Michezo magazetini leo...

Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
Bierhoff: Germany can challenge Spain at Euro 2012


storypage_APlogo_01.png




PRINT RSS

21

Updated Mar 31, 2011 2:37 PM ET
Germany general manager Oliver Bierhoff hopes Spain's players will be too tired after a grueling club season to defend their European Championship title next year, when he expects his squad to reach its peak.
Germany's vibrant, young side reached the semifinals at last year's World Cup before losing to Spain, which followed its Euro 2008 triumph by capturing the global crown.
But Bierhoff, who oversees the development of the national game in Germany, doesn't anticipate the Spanish being as strong at Euro 2012.

PHOTOS AND VIDEO



''Spain is for sure at the moment the best team in the world,'' Bierhoff said on the sidelines of the SoccerEx conference in Manchester. ''Hopefully, perhaps in another year, the players having success with Barcelona and other teams are getting a little bit tired, a little bit older.
''We have a very young team, but we know that when you start a tournament you start from scratch.''
The fact that more than 50 percent of players in the Bundesliga have come up through club youth systems has created a greater competition for places for the national team, which also reached the 2006 World Cup semifinals.
''I can see the difference in our players from 2006 to 2010, the young players coming now are better technically educated, more used to the media, physically much better,'' Bierhoff said. ''In 2006 we still had problems with a lack of speed and technical issues. With these young players you can see they have had a good education in the clubs' technical centers.''
But Bierhoff, whose goal clinched Germany's win in the Euro '96 final, is concerned that the Champions League has overtaken the World Cup as the ''pinnacle'' for players.
''Financially, 20 years ago it was more important for a player to play in the national team than now,'' the former AC Milan striker said. ''Now he gets very well paid by his club and the club has a huge interest in him not getting injured, the Champions League is becoming more and more important.
''(The national teams) don't pay our players anywhere near what they get for their clubs so it is more a matter of pride at being selected among the 20-23 best players in the country.''
Players are also too focused on making money out of commercial deals.
''They get more tired psychologically - we see it with our players now with all these things around; media, personal sponsors, club sponsors,'' Bierhoff said. ''The peak for the top players is becoming narrower and narrower. Once you had a 10-year career at the top and the brilliant players did it at the World Cup.
''Now, after three or four or five years, it seems like the player is gone. Look at Ronaldinho, Ronaldo (of Brazil) and other players.''
Bierhoff along with coach Joachim Loew introduced a disciplinary code designed to stop players becoming ''spoilt brats.''
''After training they would just come in and throw their dirty shirts and socks and shorts down and leave it for the kit man to tidy up,'' he said. ''Now they do it themselves. They turn their shirts inside out, they put all the socks and shorts together.
''We needed to change the atmosphere after Euro 2004. It had seemed to the people that the players didn't want to play for the team, that it was not fun. But in Germany the national team is an icon, it is the property of the people so we needed the players to be able to bond together. We helped them develop responsibilities to help them grow as people because we wanted them to respect not only their fellow players but the staff who worked with them.''
Germany was beaten on Tuesday for the first time since last year's loss to Spain at South Africa 2010, with Australia winning the friendly 2-1.
''The strategy of the coaches is to try to introduce younger players at a moment when you are not forced to introduce them so they have time to grow and develop,'' Bierhoff said.



PRINT RSS




Member Comments

Please note by clicking on "add a comment" you acknowledge that you have read the Terms of Use and the comment you are posting is in compliance with such terms. Be polite. Inappropriate posts may be removed by the moderator.
LOG IN TO ADD A COMMENT Page 1 of 3 PREV PREV NEXT NEXT


Post Comment

  • Report Abuse SpidermanItalia
    • 3/31/2011 9:06:59 PM
    Materazzi---No doubt Italy is heading in the right direction 🙂
  • Report Abuse materazzi
    • 3/31/2011 9:02:03 PM
    EURO 2012 will be a great tournament , anything will be better than that last WC which was just awful in every way. I think Germany, England, Spain, Holland and Italy will be in the race. Yes i said it Italy, they are back. All we need is some better stability upfront and we will be contendors again. And i think Spain is on the decline, and i think France will be a lot better also. It should be fun
  • Report Abuse Steve_Mannschaft
    • 3/31/2011 8:54:07 PM
    Tiger, does 'Hand Of God' ring a bell?
  • Report Abuse TigerTank1942
    • 3/31/2011 7:25:11 PM
    The word QUESTIONABLE always comes up whenever that game is discussed.
  • Report Abuse TigerTank1942
    • 3/31/2011 7:23:48 PM
    Really, why didn't they then?
  • Report Abuse Mudig
    • 3/31/2011 7:21:31 PM
    Tiger, you're full of crap. The match was ours easily. Completely controlled and dominated by us. Argentina were lucky we didn't humiliate them 5-0.
  • Report Abuse SpidermanItalia
    • 3/31/2011 7:12:51 PM
    Turiddhu---I think Italy has really turned the corner--France as well. I think both were being held back by poor coaching situations. The boy Macheda looks like a gem with the U-21 team. Things look bright with France--Nasri is developing well so far. The Netherlands should be good if there stars are healthy. Course Team Turkey lurks in the wings 😉
  • Report Abuse turiddhu
    • 3/31/2011 7:05:24 PM
    no doubt,,but i would also put in the mix france and holland.
  • Report Abuse SpidermanItalia
    • 3/31/2011 6:52:11 PM
    Fellas at least your teams have stars 😉
  • Report Abuse TigerTank1942
    • 3/31/2011 6:42:57 PM
    A case of tangled legs, no more no less, surely not grounds for a PK in a WC Final.
LOG IN TO ADD A COMMENT Page 1 of 3 PREV PREV
 
Kitendawili cha ubingwa kwa Yanga, Simba Send to a friend Thursday, 31 March 2011 21:17

phirisimba.jpg
Kocha wa Simba Patrick Phiri

Mwandishi Wetu
LIGI Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2010/11 hivi sasa inaelekea ukingoni huku timu za Simba na Yanga zikichuana vikali katika nafasi za juu kuwania ubingwa huku timu za AFC Arusha na Majimaji tayari zimeshuka daraja.Bingwa wa Ligi Kuu ataiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na mshindi wa pili atashiriki katika mashindano ya kuwania Kombe la Shirikisho Afrika CAF.

Ligi Kuu msimu huu ilianza Oktoba 21, 2010 na kuhusisha timu 12 ambazo ni Yanga African, AFC Arusha, Simba Sports Club, Mtibwa Sugar, Kagera Sugar, African Lyon FC, JKT Ruvu, Ruvu Shooting Stars, Toto African, Police Dodoma, Azam FC na Majimaji. Mpaka hivi sasa baadhi ya timu zimebakisha mechi mbili mbili na nyingine zimebakisha mechi moja moja huku ligi hiyo ikitarajiwa kumalizika April 10, 2011.

Simba ndiyo inayoongoza Ligi Kuu ikiwa na pointi 45 baada ya kucheza mechi 20 na kushinda mechi 14 huku ikitoka sare mechi tatu.Katika mzunguko wa kwanza Simba ilishinda mechi tisa huku ikifungwa mechi mbili, ambapo ilifungwa na Polisi Dodoma bao 1-0, pia ilifungwa na Yanga bao 1-0.

Lakini katika mzunguko huu wa pili, mpaka sasa Simba imeshinda mechi tano tu huku ikifungwa mchezo mmoja na Azam mabao 3-2 na kutoka sare tatu dhidi ya Toto, Yanga na Kagera.

Kwa upande wa Yanga inayoshika nafasi ya pili yenyewe ina pointi 43 baada ya kucheza mechi 20 na kushinda mechi 12 huku ikitoka sare saba.Mzunguko wa kwanza wa ligi kuu Yanga ilishinda mechi saba na kutoka sare mechi nne ambazo ni dhidi ya Mtibwa,JKT Ruvu, Azam na African Lyon.

Katika mzunguko huu wa pili Yanga imeshinda mechi tano huku ikifungwa bao 1-0 na Mtibwa na kutoka sare tatu dhidi ya Majimaji, Simba na JKT Ruvu.

Timu za Azam, Kagera Sugar na Mtibwa Sugar zenyewe zimeonyesha ushindani unaotakiwa kuwepo katika Ligi Kuu na kuweza kushika nafasi nzuri katika ligi hiyo.Azam inashika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 37, Kagera Sugar nafasi ya nne pointi 34 na Mtibwa Sugar nafasi ya tano ikiwa na pointi 32.

Timu hizo zilitoa upinzani kwa klabu za Simba na Yanga huku Azam ikiifunga Simba katika mzunguko wa kwanza, Mtibwa ikitoka sare na Yanga katika mzunguko wa kwanza na iliifunga Yanga katika mzunguko wa pili, pia Kagera iliweza kutoka sare na Simba katika mzunguko wa pili.

Timu za JKT Ruvu pointi 26 na African Lyon pointi 25 zenyewe zimeweza kujihakikishia nafasi ya kubaki ligi kuu msimu ujao, kwa sababu hivi sasa zinashika nafasi ya sita na saba huku zikiwa zimebakiwa na michezo miwili miwili ambapo JKT Ruvu imebakisha mchezo dhidi ya Simba na Polisi Dodoma, wakati African Lyon yenyewe ibakisha mchezo dhidi ya Yanga na Mtibwa.

Kwa upande wa timu tano zinazoshika nafasi za chini kwenye msimamo wa ligi ambazo ni Toto African (21), Ruvu Shooting (20), Polisi Dodoma (20), Majimaji FC (16) na AFC Arusha (11) ni timu tatu tu zitabaki katika ligi hiyo ambazo ni Toto African, Ruvu Shooting na Polisi Dodoma.

Majimaji na AFC Arusha zenyewe zimejikatia tiketi ya kucheza daraja la kwanza msimu ujao baada ya kushika nafasi ya 11 na 12, huku Majimaji ikiwa na pointi 16 ikiwa imebakiwa na mchezo mmoja, wakati AFC Arusha ikiwa na pointi 11 ikiwa imebakiwa na michezo miwili.

Timu hizo za Majimaji na AFC Arusha hazikuonyesha ushindani katika ligi ya msimu huu baada ya Majimaji kushinda michezo mitatu kufungwa michezo 11 na kutoka sare saba, wakati AFC Arusha yenyewe imeshinda michezo mitatu imefungwa michezo 15 na kutoka sare michezo miwili.

Timu za Majimaji na AFC Arusha zimezipa nafasi za kucheza ligi kuu msimu ujao wa 2011/12, timu za JKT Oljoro, Coastal Union, Moro United na Villa Squad ambazo zimepanda daraja msimu huu.
 
Simba, Mazembe waongoza vitani Afrika Send to a friend Thursday, 31 March 2011 21:11

Clara Alphonce na mashiriki ya habari
BAADA ya mchaka mchaka wa mwishoni mwa wiki wa kutafuta nafasi ya kufuzu kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika 2012, macho ya mashabiki wiki hii yanaelekea kwenye mechi kumi na sita za marudiano za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho.

Mabingwa watetezi TP Mazembe watakuwa makini kuepuka matokeo ya kushangaza jijini Dar es Salaam watakapoikabili Simba SC. Bao la penati la mshambuliaji Emmanuel Okwi liliipa matumaini timu hiyo ya Tanzania iliyolala mabao 3-1, kuweza kupata nafasi ya kutengeneza rekodi ya kuwaondoa mabingwa hao watetezi.

Hata hivyo, Mazembe wanajivunia timu yao bora iliyojaa nyota wengi wenye vipaji kama Kabangu, Kaluyituka Dioko, Singuluma na kipa bora Kidiaba. Lakini wapinzani wao bado wana nafasi ya kusonga mbele, ingawa TP Mazembe pia wanaonekana watashinda mchezo huo.

Mwanzoni mwa wiki hii uongozi wa TP Mazembe waliwatumia taarifa Simba kuwa watawasili nchini Ijumaa kwa ajili ya mchezo huu, lakini mpaka jana mchana walikuwa hawajatuma taarifa ni saa ngapi watawasiri nchini.

Ofisa Habari wa Simba, Clifford Ndimbo alisema kuwa mpaka jana wao kama Simba hawajatumiwa taarifa yoyote kutoka kwa wapinzani pamoja na kuwa wameshawaandalia sehemu ya kufikia.

Alisema maandalizi ya mchezo huo yamekamilika na watawasubiri wageni wao na tiketi za mchezo huu tayari zimeanza kuuzwa katika vituo mbali mbali.

Naye Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura alipoulizwa kama kuna taarifa yoyote walitumiwa na Shirikisho la Soka la Congo juu ya ujio wa mabingwa hao.

''Bado hawajanitumia taarifa yoyote ila mimi nimewatumia barua pepe kwa shirikisho lao ya kuwauliza timu hiyo itakuja lini, lakini hawajanijibu kama watatoa taarifa mapema tutawajulisha,'' alisema Wambura.

Michezo mingine wiki hii ni Esperance na Zesco United watakuwa ugenini huko Cotonou na Mbabane zote zikiwa mbele kwa mabao matano, El Hilal na Diaraf ya Dakar wapo kwenye mazingira hayo pia baada ya kupata ushindi mabao 3-0 dhidi ya Recreativo Caala na Djoliba.

Timu nyingine inayopewa nafasi kubwa ya kusonga mbele ni Dynamos ya Harare iliyojiweka kwenye mazingira hayo baada ya kuichakaza Mouloudia ya Algiers 4-1.

Haitakuwa kazi nyepesi kwa klabu hiyo ya Algeria kuruka kihunzi hicho, wanatakiwa kufunga mabao si chini ya matatu na kutoruhusu bao. Cotonsport ya Garoua pia ipo kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbele baada ya ushindi wake wa bao 1-0 ugenini dhidi ya AS Vita Club.

Mabingwa wa zamani klabu mbili kongwe za Misri, Al Ahly na Zamalek watakuwa kwenye kibarua kizito wiki hii, Al Ahly watakuwa wageni wa SuperSport United kwenye Uwanja wa Mokaba mjini Polokwane, ambapo ni moja ya viwanja vilivyotumika kwenye Fainali za Kombe la Dunia 2010.

Zamalek miamba mingine ya Misri itaikaribisha Club Africain ya Tunisia iliyoshinda kwa mabao 4-2. Timu zote zinakutana zikiwa hazipo kwenye kiwango kizuri baada ya kusimamishwa kwa ligi zao kufutia vurugu za kisiasa zilizotokea katika nchi zao hivi karibuni.

Raja Casablanca watakuwa wenyeji wa Stade Malien huku wakiwa na kumbukumbu ya kipigo cha mabao 2-1 walichokipata jijini Bamako. Vigogo wengine wa Morocco, WAC wakiwa mbele kwa mabao 2-0 kabla ya safari yao ya Nigeria kuivaa Kano Pillars, Matokeo hayo yanawapa nafasi kubwa ya kusonga mbele kwenye mchezo huo wa ugenini.
 
Mzungu amwaga machozi Send to a friend Thursday, 31 March 2011 21:10

Jackson Odoyo
USHINDI wa mabao 2-1 dhidi ya Azam iliyopata Yanga juzi kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam umemliza kipa Inav Knezevic.
Akizungumza na Mwananchi mara baada ya ushindi huo kipa huyo namba mbili wa Yanga, Knezevic amesema machozi yake yanasababu ya msingi katika soka la Tanzania.

"Ninalia na kutokwa machozi ya furaha kwa sababu timu imeshinda, lakini pili ninatokwa machozi ya huzuni kwa sababu Papic hayupo Yanga," alisema Knezevic na kuongoza:

"Nimefurahishwa sana kuona timu imeshinda kwa sababu tulihitaji ushindi ndiyo maana ninalia kwani hii ni imara yangu ya kwanza kuingoza timu kupata ushindi katika mechi muhimu tangu nilipotua nchini" alisema Knezevic.

Alisema mechi ilikuwa ngumu kwa sababu ya presha ya ushindi kwa kila timu kutokana na nafasi za timu husika.

"Yanga ilihitaji ushindi ili iweze kuongeza matumaini ya kunyakuwa ugingwa huku Azam ikihitaji ushindi pia ili kushika nafasi ya pili, lakini kikubwa zaidi nilikuwa na wasiwasi wa kufungwa magoli mengi kutokana na kasi na uwezo wa washambuliaji wa Azam hasa baada ya John Bocco kunifungwa bao la kwanza."

Alisema kila alipokuwa akipanga safu yake ya beki hakuamini kwamba wanamsikiliza kutokana na kosakosa nyingi zilizokuwa zikitokea hasa katika kipindi cha pili cha mchezo.Kuhusu kumlilia Kostadin Papic alisema, "nimelia kwa uchungu baada ya kukumbuka maneno ya Papic."

"Papic alipokuwa Yanga alikuwa akininyima nafasi nyingi za kucheza kwa madai kuwa bado ni mdogo na kiwango changu sio kizuri ila alinimbia kuwa nitakapokuwa fiti atanipa nafasi.""Leo ninaamini kuwa maneno yake yametimia kwa sababu tangu alipofika kocha Timbe nimekuwa nikipewa mazoezi makali na hatimaye leo nimeiwezesha timu kupata ushindi muhimu."

Alisema, "ningefurahi sana kama Papic angeniona niko lango kuiongoza Yanga kupata ushindi muhimu hiyo ndiyo sababu ya kulia kwangu".
Kuhusu kupata timu nyingine katika ligi kuu ya Tanzania alisema, "nimapema sana kuzungumzia hilo kwa sababu ligi haijamalizika, lakini wakati ukifika ninaweza kuizungumzia kwa sababu kila mchezaji anahitaji kuwa na maisha mazuri ikiwa sambamba na kuwa na namba ya kudumu katika timu."
 
Cheka amvaa Mmarekani Send to a friend Thursday, 31 March 2011 21:03

Happy Kiula
BONDIA wa ngumi za kulipwa Francis Cheka anatarajia kuzichapa na Mmarekani Marcus Upshaw hapo Mei Mosi kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na wanahabari jijini jana Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Aurora na Promota wa pambano hilo Shomari Kimbau alisema mchezo huo utakuwa wa kuwania ubingwa wa mabara.

Alisema pambano hilo litakuwa na mvuto wa aina yake kutokana na urafiki na ukaribu uliopo kati ya Tanzania na Marekani haswa kwa upande wa viongozi.Aidha Kimbau alisema bondia Francis Cheka ameingizwa kwenye orodha ya mabondia bora 20 wa Dunia(IBF) na mpinzani wake ni akikamata nafasi ya 34.

Aidha pambano hilo litakuwa ni la ubingwa wa roundi 10 na kupewa jina la ' Rumble in the Jungle 2' wakati Rumble in the Jungle 1 ulikuwa ni mpambano kati ya Mohamed Ally na George Foremen wa Zaire.

Kimbau alisema "tumeamua kumpambanisha bondia wetu Cheka na Mmarekani na endapo atashinda basi atakuwa amejiweka kwenye nafasi za juu zaidi katika ubora wa ngumu duniani."

"Tunaomba vituo televisheni nchini kijitokeze katika kurusha pambano hili moja kwa moja (LIVE) ili kila Mtanzania na Mmarekani aweze kuliona," alisema Kimbau.
 
Majeruhi Man United yaivaa West Ham Send to a friend Thursday, 31 March 2011 21:00

LONDON, England
MANCHESTER United wanakumbukumbu ya kipigo cha mabao 4-0 walichokipokea kutoka West Ham United msimu huu wanakutana kesho huku safu yao ya ulinzi ya ikiwa bado dhaifu.

Pigo jingine walilopata United ni kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Ligi na timu hiyo ya Upton Park, huku mabeki wao Rio Ferdinand, John O'Shea, Jonny Evans na Rafael da Silva wote wakiwa ni majeruhi, hivyo kumfanya kocha Alex Ferguson kuendelea kusumbuliwa na uchaguzi wa mabeki.

"Imekuwa ni kipindi kigumu kwetu," alisema Ferguson, na kuongeza kuwa majeruhi wamepunguza matumaini yetu ya kurudia yale ya mwaka 1999, tulipotwaa mataji matatu Ligi Kuu, Ligi ya Mabingwa na Kombe la FA.

"Safari yetu imekuwa ngumu zaidi sasa kuliko ilivyokuwa mwaka1999, hatukuwa na majeruhi kama ilivyokuwa sasa," aliongeza.

Manchester United inaongoza ligi kwa pointi 63, tano zaidi kwa Arsenal wenye mchezo moja mkononi. United bado wanamechi moja Emirates na pia kuwakaribisha mabingwa watetezi Chelsea (pointi 54) hivyo mbio za ubingwa bado zipo wazi.

United imeshinda mechi nne tu kati ya 15, ilizocheza msimu huu na kesho wanategemea hali hiyo kuendelea kama walipofungwa 4-0 kwenye ligi msimu uliopita na West Ham.

West Ham kwa upande wao wanategeneme kutumia mchezo huo kama njia la kuwaondoa kwenye janga la kuporomoka daraja msimu huu wakiwa nafasi ya tatu kutoka mkiani.

Arsenal wao watakuwa nyumbani Emirates kucheza dhidi ya Blackburn Rovers waliowafunga mechi saba zilizopita walicheza nao hapo na kufunga jumla ya mabao 25.

Mabingwa Chelsea wenye mchezo moja dhidi ya Manchester United bado wanamatumaini ya ubingwa, lakini wiki hii watakuwa kwenye mchezo mgumu dhidi ya timu inayosifika kwa kutumia nguvu ya Stoke City.

Manchester City wanaoshika nafasi ya nne kwa pointi 53, watakuwa wenyeji wa Sunderland hapo Jumatatu katika kuendeleza mbio zao za kuwania nafasi hiyo dhidi ya wapinzani wao Tottenham Hotspur (49).

Wachezaji wa Spurs wanatakiwa kusahau mawazo yote ya mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi Real Madrid, tayari kocha Harry Redknapp ameonyesha nia ya kutaka matokeo mazuri kesho dhidi ya Wigan Athletic kuliko kuifikiria ratiba ya Ulaya.
 
Robinho: Nitaifunga Inter Send to a friend Thursday, 31 March 2011 20:59

MILAN, Italia
MSHAMBULIAJI Robinho amesema yuko tayari kuipigania Milan na kuhakikisha inachukua ubingwa wa Italia 'Scudetto' wakati watakapoivaa Inter Milan hapo kesho.

Nyota huyo wa zamani wa Manchester City analengo moja mkubwa la kumfunga kipa wa Brazil, Julio Cesar wakati atapokuwa akiongoza safu yake ya ushambuliaji kuziba pengo la Zlatan Ibrahimovic aliyesimamishwa kucheza mechi tatu kabla ya kupunguzwa na kuwa mbili.

"Ni jambo zuri kucheza dhidi ya Julio Cesar ninachotaka ni kumfunga, kwa sababu hii ni mara ya kwanza kwangu kucheza dhidi yake," alisema Robinho.
"Lakini, chochote kitachotokea mchezo utakuwa mzuri. Tunamatuini ya kushinda na tutafanya hivyo ili kuiweka Inter kwenye wakati mgumu wa kutwaa ubingwa. Tumekuwa tukifanya mazoezi kwa nguvu."

Milan ipo mbele kwa pointi mbili kwa Inter kabla ya mechi hiyo ya Madonnina wataingia uwanjani na kumbukumbu ya kipigo cha bao 1-0 walichokipata dhidi ya Palermo kabla ya mapumziko ya mechi za kimataifa.

Kikosi chao kinategemewa kuongozwa na Antonio Cassano, Alexandre Pato na Robinho kwenye mchezo huo wa watani wa jadi wa jiji la Milan.
 
Twanga kumtambulisha ‘Mtoto wa Mwisho' Tabata leo


na Mwandishi wetu


amka2.gif
BENDI ya muziki wa dansi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta' leo wanatarajiwa kutambulisha kibao chao kipya kinachokwenda kwa jina la ‘Mtoto wa Mwisho' ambacho ni kazi yake mwimbaji Dogo Rama katika ukumbi wa Rufita Tabata jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa onyesho hilo, Abdul Tall alisema, maandalizi yamekamilika hivyo mashabiki wa Twanga wanaoishi maeneo ya Tabata na viunga vyake, wajitokeze kusikiliza na kucheza pamoja kibao hicho kipya sambamba na vingine vikali vya bendi hiyo ambayo ni Kisima cha Burudani. "Ni wimbo mzuri, hivyo mashabiki wajitokeze kwa wingi kuja kuusikiliza sanjari na kuucheza," alisema Abdul.
Mratibu huyo aliongeza kuwa, wimbo huo utakuwa miongoni mwa zitakakazikamilisha albamu ya 11 ya bendi hiyo.
Alizitaja nyingine ambazo zimekamilika kuwa ni pamoja na ‘Mapenzi Hayana Kiapo' , ‘Dunia Daraja' na ‘Kauli' ambapo albamu hiyo itakamilika Juni mwaka huu.
Mbali ya nyimbo hizo, pia watatambulisha rapu mpya zilizotungwa na rapa wa bendi hiyo Msafiri Said ‘Diouf', ambazo ni ‘Sharobaro' na ‘Kamata Mwizi Men' huku kiingilio kikiwa ni sh 5,000.
 
Maonyesho ya Harusi kuanza leo


na Mwandishi wetu


amka2.gif
MAONYESHO ya pili ya mavazi na bidhaa zinazohusiana na harusi ‘Harusi Trade Fair' yanatarajiwa kuanza leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam na kushirikisha zaidi ya washiriki 51.
Kwa mujibu wa muandaaji wa maonyesho hayo, Mustafa Hassanali, maandalizi kwa ajili ya maonyesho hayo yatakayomalizika Aprili 3 yamekamilika, hivyo amewataka wadau mbalimbali kujitokeza kwa wingi.
Alisema maonyesho ya mwaka huu yatahusisha washiriki kutoka mikoa ya Dar es Salaam, Arusha na Visiwani Zanzibar, hivyo kuyafanya yawe tofauti na ya mwaka jana, ambayo yalishirikisha watu wa Dar es Salaam pekee.
Hassanali aliongeza kuwa pamoja na maonyesho hayo, mwaka huu wameongeza kipengele kipya cha ‘Mdahalo wa Harusi' ambako wataalamu waliobobea katika mambo mbalimbali ya harusi watatoa mada, pamoja na kuzungumzia yanayopasa katika harusi, urembo, jinsi ya kuchagua mavazi ya Harusi, keki, mapambo, bila kusahau yahusuyo wanaume katika harusi.
Baadhi ya washiriki wa maonyesho wa mwaka huu ni pamoja na Lotus Creative Concepts, Nadd House Events Hire, Zanzibar Weddings, Fannina Investments, Endepha Events Planners, Luxe Papers, Paper Designs, Vayle Springs, Upper Zonal Trading, River Blues Tanzania Ltd na MH Gallery.
Wengine ni Kinara Mobile Studio, Dar City, Slice of Wedding, Markham Executive Suites, The Flying Chefs, Mustafa Hassanali Wedding, Malaika Event Designs & Rentals, GRM Production, Bluecheriemoe, DIA's, Metro Fashion, Rose Fashion Designer, Tanzania Hair Industry, Norbros Collection, Manju Msitta, Caros Cakes & Hot Brades, Moevenpick Royal Palm Hotel, Sheer Illusion na Daily News.
 
TP Mazembe kutua leo na mashabiki 600
• Simba waapa kuivua ubingwa

na Dina Ismail


amka2.gif
WAKATI wapinzani wa Simba katika ligi ya mabingwa barani Afrika TP Mazembe ya Congo wakitarajiwa kutua nchini leo kwa ndege maalum, zaidi ya mashabiki 600 wanawasili leo kutoka huko kwa ajili ya kuishangilia timu yao.
Timu hizo zitamenyana keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa katika mechi ya marudiano ya ligi hiyo.
Habari kutoka Simba zinasema mashabiki hao ambao watawasili kwa mabasi kumi maalum hawakuwa tayari kusema watawasili muda gani.
"Tumetaarifiwa kuwa kuna mashabiki 600 kutoka Congo wanakuja kesho (leo) kwa mabasi maalum kumi kwa ajili ya kuishangilia TP Mazembe," kilisema chanzo hicho.
Kwa upande mwingine maandalizi kwa ajili ya mechi hiyo yanakwenda vizuri ambapo timu inaendelea na mazoezi yake ya kawaida asubuhi na jioni katika uwanja wa Uhuru.
Meneja wa Simba Innocent Njovu alisema kwamba wachezaji wote wapo katika hali nzuri isipokuwa Amri Kiemba ambaye anasumbuliwa na mguu hivyo ataukosa mchezo huo.
"Tunashukuru hali za majeruhi wetu Banka (Mohammed) na Shamte Ally zimeimarika na wameshaanza mazoezi hivyo kama mwalimu ataona wanafaa kucheza mechi hiyo basi watashuka dimbani," alisema Njovu.
Simba inayonolewa na jopo la makocha wanne Patrick Phiri, Abdallah ‘King'Kibaden, Amri Said na kocha wa makipa aliyetua juzi kutoka Oman, Anwar Amour, imeapa kuifunga TP Mazembe na hatimaye kuivua ubingwa.
Kocha mkuu Phiri alisema juzi kuwa amekuwa akikifanyia marekebisho kikosi chake baada ya kucheza mechi ya awali Lubumbashi wiki mbili zilizopita na kufungwa mabao 3-1.
Alisema kupitia mafunzo anayowapa wachezaji wake pamoja na kuwajenga kisaikolojia wachezaji wake ana imani lazima watashinda mechi hiyo hivyo amewaomba Watanzania kuwaombea dua sambamba na mashabiki kujitokeza kwa wingi kuishangilia ili kuwapa nguvu wachezaji.
Simba inahitaji kushinda mabao 2-0 ili kusonga mbele kwenye michuano hiyo mikubwa barani Afrika.
 
Azam FC wambebesha zigo la lawama kipa wao


na Dina Ismail


amka2.gif
WAKATI kocha wa Azam FC, Muingereza Stewart Hall, akimlaumu kipa wake Vladimir Nyonkuru kuwa ndiye chanzo cha kupoteza mechi yao baina na Yanga juzi, kocha wa Yanga Sam Timbe amesema bado wana ndoto ya kutwaa ubingwa.
Makocha hao walitoa kauli hiyo juzi kwenye Uwanja wa Uhuru mara baada ya kumalizika kwa mechi yao ya Ligi Kuu bara ambapo Yanga ilishinda mabao 2-1.
Stewart alisema lawama zote za kupoteza mechi hiyo zinakwenda kwa kipa wao kwani ndiye alifanya uzembe ambao ulipelekea timu yake kufungwa.
"Muulizeni kipa...vijana walicheza vizuri kipindi cha kwanza, kipindi cha pili walibweteka na matokeo yake ndiyo hivyo... mabao yale yalitokana na uzembe wa kipa," alisema.
Naye Timbe alisema pamoja na kuwa walishinda mchezo ulikuwa na upinzani mkubwa huku wachezaji wake wakikosa mabao ya wazi na hasa Jerry Tegete ambaye alishindwa kufunga mabao zaidi ya matatu licha ya kupata nafasi nzuri za wazi.
Alisema kwa matokeo hayo anaamini kuwa wanaweza kutwaa ubingwa kutokana na pointi walizonazo kutofautiana kidogo na vinara wa ligi hiyo Simba.
"Bado tunakimbizana katika kuwania ubingwa na ninaamini tunaweza kuutwaa kwani mpira ni ushindi na hasa ikizingatiwa vinara wametuzidi pointi mbili tu, kama watapoteza michezo iliyobaki na sisi kushinda ina maana ubingwa utakuwa wetu," alisema.
Simba inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 45 ambapo imebakiza mechi mbili, huku Yanga ikishika nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 43 ambapo pia imebakiza mechi mbili.
 
Cheka kuzidunda na Mmarekani Mei Mosi


na Samia Mussa


amka2.gif
BONDIA Francis Cheka anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na Marcus Upshaw wa Marekani katika pambano lililopewa jina la ‘Rumble in the Jungle 2' la uzito wa kilo 72 raundi 12 linalotarajiwa kufanyika Mei Mosi katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Aurora Security waratibu wa pambano hilo, Shomari Kimbau, alisema wameamua kulipa jina hilo pambano hilo kwa sababu Cheka amekuwa akipigana mapambano mengi hapa nchini ambayo hayana faida.
Kimbau alisema mara nyingi mapambano yanayoandaliwa dhidi ya Cheka yanakuwa kiwango cha chini hali ambayo inampotezea wasifu wake kama bondia.
"Cheka amekuwa akicheza mapambano mbalimbali hapa Tanzania na kuambiwa kuwa ni ya ubingwa wa dunia lakini katika kiwango cha mabondia bora wa dunia katika uzito wa Middle Cheka ni wa 134, hivyo watahakikisha anakuwa bingwa wa dunia wa kweli sio wa ubabaishaji," alisema Kimbau.
Alisema kuwa kwa kumsaidia bondia huyu hivi sasa wameamua kudhamini na kumuandalia mapambano ya kweli ili aweze kuwa bingwa wa dunia na katika kutimiza hilo ndiyo sababu ya kumuandalia pambano na bondia huyo bora wa sita nchini Marekani na duniani-ni wa 37.
Kimbau alisema kama Cheka atamshinda Upshaw atakuwa amefuzu kuingia katika kiwango cha 10 bora katika Middle Weght duniani ambapo wanafanya jitihada za kuwasiliana na viongozi wa Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Duniani (IBF) ili pambano hili liwe la ubingwa wa dunia.
 
Nchunga almanusra kuchezea kichapo


na Juma Kasesa


amka2.gif
MWENYEKITI wa klabu ya Yanga, Llyod Nchunga, juzi, alilazimika kutoka uwanjani akiwa katika ulinzi mkali kutoka kwa kikosi maalumu cha walinzi, ikiwa ni njia ya kujinusuru na kundi la baadhi ya watu waliodaiwa kupanga kumshambulia mara baada ya mchezo baina ya Yanga na Azam FC uliopigwa katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili, umebaini hatua hiyo ya Nchunga imekuja mara baada ya kundi hilo kuanza kumtupia maneno ya kejeli na matusi wakati mchezo baina ya timu hizo ukiendelea kipindi cha kwanza huku Yanga ikiwa nyuma kwa bao 1-0 likiwa limewekwa kimiani dakika ya pili ya mchezo na John Bocco ‘Adebayor'.
Hali hiyo iliendelea hata mara baada ya Yanga kusawazisha bao hilo likipachikwa na Jeryson Tegete, jambo lililoonyesha kumjengea hofu mwenyekiti huyo ambaye katika siku za hivi karibuni amekuwa katika msuguano na wanachama wa klabu hiyo.
Mara baada ya mchezo kumalizika Tanzania Daima ilimshuhudia Nchunga akisindikizwa na kikosi cha mabaunsa wapatao saba kutoka uwanjani na kuingia katika gari lake na kuondoka sambamba na msafara wa basi la timu.
Katika mchezo huo Yanga ilifanikiwa kuchomoza na ushindi wa mabao 2-1 yakipachikwa na Tegete hivyo kufikisha pointi 43 na kumpumulia kisogoni mtani wake wa jadi Simba ambaye anaongoza ligi hiyo akiwa na pointi 45.
 
Tigo Walk for Life 2011 kukusanya mil. 60/-


na Shehe Semtawa


amka2.gif
SPEARHEAD Africa Limited kwa kushirikiana na kampuni ya simu za mikononi ya Tigo wameandaa mbio maalumu za kuchangisha wadau ili kuondoa tatizo la maji linalowakabili wakazi wa Bagamoyo mkoani Pwani zitakazojulikana kama ‘Tigo Walk for Water'.
Meneja Huduma kwa Wateja wa Spearhead, Bertha Ikuwa, alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa ni mwaka wa pili kwa shughuli hiyo ya uchangishaji wa fedha kuendeshwa na kampuni hiyo hapa nchini.
Alibainisha kuwa Tigo Walk for Water itafanyika uwanja wa maegesho ya magari wa Mlimani City, Mwenge Aprili 16.
Ikuwa alisema mbio hizo zitakazokuwa za kilomita 6 zinatarajiwa kusanya sh milioni 60 ambazo zitatumika kuchimba visima vyenye urefu wa mita 100 na 200.
Alisema katika awamu ya kwanza vitachimbwa visima 15 ambavyo vitatoa ahueni kwa wakazi zaidi ya 100,000 waishio Bagamoyo ambao hawana uwezo wa kupata maji safi na salama.
"Visima hivi vitaweza kumpunguzia mama adha ya kufuata huduma hiyo umbali wa kilomita 6 huku akipambana na matatizo mbalimbali yakiwemo nyakati nyingine kuvunjika ndoa, hata na kubakwa vichakani," alisema Ikuwa.
Aidha alisema usajili wa mtu binafsi kwa ajili ya matembezi au mbio hizo ni sh 3,000 ambapo zoezi hilo lilitarajiwa kuanza Machi 28, mwaka huu makao makuu ya Tigo yaliyo barabara ya Nyerere na Ohio.
Kwingine ni pamoja na barabara ya Pugu, Village Supermarket Plaza Masaki na Mikocheni City Supermarket iliyo Harbour View.
 
Cobra atamba kuuzima Mtambo wa Gongo


na Dina Ismail


amka2.gif
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Robert Mrosso ‘Cobra', ametamba kushinda pambano lake dhidi ya Maneno Oswald ‘Mtambo wa Gongo' litakalofanyika kesho kwenye ukumbi wa Amana Vijana Centre, jijini Dar es Salaam.
Mabondia hao wanatarajiwa kuzitwanga katika pambano lisilo la ubingwa uzito wa kati, litakalokuwa la raundi 10.
Cobra alisema, kutokana na mazoezi na maandalizi ya hali ya juu aliyoyafanya, anaamini ataibuka na ushindi, kwani amefanyia kazi mapungufu ya mpinzani wake.
Naye mratibu wa pambano hilo, Rajab Mbogo, alisema maandalizi yanakwenda vizuri, ambako kabla ya pambano la Cobra na Mtambo wa Gongo, kutatanguliwa na mengine kadhaa ya utangulizi yatakayokuwa ya raundi nne.
Aliyataja mapambano hayo kuwa ni kati ya Salehe Mkalekwa dhidi ya Haogwa Mwita, Hamisi Juma dhidi ya Maulid Bakari, huku Maneno Jokolo atazidunda na Omary Bomba.
 
Mbunge Aziz Abood aenziwe, aigwe kwa msaada Five Stars
ban.mtazamo.jpg


Abdallah Menssah​

amka2.gif
IJUMAA iliyopita katika gazeti hili niliandika mtazamo uliokuwa na kichwa cha habari: ‘Maafa Five Stars serikali imedhihirisha kutowathamini wasanii'.
Ndani yake nikazungumzia mambo mengi lakini ni kuhusiana na namna serikali yetu ilivyoonyesha kuwa nyuma katika tukio zima la ajali hadi maziko ya wasanii wa Five Stars.
Hata hivyo, nakiri nilifika mbali sana katika mtazamo wangu. Lakini pengine ni kutokana na kuguswa sana na msiba ule na jinsi baadhi ya viongozi wenye dhamana walivyonikera.
Hata nikajikuta nikisahau kuwapongeza wengine ambao katika maafa yale kwa namna moja ama nyingine walionyesha moyo wa ubinadamu usio kifani.
Kwa sababu pamoja na kuwa kulikuwako na viongozi walioonyesha kuwa nyuma katika maafa yale yaliyostahili kupewa uzito wa kitaifa, lakini pia walijitokeza viongozi wengine wenye moyo wa kusaidia.
Miongoni mwao ni Mbunge wa Morogoro Mjini, Azizi Abood, ni kiongozi pekee aliyeshiriki kikamilifu katika tukio la ajali na maziko ya wasanii wa Five Stars, Machi 21.
Mara baada ya kupata taarifa ya ajali ile, hakutaka kupoteza wakati wala kujishauri, alifika eneo la tukio sambamba na ndugu na jamaa wa marehemu na majeruhi.
Alichofanya mbunge huyo, si kutia mikono mfukoni akizunguka huku na huko, kama ilivyo kawaida kwa viongozi wengi.
Bali alihakikisha anawajibika ipasavyo kwa kuwa bega kwa bega na wahusika wa karibu wa tukio lile ambao ni baaadhi ya wasanii walionusurika na wa kutoka kwenye makundi mengine.
Daima jamii ya Watanzania tutakukumbuka kwa michango yako mingi ya mawazo, fedha na magodoro yaliyotumika kubebea miili ya marehemu na lori lililowasafirisha miili yao hadi Dar es Salaam.
Kingine ni jinsi alivyohiari kupoteza muda wake mwingi wa kucha na kutwa nzima kuhaha mochwari alipoagiza wahifadhiwe maiti wale ili kuhakikisha wanaandaliwa vema kwa mazishi.
Nchi yetu ina viongozi na wananchi wengi wenye uwezo kifedha, lakini maafa yale yalisuswa na kuwachia ndugu wa wasanii hao bila kujali mchango wao wa kuelimisha jamii na kusaidia kuwaingiza viongozi madarakani.
Ina maana ni Mbunge Abood pekee ndiye aliyefahamu kuwa marehemu wale ni mashujaa waliopoteza maisha wakiwa katika harakati za kuelimisha jamii kupitia burudani?
Kwa sababu, ni yeye tu na baadhi ya wasanii kutoka katika makundi mbalimba ndio walioonekana kuwajibika na kuhakikisha wenzao wanasitiriwa.
Pamoja na mbunge huyo, pia tunawapongeza wengine waliokuwa mstari wa mbele katika ajali ile, kama uongozi wa kundi la Jahazi Modern chini ya Mzee Yussuf ‘Mfalme', TOT Plus na Dar es Salaam Modern Taarab.
Hata hivyo mchango wa Mbunge Abood ulikuwa mkubwa, kwa sababu wasanii waliofika eneo la tukio kutoka jijini Dar es Salaam walijikuta wakishindwa kuwajibika ipasavyo, kwani nao walichanganyikiwa.
Kwa jinsi Mbunge Abood alivyowajibika, nina hakika atalipwa na Mwenyezi Mungu na ni wazi kuwa ameonyesha mfano wa namna viongozi wetu wanavyotakiwa kuwa.
Kwakweli, ni vema viongozi wengine wajifunze kwa mbunge huyo ili kuondoa malalamiko ya kuwapo kwa ushiriki mdogo wa viongozi wa juu yanapotokea matukio makubwa kama ya ajali.


h.sep3.gif

Mwandishi wa mtazamo huu ni mdau wa muziki na sanaa ya burudani kwa ujumla, anapatikana kwa simu namba: 0718 102050, au barua pepe: abmenssah@yahoo.com
 
Yanga yaota Ubingwa Bara


Na Elizabeth Mayemba

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Yanga, Mganda Sam Timbe amesema kwamba timu yake ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara, endapo
watashinda mechi zao mbili zilizosalia, huku akiwaombea Simba wapoteze mchezo mmoja.

Timu ya Yanga juzi ilifanikiwa kuzoa pointi tatu kutoka kwa Azam FC, baada ya kuwafunga mabao 2-1 na hivyo kufikisha poiti 43 wakitofautiana pointi mbili na Simba, ambao ndiyo vinara wa ligi hiyo kwa kuwa na pointi 45.

Akizunguma juzi mara baada ya mchezo na Azam FC kumalizika, Timbe alisema lolote linaweza kutokea mbele ya safari ya kwenda katika ubingwa na anaona wazi kwamba timu yake bado ina nafasi ya kutwaa taji hilo.

"Kwa hapa tulipofikia ubingwa upo endapo tu, tutashinda mechi zetu mbili zilizosalia na Simba endapo watapoteza mchezo mmoja au yote, hakuna timu isiyotaka kuchukua ubingwa," alisema Timbe.

Alisema kwanza kabisa anashukuru kuona wamewazuia Azam FC, kukaa katika nafasi ya pili, kwani Azam wangeshinda jana walikuwa na uhakika mkubwa kabisa ya kuchukua nafasi ya pili.

Timbe amewataka wachezaji wake wasibweteke na ushindi wa juzi na badala yake waendelee kujituma, ili washinde michezo yao iliyosalia na kubwa zaidi wazidishe kufanya mazoezi ambayo ndiyo yaliwapa ushindi.

Katika hatua nyingine Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall ameitabiria timu ya Simba kutwaa ubingwa wa Bara pamoja na tofauti ya pointi mbili na Yanga.

'Bado ninaamini kabisa Simba, ndiyo mabingwa wa Bara muhimu wajitume katika mechi zao mbili zilizosalia, kwa upande wangu bado sijakata tamaa nitaendelea kupambana ili tushinde mechi zetu mbili zilizosalia," alisema Stewart.

Alisema katika mchezo wao wa juzi, kipa wake Vladimir Niyonkuru aliiangusha timu hiyo baada ya kutema mipira ovyo na hivyo kuwapa mwanya Yanga kufunga.

Hata hivyo kocha huyo alisema msimu ujao wa ligi, atahakikisha anafanyia marekebisho kikosi chake na kuongeza wachezaji wenye uwezo zaidi, ili timu yake itwae ubingwa.
 
TP Mazembe kuwakosa nyota wake watatu


Na Zahoro Mlanzi

NYOTA watatu wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), huenda wasiwepo katika kikosi kitakachoivaa Simba Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya kushindwa kufika kambini kwa wakati.

Wachezaji hao ni Kanda Deo ambaye alikuwa Ouagadougou, Burkina Faso kuitumikia timu ya taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 23 ya DRC, Cheiban Traore akiwa na Mali na Abdoulaye Mohamed akiwa na Niger.

TP Mazembe ambao ndiyo mabingwa watetezi wa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, wanatarajiwa kuwasili nchini leo tayari kwa mchezo wa Jumapili ambapo ule wa awali walishinda mabao 3-1 nyumbani kwao.

Kwa mujibu wa taarifa ya mtandao wa klabu hiyo iliyotolewa juzi, ilieleza kwamba wachezaji mbalimbali wa timu hiyo walioitwa kwenda kuzitumikia timu zao za taifa walianza kurudi kambini tangu Jumatano jioni, lakini hao watatu bado.

Ilieleza siku ya mwisho waliotakiwa kuwasili kambini ni jana ambapo timu hiyo ilikuwa katika maandalizi ya mwisho wakifanyia mazoezi kwenye Uwanja wao wa Stade de Kenya, uliopo Lubumbashi nchini humo.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa endapo hawatafika wataangalia uwezekano wa kuwatumia tiketi na moja kwa moja waje Dar es Salaam na ikishindikana hawana budi kubaki Lubumbashi.

"Wachezaji wengine waliendelea na mazoezi tangu Jumanne asubuhi na mchana, kundi la kwanza lilifanya bila kuwepo wale waliokuwepo katika timu za taifa na walifanya mazoezi chini ya Lamine Ndiaye," ilieleza taarifa hiyo.

Wachezaji hao walikuwa wakizitumikia timu za taifa za nchi hiyo katika mashindano ya Mataifa ya Afrika (CAN), ambazo fainali zake zitafanyikia Gabon na Guinea ya Ikweta na wengine katika mashindano ya Olimpiki.
 
Simba watakiwa kujiamini mechi na Mazembe


Na John Gagarini, Kibaha

WACHEZAJI wa Simba, wametakiwa kujiamini ili wapate ushindi kwenye mchezo wao wa marudiano dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) utakaopigwa
Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi mjini juzi hapa Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Silvestry Koka alisema Simba wana uwezo kabisa wa kushinda mchezo huo kama watajiamini na kuondoa uoga kuwa wanacheza na timu kubwa Afrika.

Koka alisema kiwango cha Simba kiko juu na uwezo wa kufanya hivyo wanao kwani TP Mazembe, pamoja na kuonesha kuwa inaweza mpira, lakini inafungika bila ya wasiwasi na viongozi wawajenge kisaikolojia kwa kuwa uwezo wa kucheza soka la hali ya juu wanao, hivyo wasiingie uwanjani kinyonge.

"Wachezaji wa Simba wanapaswa kujiamini na kujituma, kwani mchezo waliouonesha kule Lubumbashi ulikuwa mzuri na kama wachezaji wangejiamini, basi hata kama wangefungwa ni idadi ndogo ya magoli, tofauti na magoli matatu waliyofungwa na wao kupata moja walionesha kuwa wanaweza," alisema Koka.

Mbunge huyo alisema katika mpira, chochote kinaweza kutokea kwa kuweka mbinu mbalimbali za ushindi kwani miaka michache iliyopita, Simba iliweza kuitoa timu ngumu ya Misri ya zamalek jambo ambalo watu wengi waliona haliwezekani.

"Mpira unadunda kama, wao waliweza kutufunga kwao hata sisi hatushindwi kuwafunga kwetu kwani tutakuwa tukijivunia uwanja wa nyumbani na mashabiki wetu watumie nguvu na jitihada zao binafsi na kwa kutumia mafunzo ya Kocha Patrick Phiri, ambaye ana uwezo mkubwa," alisema Koka.

Simba inapaswa kupata ushindi wa magoli 2-0 na kuendelea baada ya kufungwa magoli 3-1 kwenye mchezo wa awali uliochezwa wiki mbili zilizopita.



1 Maoni:

blank.gif

Anonymous said... Mimi ni mpenzi wa YANGA. Lakini Simba nawapenda hasa mechi za kimataifa. Ninaungana na wapenzi wote wa mpira na wapenda soka kuiombea SIMBA iendelee vema dhidi ya hao TP MAZEMBE.
April 1, 2011 6:17 AM

Post a Comment
 
Arshavin: Run-in favors Gunners


RivalsDM



PRINT RSS

49

Updated Apr 1, 2011 9:28 AM ET
Andrey Arshavin believes Arsenal's less hectic schedule will help them overhaul Manchester United in the race for the Premier League title.
The Gunners are five points adrift of Sir Alex Ferguson's side at the top of the table heading into the home straight, although they do have a game in hand, with defending champions Chelsea four points further back.
Sat., Apr. 2
West Ham vs. Man Utd
Birmingham vs. Bolton
Everton vs. Aston Villa
Newcastle vs. Wolves
Stoke City vs. Chelsea
West Brom vs. Liverpool
Wigan vs. Tottenham
Arsenal vs. Blackburn
Sun., Apr. 3
Fulham vs. Blackpool
Man City vs. Sunderland
BPL Scores | Table | Fixtures


Arsene Wenger's men play host to Blackburn Rovers on Saturday evening, by which time they will know how United have fared with the Red Devils travelling to West Ham for the lunchtime fixture.
The North London club will play host to United on May 1, with another blockbuster encounter between Ferguson's men and Chelsea the following weekend.
The Premier League crown is now Arsenal's only remaining hope of ending their six-year wait for silverware after a miserable spell saw them suffer Carling Cup, UEFA Champions League and FA Cup woe.
Ferguson's side, meanwhile, have much more on their plate and must tackle Chelsea in the last eight of Europe's elite competition and come up against Manchester City in the semi-final of the FA Cup.
And while playmaker Arshavin would prefer to be competing on more fronts as the season draws to a close, he feels Wenger's squad will have recovered from the misery of exiting three competitions in less than two weeks.
The Russia international told Sky Sports News: "I think our schedule is not so bad, that is why if we win all our games we have a good chance to be champions.
"I think everyone in our team would prefer to have more possibilities than only one trophy, but everything is in the past, that is why we have to concentrate on the Premier League matches.
"Straight after it was very difficult for everyone, but now we have come back after the internationals and have refreshed our minds and maybe it will help us.
"I think we are in the race."
And he joked: "I met with Avram Grant yesterday, we had a chat and I have asked him to steal some points from Manchester United this weekend!"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom