Michezo mingine bana!


ngoshwe

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Messages
4,119
Likes
66
Points
145
ngoshwe

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2009
4,119 66 145Top Thrill Dragster is a steel, hydraulically-launched roller coaster located at Cedar Point Amusement Park in Sandusky, Ohio. It was the first "Strata Coaster," loosely defined as a complete circuit coaster that is 400 to 499 feet tall

Eejanaika, Japan - most inversions, perhaps loudest screams. This roller coaster not only whirls through the loops, but each cart additionally rotates 360 degrees, guaranteed to scramble even veteran coaster riders. Eejanaika is the fastest and longest, with the most inversions, 14 in total.Eejanaika, Japan​
Ohio Record Roller Coaster -
420 Ft High, 120 MPH Down
Na hii ndo mana watu wazima wanashauriwa kutojihusisha sana na michezo ya "kubembea" kama hii:


[ame="http://www.youtube.com/watch?v=FcL7N8Wyaks"]http://www.youtube.com/watch?v=FcL7N8Wyaks[/ame]
 

Attachments:

Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
12,675
Likes
5,078
Points
280
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
12,675 5,078 280
Lovely! kujikojolea is so common, achilia mbali kulia!
 
nguvumali

nguvumali

JF Bronze Member
Joined
Sep 3, 2009
Messages
4,891
Likes
198
Points
160
nguvumali

nguvumali

JF Bronze Member
Joined Sep 3, 2009
4,891 198 160
nGOSHWE KAZINI, ASANTE KWA KUTUSHIRIKISHA HIYO MICHEZO.
 
Pearl

Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Messages
3,042
Likes
46
Points
135
Pearl

Pearl

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2009
3,042 46 135
mmmh bambo!mm wa kunyumba si ndo ntazimia kabisa?
 
Mahai

Mahai

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Messages
351
Likes
6
Points
35
Mahai

Mahai

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2010
351 6 35
Hahahaaa... thanks a lot!!! Umenikumbusha mbali sana. I played these games ones na nikaapa SITOKAA nirudie tena katika maisha yangu.
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,520
Likes
212
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,520 212 160
Sura kama wameonja ndimu.
 
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,478
Likes
3,063
Points
280
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,478 3,063 280
So funny! Huyo mzee inaelekea wala hana habari kama na yeye amelowesha suruali..Lol
 
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,305
Likes
2,063
Points
280
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,305 2,063 280
Duh! sasa huu mchezo au uwendawazimu!
 
M

mchajikobe

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
2,530
Likes
837
Points
280
M

mchajikobe

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
2,530 837 280
Hii ni dawa ya kupunguza kizunguzungu!!
 
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,727
Likes
802
Points
280
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,727 802 280
mwenzenu nimecheka mpaka mbavu zinauma spea tafadhari

karaha ...
 
Mkaa Mweupe

Mkaa Mweupe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Messages
655
Likes
27
Points
35
Mkaa Mweupe

Mkaa Mweupe

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2007
655 27 35
Hii ni michezo ya kijasiri, siku moja pale wet n wild katika ile slide inayoitwa Ze Kimbunga kidogo mambo ni kama hayo.

Lakini hii ya roller coaster ni kiboko, wengine wanatapika kabisaaa, maana hiyo spidi yake si mchezo 120 miles per hour, ni sawa na 192km/h ambayo hata ukiwa unaendesha gari yakupasa kuwa na moyo kuifikia. Sasa imagine uko kwenye kiti tu sa spidi ndo hiyo, lazima kukojoa. Check safety belts zake yaani ni bonge la chuma linafungwa hydrolically.
 
M

Mchili

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2009
Messages
727
Likes
6
Points
35
M

Mchili

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2009
727 6 35
Nimecheka mpaka basi, hiyo ni adhabu sasa manake hata hawajui kama wameharibu mambo huko chini.
 
ngoshwe

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Messages
4,119
Likes
66
Points
145
ngoshwe

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2009
4,119 66 145
Hahahaaa... thanks a lot!!! Umenikumbusha mbali sana. I played these games ones na nikaapa SITOKAA nirudie tena katika maisha yangu.
Nawe yalikusibu haya Bambo?...
 
Anyisile Obheli

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2009
Messages
3,383
Likes
140
Points
160
Anyisile Obheli

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2009
3,383 140 160
hii hata Mwakaleli huwa ipo kutereza na mgomba style hizo, ni hatari, kwa nyakyusa inaitwa, ulusyeleleko
 
M-bongotz

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Messages
1,734
Likes
44
Points
145
M-bongotz

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2010
1,734 44 145
Mmh maadam sio lazima kucheza michezo hii basi siwezi kusogeza pua yangu hapo maana mzee mzima unaweza kujikuta umeshusha 'kubwa' kwenye suruali.
 
Che Kalizozele

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2008
Messages
778
Likes
11
Points
0
Che Kalizozele

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2008
778 11 0
mwenzenu nimecheka mpaka mbavu zinauma spea tafadhari

karaha ...
Unajua huyu dogo anachekesha sana,yaani jinsi alivyo subtract eyes utafikiri masanja.Lakini ukijaribu kuwaangalia abiria wa seat za nyuma,aaaah they seem to enjoy.
 
V

Vakwavwe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2009
Messages
507
Likes
1
Points
35
V

Vakwavwe

JF-Expert Member
Joined May 16, 2009
507 1 35
duh! nilishiriki mara moja nikiwa Shenzhen China(Happy Valley)....its really funny niliipenda sana, natamani kurudi kwa ajili ya hiyo tu na familia yangu......hata kama amejikojolea lakini anakuwa amerefresh mind kwelikweli sio sawa na anayejikojolea akinywa pombe....believe me mabembea haya yanaongeza confidence sana....
siku ntakuwa mkubwa nitawekeza katika nyanja hiyo hapa bongo...
 

Forum statistics

Threads 1,251,232
Members 481,615
Posts 29,763,676