Michezo magazetini leo...

Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
TP Mazembe kutua Dar Ijumaa
• Kuwaona Uwanja wa Taifa sh 5,000

na Mwandishi wetu


amka2.gif
WAKATI wapinzani wa Simba katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakitarajiwa kuwasili nchini kesho kutwa, viingilio vya mchezo baina ya timu hizo vimetajwa huku kiingilio cha chini kikiwa kimepangwa kuwa sh 5,000.
Simba inatarajiwa kukipiga na Mazembe Jumapili kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 9:30 jioni, ikiwa ni mechi ya marudiano baada ya ule wa awali uliopigwa Lubumbashi na Wekundu wa Msimbazi kulala kwa mabao 3-1.
Ofisa habari wa Simba, Clifford Ndimbo alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa, maandalizi kwa ajili ya mechi hiyo yanakwenda vizuri, ambako wachezaji wako katika hali nzuri na ari kubwa ya kushinda mechi hiyo.
Alisema, waamuzi wa mchezo huo kutoka Shelisheli na Kamisaa kutoka Kenya watawasili Jumamosi, huku tiketi zitaanza kuuzwa Ijumaa katika migahawa ya Steers, vituo vya mafuta vya Big Bon, Benjamin Mkapa Tower, BP Mwembechai na Uwanja wa Taifa.
Alivitaja viingilio katika mechi hiyo kuwa ni sh 40,000 kwa VIP A, sh 20,000 VIP B, 10,000 VIP C, huku watakaokaa viti vya rangi ya chungwa watalipa sh 8,000 na wale watakaokaa viti vya kijani na bluu watalipa sh 5,000.
 
Sasa Mosha atoka kivingine


na Dina Ismail


amka2.gif
ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Davis Mosha ameanzisha taasisi inayolenga kusaidia watoto yatima kupitia michezo inayojulikana kama ‘Africa Soccer Aid'.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mosha alisema, kupitia taasisi hiyo timu mbalimbali kutoka barani Ulaya, zitakuja nchini kucheza na timu za Simba, Yanga na nyingine za nchi jirani, ambapo fedha zitakazopatikana watapewa walengwa.
Alisema, tayari ameishafanya mazungumzo na klabu kadhaa nchini Uingereza, huku timu kama Liverpool, Stoke City, Newcastle United, West Ham United na Tottenham Hotspurs zimeonyesha nia ya kuja nchini.
Mosha aliongeza kuwa ili kufanikisha hilo atatafuta washirika takriban 10 kutoka nchi mbalimbali barani Afrika na tayari mmiliki wa TP Mazembe ya DRC Congo, Moise Katumbi Chapwe na yule wa Sofapaka ya Kenya, Elly Mboni Kalekwa wamekubali kushirikiana naye.
Mosha aliongeza kuwa pamoja na kusaka washirika hao, pia watabisha hodi kwa kampuni mbalimbali, kwani kufanya hivyo kunahitaji ufadhili toka kwao kutokana na ukweli kwamba, ili kuileta klabu moja zinahitajika kati ya dola 700,000 hadi milioni moja za Kimarekani.
Katika hatua nyingine, Mosha alisisitiza kuwa, hajarejea kuingoza Yanga na wala hana mpango wa kuingoza klabu hiyo, bali ataendelea kuwa mwanachama na ikiwezekana kuidhamini kupitia kampuni zake.
Alisema, anashangazwa na baadhi ya watu akiwemo Mwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga, kumshutumu baada ya wanachama kuandamana wakishinikiza arudi kuingoza, kitu ambacho kinaonyesha dhahiri kuwa hawakupendezwa na uwepo wake.
"Wanachama walionitaka nirudi watanisamehe sana siwezi kurudi na kusababisha kuvutana na Nchunga, niliandika mwenyewe barua ya kujiuzulu na ninaifahamu katiba, hivyo siwezi kurejea tena kuongoza," alisema Mosha.



h.sep3.gif
 
Stars, Afrika ya Kati zaingiza mil. 110.5/-
• Gongo la Mboto kupozwa sh mil. 1.1

na Khadija Kalili


amka2.gif
MECHI ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (CAN), kati ya Timu ya Taifa Stars na Jamhuri ya Afrika ya Kati iliyopigwa Jumamosi iliyopita Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam imeingiza sh 110,552,000.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura, watazamaji 21,117 walikata tiketi kushuhudia pambano hilo kwa kiingilio cha sh 3,000, 5,000, 10,000, 20,000 na sh 40,000.
Wambura alisema, asilimia moja ya mapato hayo, ambayo ni sh 1,105,520 itakabidhiwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto.
Katika hatua nyingine, Wambura alisema, Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA), limepanga mtihani wa uwakala wa wachezaji, kufanyika kwa wanachama wake wote Machi 31 mwaka huu.
Alisema, mtihani huo utakuwa wa sehemu mbili, ambazo ni maswali kutoka FIFA na kwa shirikisho la nchi husika na kubainisha kuwa, hadi sasa hakuna Mtanzania aliyeomba kufanya mtihani huo
 
Nkamia kusaka vipaji riadha, soka Kondoa


na Asha Bani


amka2.gif
MBUNGE wa Kondoa Kusini, Juma Nkamia, amesema ifikapo Juni mwaka huu anatarajia kuanzisha mashindano ya riadha na soka ili kusaka vijana wenye vipaji jimboni humo.
Akizungumza na waandishi wa habari waliokuwa katika ziara jimboni humo hivi karibuni, Nkamia alisema, kutokana na kuwa nyuma katika michezo licha ya kutoa wanamichezo wazuri kitaifa, yeye binafsi kama mpenda michezo, hali hiyo inamsononesha na ataanza kusaka vipaji mbalimbali hivi karibuni.
Alisema, kwa kuanza ataanza na mashindano ya jimbo na kwamba anaahidi kuwa atafanya hivyo kila mwaka na kuangalia vipaji shuleni.
"Kwa kweli Kondoa kimichezo iko nyuma sana, ingawa kuna wanamichezo mbalimbali waliofanikiwa wametoka jimboni mwetu, kwa mfano Kanali mstaafu Juma Ikangaa wa riadha na Mohamed Banka wa timu ya Simba, ambaye pia anachezea Taifa Stars, wote wametoka hapa," alisema na kuongeza:
"Nataka kufanya nao mazungumzo, ili tuweze kusaidiana na kunyanyua kiwango cha michezo Kondoa na kwa kuanza, tayari nimeishafanya mazungumzo hayo na Ikangaa na Filbert Bayi ili kusaka vipaji vya riadha pia," alisema Nkamia.
Aidha alisema kuwa, katika mchezo wa riadha ataanza kushindanisha shule za sekondari zipatazo 22 zilizoko jimboni hapa mara ifikapo Julai mwaka huu.
Hata hivyo aliongeza kuwa itakuwa furaha kwake endapo Julai mwaka huu, kutagawanywa na kuwa halmashauri mbili, yaani Kondoa Kusini na Kondoa Kaskazini ili kila moja iweze kufanya kazi za maendeleo na kusaidia kuwaletea maendeleo wakazi wa majimbo hayo kwa kutekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Pia mbunge huyo, aliiomba serikali kupitia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutoa mchango wake mikoani, ili nao waweze kujinyanyua kama ilivyo kwa mkoa wa Dar es Salaam.
 
Ligi Taifa kupigwa mikoa minne


na Mwandishi wetu


amka2.gif
LIGI ya Taifa inayoshirikisha mabingwa wa mikoa inatarajiwa kupigwa Juni mwaka huu ambapo katika hatua ya awali itakuwa na makundi manne.
Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura, makundi hayo yatakuwa katika mikoa ya Pwani, Ruvuma, Kigoma na Singida.
Wambura alisema, Kundi la Pwani litakuwa na mabingwa wa mkoa huo, Dar es Salaam-1 , Dar es Salaam-2, Tanga, Lindi na Mtwara, huku kituo cha Ruvuma ni Mbeya, Iringa, Rukwa, Morogoro, Dar es Salaam-3 na Ruvuma.
Kundi la Kigoma ni Tabora, Kagera, Kigoma yenyewe, Shinyanga, Mara na Mwanza, wakati Singida ni Arusha, Manyara, Singida, Kilimanjaro, Dodoma na Shinyanga.



 
U-23 kurejea leo mchana


na Khadija Kalili


amka2.gif
TIMU ya taifa ya vijana chini ya miaka 23 iliyoshindwa kurejea nchini jana asubuhi kutoka Younde Cameroon sasa inatarajiwa kuwasili leo majira ya saa 8 mchana kwa ndege ya Kenya Airways.
Tanzania U-23 ilikuwa Cameroon kwa ajili ya mechi za awali za Olimpiki ambapo Jumapili iliyopita ililala dhidi ya wenyeji kwa mabao 2-1.
Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Wambura, baada ya kuwasili, wachezaji watapewa mapumziko ya siku moja, kabla ya kurejea kambini kujiandaa na mechi ya marudiano itakayopigwa Aprili 9 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaams.
 
SAF has transfer targets in mind


RivalsDM



PRINT RSS

24

Updated Mar 30, 2011 10:42 AM ET
Sir Alex Ferguson is confident Manchester United will be able to add 'two or three' new players to his squad in the summer.
United are expected to be in the market for a new goalkeeper at the end of the season when Edwin van der Sar steps down, while there are also suggestions Paul Scholes will announce his retirement.

Sat., Apr. 2
West Ham vs. Man Utd
Birmingham vs. Bolton
Everton vs. Aston Villa
Newcastle vs. Wolves
Stoke City vs. Chelsea
West Brom vs. Liverpool
Wigan vs. Tottenham
Arsenal vs. Blackburn
Sun., Apr. 3
Fulham vs. Blackpool
Man City vs. Sunderland
BPL Scores | Table | Fixtures


That would leave the Red Devils needing a new central midfielder and Everton youngster Jack Rodwell is rumoured to be Ferguson's No.1 target.
Ferguson expects to receive the backing of controversial United owners, the Glazer family, and confirmed he has identified the players he wants to sign.
"We have certain targets in mind at the moment anyway," said Ferguson. "I think two or three will be fulfilled, there's no question about that.
"The Glazer family have always been very supportive of our desires to improve the team."
The primary focus is likely to be on bringing youth to Old Trafford, although Ferguson did reveal he would not be looking to improve his striking options for next season.
He added: "What we are good at is bringing young players to the club, like Chicharito (Javier Hernandez) for example.
"If you look at how, over the last six to eight years, we've brought in young players like Ronaldo, Rooney - okay, one was 17, the other was 18 - we're good at that. I don't see why we should change from what we're good at.
"We will continue [to buy players], without question, and when the opportunity does arrive and we identify the right young players, that's the way we'll go.
"In the present situation, with the likes of Chicharito, I think we have possibly some of the best young strikers in the country.
"Danny Welbeck, who's at Sunderland at the moment, is an excellent young prospect. And the boy Mame Diouf who's at Blackburn is another good prospect.
"We're particularly strong with young strikers at the moment for some strange reason. Sometimes it works that way."



PRINT RSS
 
One trophy enough for Ferguson


RivalsDM



PRINT RSS



Updated Mar 30, 2011 9:59 AM ET
Sir Alex Ferguson insists he would consider the season a successful one if Manchester United bring just one trophy to Old Trafford.
Ferguson's men have the chance to emulate the United heroes of 1999 this term by securing a much-coveted Treble, with the Champions League, Premier League and FA Cup still in their sights.

Sat., Apr. 2
West Ham vs. Man Utd
Birmingham vs. Bolton
Everton vs. Aston Villa
Newcastle vs. Wolves
Stoke City vs. Chelsea
West Brom vs. Liverpool
Wigan vs. Tottenham
Arsenal vs. Blackburn
Sun., Apr. 3
Fulham vs. Blackpool
Man City vs. Sunderland
BPL Scores | Table | Fixtures


But the Scot is adamant he would be satisfied seeing United lift just one piece of silverware.
"We must have a chance (for the Treble), a very difficult one. More difficult than it's ever been. We'll just try to do our best," said Ferguson.
"I always feel anyway that, going away from the greed of achieving three trophies, if you're winning one major title a year then you have to be happy with that.
"If it turned out we only won one of those big trophies, I'd be delighted with that."
United are currently top of the league with a five-point lead over nearest rivals Arsenal, while their campaign resumes this weekend after the international break with a trip to West Ham.
Ferguson admits the title race is likely to come down to his side and the Gunners but, with things tight at the head of the table, he has not ruled out a late surge from the other teams in the top five.
He added: "It looks as if it's going to be us and Arsenal, but you never know.
"Manchester City, Chelsea and Tottenham are still in the frame. You can't dismiss them. But there are some important games coming up.
"The way I look at it is every game is a winner now.
"These are must-win games, in the sense that every time you get three points, it's another step closer to the finish line."
 
Gerrard hoping to face Baggies


RivalsDM



PRINT RSS

0

Updated Mar 30, 2011 2:02 PM ET
Liverpool captain Steven Gerrard hopes to be fit to return against West Brom this weekend and lead the club's push for European qualification.
The 30-year-old midfielder has missed three matches, although only one in the Premier League, after undergoing surgery on a groin problem on March 10.

Sat., Apr. 2
West Ham vs. Man Utd
Birmingham vs. Bolton
Everton vs. Aston Villa
Newcastle vs. Wolves
Stoke City vs. Chelsea
West Brom vs. Liverpool
Wigan vs. Tottenham
Arsenal vs. Blackburn
Sun., Apr. 3
Fulham vs. Blackpool
Man City vs. Sunderland
BPL Scores | Table | Fixtures


However, he is optimistic of being available to face former Reds boss Roy Hodgson at the Hawthorns on Saturday, the first of the remaining eight games they have to catch fifth-placed Tottenham and qualify for the Europa League.
"I'm hoping to be in full training on Thursday and available for selection for the weekend," said the England international.
"It's up to Kenny (Dalglish) whether he thinks I'm ready or not. I'm really looking forward to getting back."
Liverpool are four points behind Spurs, who have a match in hand, but Gerrard believes they still have a chance of "sneaking" back into Europe having been knocked out of the Europa League by Braga earlier this month.
And the likelihood of having January signings Andy Carroll - scorer of England's goal in last night's 1-1 friendly draw against Ghana - and Luis Suarez both fit for the run-in increases the optimism of the Reds captain.
"Our league form since Kenny came in is the best in the league so it's really positive," Gerrard told talkSPORT.
"He is a player's manager. Players like playing for him because he talks to them, he's honest with them.
"We're hoping Kenny can bring the glory days back. We know there's a lot of hard work to do yet but there has been an improvement.
"We're just going to try to win the rest of our games and try to finish as high as we can.
"The aim for us is to try and sneak back into Europe come the end of the season.
"We believe now that we've got the most feared strikeforce in the league.
"One thing that's important to remember with Andy is that he's superb on the floor.
"If we are in a difficult game or we are chasing a game we can be more direct but the good thing is because we can mix it up, we can play either way now.
"We can play in behind, we can play long, and with Suarez running off him.
"It gives us a whole new dimension."
Suarez has made more of an impact since his £22.7million arrival from Ajax, scoring twice in five matches and starring in the 3-1 win over Manchester United earlier this month.
He is already targeting Champions League qualification next season.
"We are now four points off fifth position and we have to try and finish as high as possible to leave a good impression," said the Uruguay international.
"Liverpool are a club at world level. In the last few games we've really improved and played well and we hope we can continue winning points.
"The important thing will be next season. Hopefully it will go really well and we'll be able to go into the Champions League because Liverpool are a Champions League club."
 
Lucas lands new Liverpool deal


RivalsDM



PRINT RSS

1

Updated Mar 30, 2011 1:20 PM ET
Liverpool midfielder Lucas Leiva has signed a new long-term contract with the Anfield club - and admits "it was an easy decision".
The Brazil international is currently enjoying his best season in a red shirt since arriving from Gremio in the summer of 2007 for £5million.

Sat., Apr. 2
West Ham vs. Man Utd
Birmingham vs. Bolton
Everton vs. Aston Villa
Newcastle vs. Wolves
Stoke City vs. Chelsea
West Brom vs. Liverpool
Wigan vs. Tottenham
Arsenal vs. Blackburn
Sun., Apr. 3
Fulham vs. Blackpool
Man City vs. Sunderland
BPL Scores | Table | Fixtures


Lucas has grown in stature as a central midfielder following the departure of Xabi Alonso and Javier Mascherano in recent seasons and made his 100th Premier League appearance against Wigan in February.
With the 24-year-old's previous contract having only just over a year to run and continued speculation about Liverpool renewing their interest in Blackpool's Charlie Adam in the summer, there had been suggestions Lucas could be on his way out.
Only this week he was linked with Serie A side Napoli - but the likeable Brazilian always insisted he wanted to remain at Anfield and has got his wish.
Lucas was a much-derided figure among many fans for a lot of his early years on Merseyside, although former manager Rafael Benitez's confidence in the player was unerring.
The Spaniard's faith was ultimately proved well-placed as the midfielder has established himself with both club and country.
"For me it was an easy decision because I know how big Liverpool are and I can see Liverpool are committed to me and are planning for a future with me," said Lucas.
"The effort from the club was amazing and that makes me feel an important player. That's why it was an easy decision.
"I am pleased with the way Liverpool tried to keep me and now I want to keep doing my best for them.
"I don't think people thought I could stay here for so long, but now I want to just keep on improving.
"I am really happy. The last few weeks have been really good for me and now I have signed a new contract and can spend more years at Liverpool I will do my best all the time and try to help the club to be bigger and bigger, if that's possible."
 
Phiri apanga mashambulizi Mazembe Send to a friend Wednesday, 30 March 2011 20:54

patrick-phiri2.jpg
Kocha wa Simba Patrick Phiri

Sosthenes Nyoni
KOCHA wa Simba Patrick Phiri amesema kikosi chake kitatumia mfumo wa kushambulia kwa kasi lakini kwa tahadhari mno ili kuepuka wapinzani wao TP Mazembe wasipate bao katika pambano lao la Jumapili.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Phiri alisema kuwa watalazimika kutumia mfumo huo ili waweze kupata mabao mengi na ikiwezekana mapema zaidi.

"Tunahitaji kushinda mabao zaidi ya mawili hivyo ni lazima tushambulie sana lakini tukicheza kwa tahadhari wenzetu wasipate bao, kwa ujumla itabidi tucheze kitimu hasa ukizingatia pale mbele nao wako vizuri.

"Si mechi rahisi kama wengi wanavyofikiria muhimu ni kujipanga na kuhakikisha hatupotezi nafasi kama ilivyotokea katika mchezo wa awali," alisema Phiri.

Aidha aliwataka viongozi, wachezaji na wanachama wa klabu hiyo kuongeza umoja na mshikamano na kuachana na mambo ambayo yanaweza kuwadhoofisha na hatimaye wakashindwa kutimiza malengo yao.

"Nasisitiza suala la umoja na mshikamano miongoni mwa viongozi, mashabiki na wanachama hasa kipindi hiki tunachokabiliwa na mchezo mgumu mambo ambayo hayaweza kutudhoofisha tuachane nayo badala yake tuelekeze akili zetu Jumapili," alisema Phiri.

Katika hatua nyingine daktari wa Simba, Cosmas Kapinga alisema kuwa hali za wachezaji Abdulhalim Humoud, Hilary Echesa na Uhuru Selemani ambao wamekuwa majeruhi kwa kipindi mrefu zinaendelea vizuri.

Hata hivyo, Kapinga alisema beki Joseph Owino ambaye ni majeruhi wa muda mrefu atalamizika kwenda kupata matibabu zaidi nchini India kutokana na tatizo kuonekana kuwakubwa.

"Humoud anaendelea vizuri na matibabu ya goti wakati Echessa tulimpeleka Hospitali ya Agha Khan kwa ajili ya vipimo zaidi na tatizo lake limeonekana linaweza kutibika hapa nchini lakini Owino tatizo lake kubwa na linafanana na lile la Uhuru hivyo mipango ikikamilika atakwenda kutibiwa India,"alisema Kapinga.
 
Houllier calls for big finish


RivalsDM



PRINT RSS

1

Updated Mar 30, 2011 2:18 PM ET
Gerard Houllier admits Aston Villa are facing eight games which "are vital for our future" after a topsy-turvy season at Villa Park.
The Villa boss also believes the club's fans, who called for him to be sacked after the home defeat by Wolves, have a big part to play in the battle to avoid relegation.

Sat., Apr. 2
West Ham vs. Man Utd
Birmingham vs. Bolton
Everton vs. Aston Villa
Newcastle vs. Wolves
Stoke City vs. Chelsea
West Brom vs. Liverpool
Wigan vs. Tottenham
Arsenal vs. Blackburn
Sun., Apr. 3
Fulham vs. Blackpool
Man City vs. Sunderland
BPL Scores | Table | Fixtures


Villa are only one point ahead of the drop zone ahead of Saturday's clash with Everton at Goodison Park.
Houllier said: "We know exactly where we stand and the difficulty of our task.
"You have to remain positive. You can't spend your time reflecting on what happened.
"We have eight games ahead of us now and never mind what has happened in the past.
"This is our league and the eight games ahead are vital for our future.
"Everybody is concerned because we are not dreamers.
"There is a new league starting up for us of eight games and the mood is positive.
"A lot of players are internationals so they have that experience and they know what pressure is.
"I also know their personalities and they want to do well for the fans and the club."
Houllier added: "I can really share the fans' frustration and anxiety.
"But their influence is so important for us, especially at this stage of the season.
"They are fantastic supporters and, with their support, they can be the 12th man every game."
 
Moyes regrets striking failure


RivalsDM



PRINT RSS

0

Updated Mar 30, 2011 10:14 AM ET
Everton manager David Moyes admits his failure to sign a frontline striker last summer has impacted on their season.

Sat., Apr. 2
West Ham vs. Man Utd
Birmingham vs. Bolton
Everton vs. Aston Villa
Newcastle vs. Wolves
Stoke City vs. Chelsea
West Brom vs. Liverpool
Wigan vs. Tottenham
Arsenal vs. Blackburn
Sun., Apr. 3
Fulham vs. Blackpool
Man City vs. Sunderland
BPL Scores | Table | Fixtures


The Scot brought in Jermaine Beckford on a free transfer after he had helped Leeds earn promotion from League One but wanted someone with more experience to help ease the burden.
But he was not able to bring anyone else in and Everton have suffered as a result, with Tim Cahill having to be deployed as a centre-forward on occasions.
When Ayegbeni Yakubu and James Vaughan were loaned to Leicester and Crystal Palace respectively in January it increased the pressure on Louis Saha and Beckford.
The former, whose poor form prior to January saw him net just once in five months - in a Carling Cup victory over Huddersfield - has responded with nine goals since the turn of the year but injuries continue to be a problem for the Frenchman.
"I knew we were short of a centre-forward and maybe more than one," Moyes told talkSPORT.
"I got Jermaine Beckford, who had jumped two divisions, and I was saying 'Let's not put too much pressure on him, get him off the bench, play some games at the right moment and that's the ideal way to introduce him'.
"But we didn't get the centre-forward which we needed to go with the rest of the team.
"Our play was very good, we continued in the form with our football, but we didn't have the goalscorers to finish it off at the start of the year and that definitely had an effect on us."
 
Poulsen: Nahisi lugha tatizo la Stars Send to a friend Wednesday, 30 March 2011 20:50

Kalunde Jamal
KOCHA wa timu ya taifa, Taifa Stars, Jan Poulsen amesema lugha ni kikwazo kinachomfanya ashindwe kufundisha timu hiyo kwa kiwango anachotaka.

Akizungumza na Mwananchi, kocha huyo raia wa Denmark alisema pamoja na wachezaji kufanya vizuri bado lugha ni kikwazo kikubwa katika utendaji wake wa kila siku.

Alifafanua kuwa anatumia muda mwingi kuhakikisha wachezaji wanamuelewa lakini wangekuwa wanaelewana lugha ingekuwa rahisi kwao kuelewa.

"Pamoja na mafanikio yaliyopo kwenye timu ya taifa bado nina wakati mgumu sana katika suala la lugha inakuwa ngumu mimi kuelewana na wachezaji kwa haraka na inawezekana kuna kupotea wachezaji wachezaji wanaoelewa wanawaelekeza tofauti," alisema.

Alisema: "Inawachukua muda wachezaji kuelewa ninasema nini wafanye kwa kuwa lugha tunazotumia ni tofauti...nataka kujifunza kiswahili, najua kusema hujambo...asante sana ili kurahisisha mawasiliano," alisema.

Alisema kikosi ni kizuri na kikicheza kwa kasi iliyoanza nayo kuna uwezekano mkubwa wa kuzifunga timu kubwa.

"Kasi kama hii walioanza nayo ikiendelea tunaweza kuzifunga timu kubwa kama vile Uganda ,Kenya ,Ivory Coast na timu nyingine kama hizo"alisema kocha huyo.

Alisema kikosi kikiamua na kikacheza kwa kujipanga na kujituma kama ambavyo kimecheza kwenye mchezo kati yao na timu ya Centro Afrika inaweza kufanya maajabu makubwa huko mbele.
 
Kranjcar wants Tottenham exit


RivalsDM



PRINT RSS

5

Updated Mar 30, 2011 2:08 PM ET
Tottenham playmaker Niko Kranjcar has given his strongest indication yet that he may leave the club at the end of the season.

The home of the best LIVE soccer and rugby awaits at FoxSoccer.tv -- don't miss a second of the action.

The Croatia international has started just two league games for the Londoners this season and has often voiced his frustration.
Spurs boss Harry Redknapp has already stated that he is not interested in selling the 26-year-old, despite his reluctance to offer him regular football.
But, speaking after Croatia's goalless draw with France on Tuesday, Kranjcar reiterated his desire to seek pastures new in the summer.
Krancjar said: "I will be trying to find a football club where I can play regularly, like any footballer would. It depends who wants me, if anyone wants me."
 
LOG IN TO ADD A COMMENT Page 1 of 1 PREV PREV NEXT NEXT


Post Comment

  • Report Abuse PhiladelphiaHotSpur
    • 3/30/2011 9:39:50 PM
    NIko is simply buried behind our World Class MF..........what are you going to do ??

    Arry has always had a hard on for Pienaar and the man has had some really nice games vs THFC in an everton kit.............But, to-date, pretty unimpressed w/ his play on the squad.........We'll see how things turn out here.
  • Report Abuse Hotspur54
    • 3/30/2011 7:20:47 PM
    Powder I could not agree with you more.....don't know why we signed Pienarr at all. Sometimes the choices Harry makes is beyond me...
  • Report Abuse NashvilleGunner
    • 3/30/2011 6:26:58 PM
    Hmmm spurs threads really lighting up the convo today....
  • Report Abuse NashvilleGunner
    • 3/30/2011 6:00:21 PM
    I think he would be a great addition to the Gunners...this could free up AA to play a second striker position and we wouldn't rely on AA's defense
  • Report Abuse PowderScouser
    • 3/30/2011 5:07:14 PM
    Can't blame the guy as he is too good to sit behind Pienaar who is useless.
LOG IN TO ADD A COMMENT Page 1 of 1 PREV PREV
 
Mabondia wa Tanzania waenda Kampala Send to a friend Wednesday, 30 March 2011 20:49

Imani Makongoro
MABONDIA sita wa timu ya taifa ya ngumi za ridhaa leo wanaondoka jijini kwenda Kampala, Uganda tayari kwa mashindano ya majiji yanayoanza kutimua vumbi kesho hadi Jumapili nchini humo.

Mabondia hao ni Patrick Maxmilian, Selemani Kidunda, Victor Njaiti, Yahaya Maliki, Ismail Izak na Said Iddy, ambao ni kati ya mabondia 20 waliochaguliwa hivi karibuni kujiunga na timu hiyo.

Afisa Habari wa Shirikisho la Mchezo huo nchini, BFT, Euckland Mwaffisi aliiambia Mwananchi kuwa mabondia hao wataondoka na basi kwenda kwenye mashindano hayo.

Alisema kuwa kutokana na kufika siku hiyo ambayo ndiyo mashindano yanaanza wataomba mabondia hao wapumzike na kucheza siku inayofuata (kesho kutwa) kutokana na uchovu wa safari.

"Mabondia wa timu ya taifa wataongozana na kocha mkuu Pimentel Hurtado, tunaimani watafanya vizuri licha ya kuwa wamefanya mazoezi kwa muda mfupi kwa ajili ya mashindano hayo.

"Mazoezi yao yalikuwa si rasmi lakini kutokana na kukabiliwa na mashindano hayo ya Majiji BFT iliamua mabondia waanze kambi ya wazi ili kujiweka fiti zaidi, watakaporejea nchini baada ya mashindano hayo tunatarajia mabndia wetu wataanza kamabi rasmi kwa ajili ya michezo ya Afrika," alisema Mwaffisi.

Hicho ni kibarua cha kwanza cha mabondia hao wa timu ya taifa tangu kuchaghuliwa kupitia mashindano ya taifa yaliyofanyika mwezi Machi jijini Dar es Salaam na kushirikisha mikoa 21 ya Tanzania bara.
 
Aquilani open to Anfield return


RivalsDM



PRINT RSS



Updated Mar 30, 2011 1:13 PM ET
Midfielder Alberto Aquilani is willing to return to Liverpool at the end of the season if Juventus do not want to sign him on a permanent deal.
The 26-year-old is on a season-long loan with Juve, having failed to impress in his first season at Anfield after joining from Roma.

The home of the best LIVE soccer and rugby awaits at FoxSoccer.tv -- don't miss a second of the action.

Juventus do have the option to purchase Aquilani at the end of the current campaign, but if they do not exercise it, he is happy to go back to Anfield.
He told Gazzetta dello Sport: "The future? I'm at Juve, but I don't know what will happen.
"I'm on loan and if I'm not retained I'd go back to Liverpool in the best league in the world. We'll see."
Aquilani has also been linked with a move back to Roma, who are on the verge of being bought out by Thomas Di Benedetto, a partner of the company which owns Liverpool.
Asked if he would go back to the capital club, he said: "It is a delicate question. I would do, but I think it will be difficult.
"As a fan I'm curious to see what happens, especially if they begin to buy players and to revolutionise the team."
 
Mabondia wa Tanzania waenda Kampala Send to a friend Wednesday, 30 March 2011 20:49

Imani Makongoro
MABONDIA sita wa timu ya taifa ya ngumi za ridhaa leo wanaondoka jijini kwenda Kampala, Uganda tayari kwa mashindano ya majiji yanayoanza kutimua vumbi kesho hadi Jumapili nchini humo.

Mabondia hao ni Patrick Maxmilian, Selemani Kidunda, Victor Njaiti, Yahaya Maliki, Ismail Izak na Said Iddy, ambao ni kati ya mabondia 20 waliochaguliwa hivi karibuni kujiunga na timu hiyo.

Afisa Habari wa Shirikisho la Mchezo huo nchini, BFT, Euckland Mwaffisi aliiambia Mwananchi kuwa mabondia hao wataondoka na basi kwenda kwenye mashindano hayo.

Alisema kuwa kutokana na kufika siku hiyo ambayo ndiyo mashindano yanaanza wataomba mabondia hao wapumzike na kucheza siku inayofuata (kesho kutwa) kutokana na uchovu wa safari.

"Mabondia wa timu ya taifa wataongozana na kocha mkuu Pimentel Hurtado, tunaimani watafanya vizuri licha ya kuwa wamefanya mazoezi kwa muda mfupi kwa ajili ya mashindano hayo.

"Mazoezi yao yalikuwa si rasmi lakini kutokana na kukabiliwa na mashindano hayo ya Majiji BFT iliamua mabondia waanze kambi ya wazi ili kujiweka fiti zaidi, watakaporejea nchini baada ya mashindano hayo tunatarajia mabndia wetu wataanza kamabi rasmi kwa ajili ya michezo ya Afrika," alisema Mwaffisi.

Hicho ni kibarua cha kwanza cha mabondia hao wa timu ya taifa tangu kuchaghuliwa kupitia mashindano ya taifa yaliyofanyika mwezi Machi jijini Dar es Salaam na kushirikisha mikoa 21 ya Tanzania bara.
 
US group plans to sign Roma deal in next 20 days


storypage_APlogo_01.png




PRINT RSS

0

Updated Mar 30, 2011 1:12 PM ET
ROME (AP)

A group of American investors led by Boston executive Thomas DiBenedetto plans to sign a deal to buy three-time Italian champion Roma by mid-April.
DiBenedetto's group is reportedly prepared to pay ?77 million ($109 million) for a 60 percent share of the club. The Unicredit bank, which last year became co-owner of Roma following a debt-for-equity swap with the Sensi family, will retain 40 percent of the club but then sell part of its share to ''strategic Italian investors.''
''The signature for the agreements is scheduled for within the next 20 days,'' a joint statement late Tuesday said after days of extensive negotiations in Rome.
Roma shares on the Milan stock exchange fell sharply Wednesday, down 7.5 percent to close at ?1.11 ($1.56) per share.
The deal, which will apparently be signed in Boston, would make the four-man American group the first foreign majority owners of a Serie A club.
DiBenedetto is one of approximately 13 limited partners in the Boston Red Sox ownership group. The other members of the group planning to buy Roma are Boston Celtics minority owner James Pallotta, Michael Ruane and Richard D'Amore.
Roma has some of the biggest debt among Italian clubs, with the Gazzetta dello Sport estimating its deficit this year at ?40 million ($56 million).
Roma could fall further into debt if it doesn't qualify for next season's Champions League. The team sits sixth in the table, six points short of fourth - with the top four gaining entry to the lucrative competition.
Roma was eliminated from this season's Champions League by Ukrainian side Shakhtar Donetsk this month.
Roma, which last won the Serie A in 2001, has had a tumultuous season, with Vincenzo Montella replacing Claudio Ranieri as coach last month.
However, the club has some of the most dedicated fans in Italy and DiBenedetto has already declared he plans to build a new stadium.
There is also the issue over DiBenedetto's participation in the Fenway Sports Group, which owns Liverpool. UEFA rules prevent ownership of two clubs competing in the same competition and Roma and Liverpool could both qualify for next season's Europa League.
DiBenedetto was greeted by a mass of photographers and reporters when he landed at Rome's Leonardo da Vinci airport Monday, then entered two days of marathon negotiations. He spent Wednesday touring Rome and meeting various dignitaries.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom