Michezo Miingine 'siyo'

Michezo Miingine 'siyo'

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
11193224_556375437837942_7471474082049986687_n.jpg
 
Wanaofanya mchezo huu huwa nashindwa kuwaelewa, kwa kweli huwa wanaumizwa sana.

Na cha ajabu unamkuta mwingine ameshapata majeraha makubwa na ameshafanyiwa oparesheni lakini cha ajabu bado anaendelea na huo mchezo
 
Ajira yao ndiyo hiyo mkuu. Unajua wenzetu huwa wanachagua specialization wakingali wadogo. Na hiyo specialization huifanya baada ya kuona uwezo wa muhusika. Sasa ukimwambia aache kucheza mchezo huo wakati umri umekwenda na anachojua ni mchezo huo tu unategemea afanye kazi gani?
 
Back
Top Bottom