Mama mtu mzima hawezi kabisa kumsaidia mwana,.. mama akiwa mwoga kihivi nae ndo kalipia bembea, mtoto ndo inampoteza kabsaamental , starehee lakini inakuwa kama "marufuku" kutizamana usoni,......so sijui ni maumivu au raha?, sijui ikisimama utapanda tena?...
nakumbuka wakati nipo mtoto huko madongo poromoka tulikua na mchezo unaofanana na huu.yaani mnachagua mlima mrefu halafu mnaseleleka kuanzia kileleni kwenda chini,lakini hapo tena ungoje mida bwada kwenye kaputula yako. munaijua midabwada?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.