Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,677
- 13,104
- Thread starter
- #21
ha ha ha ha unanikumbusha mbali mkuu,kuna cku nilikutana na jamaa m1 anajifanya yy ni MTZ,Lkn nilimtilia mashaka kutokana uongeaji wake,bac nikamuambia amalizie nyimbo ifuatayo: KULA MBAKISHIE BABA KULA..........Roho iliniuma sana ndugu zangu maana alishindwa kumaliziakula mbakishie baba, kabla haujaingia kwenye game, unaulizwa mapema, "utaweza?"
halafu mnakumbuka mchezo wa bong'oa? ukiinama tu, umepigwa bonge la teke.