Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
Majira imeripoti leo ya kuwa usajili wa mchezaji mahiri kutoka Ghana wa Yanga Afrika bado watanda giza.............................
Hizi ni habari za kusikitisha kwa wapenda michezo wote.....inakuwaje Yanga Afrika wamgharimie mchezaji huyo kwa mapesa kibao halafu urasimu uendelee kumkwakaza gwiji huyo wa kupachika mabao kuendeleza kipaji chake na kuisaidia klabu yake kufanya vizuri kwenye mashindano ya ndani na ya kimataifa......................
Magazeti mengine yametuhabarisha kuwa kocha mashuhuri wa klabu ya Simba ajulikanaye kama Phiri anaondoka Simba na ya kuwa amekwisha kuwakabidhi warithi wake mikoba ya ukocha wa klabu hiyo.......................
Phiri atakumbukwa kwa kuweka rekodi mwaka jana ambapo Simba ilitwaa ubingwa wa ligi bila ya kupoteza hata mechi moja................
Zimekuwepo tetesi ya kuwa kituo pili cha Phiri huenda kikawa ni Azam F. C.....kama ni kweli basi soka letu bado litaendelea kunufaika na vipaji vya kocha huyo ambaye enzi za uchezaji wake alikuwa ni kiboko....................