya zaidi wakijua wewe ni mgeni mtoka nje hawakuruhusu kufungua accaunt mie naitumia jina ya wife make ye mzaliwa huku naombeni wataalamu wa mambo mfanye jambo ili tupige pesa tuje kuwekeza makwetu, asanteni.
Sijaelewa ubaguzi wao ukoje ilihali umeoa mwanamke wa huko. Au woooote wabaguzi kasoro mke wako???.Naishi kihalali isipokua ubaguzi washenzi hawa wakijua tu mtoka nje mweusi wanakuwekea vizingiti unatuma documatation zote lakini wanagoma wa nakwambia subilia kwa muda fulani hawatimizi ukiulizia unambiwa subilia ubaguzi sana
Mtu yuko huko ndiko anakoishi..lakini wewe unambishia.. unafikiri wazungu wanakuthamini kama unavyowathamini wewe?Basi ni sheria iko hivyo na siyo ubaguzi. Unaposema ''wakijua tu mtoka nje mweusi wanakuwekea vizingiti'' ina maana kuwa ukiwa mweupe na umetoka eg USA watakubali kama vigezo vya ukaaji viko sawa na vya mtu mweusi? Sidhani! Uingereza hawawezi kuwa na sheria ya kibaguzi namna hii. Ni inferiority complex zako tu ndiyo zinakufanya useme hivyo na siyo kweli kuwa ni ubaguzi kwa watu weusi.
Namaanisha,niunganishie kwa kibibi kimoja..nimpe mapenzi motomoto![]()
Njoo wazungu wenye we wanabeti ije kua mimi mtoka nje?
Huku ndiko kudandia treni kwa mbeli! Umeshagongwa tayari. Ni Ulaya gani siijui mimi? Uingereza unajua nimeishi miaka mingapi?Mtu yuko huko ndiko anakoishi..lakini wewe unambishia.. unafikiri wazungu wanakuthamini kama unavyowathamini wewe?
We Mwingereza Si ndioHiyo niliyokwambia ndo system uliyopo Sasa hivi. Home Office tunaijiua zaidi ya miaka 20 iliyopita. Nenda Croydon pale mafaili yetu yalianzia pale. Na uraia hunyang'anywi kiholela namna hiyo, labda uwe umefanya kosa kubwa saaana kama yule msichana wa Kiingereza mwenye asili ya Bangladesh aliye enda kujiunga na ISIS huko Syria wakamvua uraia. Other wise ukikaa sana nje ya nchi unatolewa kwenye system. Kama vile unafutwa kwenye GP wako register nk.
Wazungu hawako hivoNamaanisha,niunganishie kwa kibibi kimoja..nimpe mapenzi motomoto
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Huishi sasa mie naishi sasa itakua ni miongoni waliofukuzwa kama uko timilifu ulaya Huwezi ondoka kama document zako magumashi lazima wakuchomoeHuku ndiko kudandia treni kwa mbeli! Umeshagongwa tayari. Ni Ulaya gani siijui mimi? Uingereza unajua nimeishi miaka mingapi?


From MaraHome ni mkoa gani kwa hapa Tanzania bwana mkubwa, nisje nikakupa siri za kushinda lottery ukaenda kuwekeza huko tandaimba
Mm niko hap L.A
Sent using Jamii Forums mobile app